Kama kanisa lisingekuwa upande wa serikali historia isingeandikwa hivyo.Mfano mzuri leo ni Urusi ambapo kiongozi wa kanisa la orthodox anamsapoti Putin kwa vita yake Ukraine huku baadhi ya wananchi wakipinga .Hivyo ya Rwanda yasifananishwe na Tanzania kwa kuwa TEC inahimiza watu kuishi kwa haki.Kauli hizo ..uchochezi huo mnaowasifia walichangia mauji ya kimbari Rwanda hivyo kama nchi tuwe makini na uchochezi toka viongozi wa dini!....
Umeandika vizuri kabisa wazee wa imani waache uchochezi...Mauaji yqlipangwa na wanasiasa, makanisa yakaingia baadae,kwa, hapa bongo, tatizo, na ktisho ki kubwa kwa nchi ni ccm kuendelea kuwa, madarskani, ccm ni kama mafia, drug empire, hawana, tofauti na kama ilivtokuwa chama cha Baath cha sadam kule Iraq, au, Cha Bashar al Assad,
Hawa, kuwatoa, unahitaji, nguvu na watu kutoka nje, ccm mafiadom IPO kuanzia, jeshini, polisi, intelijensia, viongozi, wa, juu, wale wa, chini ni makenge tu wakutumwa kama ma mbwa!
Shida udini unakusumbua angekuwa mkristo raisi mbona bakwata wapo kimya
Walipiga kelele waraka makanisa yote nchi nzima wiki eti bandari imeuzwa! Kiko wp?sasa tamko la kanisa mbona linawagusa sana kama ni toothless Bulldog
Umeamua kutukana makanisa siyo. Nini maana ya mauaji ya kimbari? unajua maana ya kimbari wewe? au unajiandikia tu hili kutetea uovu wa CCMKauli hizo ..uchochezi huo mnaowasifia walichangia mauji ya kimbari Rwanda hivyo kama nchi tuwe makini na uchochezi toka viongozi wa dini!....
Elewa wewe uwe tajiri!Umeamua kutukana makanisa siyo. Nini maana ya mauaji ya kimbari? unajua maana ya kimbari wewe? au unajiandikia tu hili kutetea uovu wa CCM
ndio mana tunasema ccm inaleta/kuendeleza umaskini Tanzania. Inapuuzia elimu ya kujiajili na kupanua wigo wa kilimo cha kisasa. Ilitakiwa iweke miundo mbinu ya kuvutia nguvu kazi mashambani badala ya sasa nguvu kazi inakimbilia mjini.Matajiri wakubwa ulimwenguni wote hawaja ajiriwa!
Huwa wanaleta magari kusomba watu kupeleka mjini..ndio mana tunasema ccm inaleta/kuendeleza umaskini Tanzania. Inapuuzia elimu ya kujiajili na kupanua wigo wa kilimo cha kisasa. Ilitakiwa iweke miundo mbinu ya kuutia nguvu kazi mashambani badala ya sasa nguvu kazi inakimbilia mjini.
kwnaAlshabab , Boko haram , Janjaweed , Seleka , Al Ansar , ADF etc
Kwel maaskofu walichangia mauaji y kimbari pale Rwanda
Sheikh kwanin mna miliki makundi mengi ya kigaidi??Mimi naelewa muoga kama weweutaishia kuandika kwenyr mtandao mapambano ya kweli huyawezi sasa ngonjera zako za no no no mimi nakuona unaimba tu..
Sababu ya viongozi wa kanisa ni wachochezikwna
Sheikh kwanin mna miliki makundi mengi ya kigaidi??
Kwa hiyo Al qaeda na Boko haram wameletwa na uchochezi wa kanisa?Sababu ya viongozi wa kanisa ni wachochezi
Psychopathic...Sababu ya viongozi wa kanisa ni wachochezi
Walipiga kelele waraka makanisa yote nchi nzima wiki eti bandari imeuzwa! Kiko wp?
They are just like a Toothless Bulldog
Kwa hiyo mauwaji yanayofanyika kwa jina la ile dini ya "proud to be..." yanayofanyika hadi sasa huyaoni,
Mauwaji ya Rwanda yalikua ya kimbari na sio ya kidini soma historia vizuri.
Psychopathic...
Alshabab , Boko Haram , Alnsar wanaua ndugu zetu wamakonde mpk leo huko Msumbiji , Adf wanaua wakongoman wasio na hatia , je hawa walichochewa na maaskofu?
Wewe ndo mjinga mkuu uliyeaminishwa na kanisa kuwa eti bandari imeuzwa. Mkasomeana makanisani kwenu waraka wenu wenyewe for 6 weeks mwisho wa siku kanisa halijawahi hata kutoa mrejesho ule waraka wenu uliishia wapi ila leo ndo wamekutuma uje utoe mrejesho. Mrejesho wenyewe kwa aibu wameona bora wakutime wewe fata mkumboWalichodai maaskofu ndicho walichofanya ccmu baada ya mbinu zote kufeli
Mtu kama ww ni dhahir kichwan huna akili na hukuwa unajuwa watu wanakosoa nini
Watu kama ww ndo mtaji wa ccmu
Watu walidai mkataba uwe na kikomo cha muda kitu ambachp ccmu walikuwa wanagoma yaani wanataka sain mkata usio na kikomo cha muda ( mikataba ya akina Mangungo ) ila baada ya kelel za ndani ya nchi n nje ya nchi ndipo ccmu wakaweka miaka 30 na mpumbav kama ww ambae ndo ungekuja kuwa muhanga namba moja bado unashangilia walichotaka kutufanyia ccmu ( kutuingiza utumwani bila ridhaa ya wengi )
Ccmu inanufaika na watu wajing kama ww , watu mnao abudu chama na sio sera bora kwa nchi