Tuwe makini sana na simu. Sitokuja kusahau siku niliyoposti kwa bahati mbaya status ya pilau 18+ na simu ikazima, kijasho kilinitoka

mwaka juzi kwenye group la ofisini kuna binti alituma picha za dushe nafikiri ni la jamaa yake aisee japo alifuta lakini kumbe kuna wajinga wana gbwhatsapp si wakanza kuscreenshot na kuanza kujaa juu haya ni madilii ya namna gani na ukicheki ni watu wazima wakongwe ofisini ilikua mbaya sana kwa yule binti kwa kweli
 
2017 umeme ulikatika lini mkuu
 
Nilichogundua, kumbe pamoja na ukorofi wetu bado tunawaheshimu wake zetu.
Mwanaume atabaki kuwa Mwanaume tuu, Mwanaume akichepuka ana kumbuka familia ila Mwanamke akichepuka ana jiona kapata ina fuata jeuri,kiburi na nyodo, unasema sawa nenda basi isiwe shida... mwanamke akiondoka akisha fukunyuliwa huko tena wahuni wanapiga mbele na nyuma haina kuchagua baadaye ana temwa una shangaa anarudi na magoti na vilio juu.
Ndiyo maana iko hivi mwanamke (mke) akichepuka na una ushahidi achana naye. Trust me hakuna mwanaume anaweza ishi na mke aliye chepuka NEVER! Hata wakianza ishi pamoja hawatadumu.
 
Kweli dhambi inaitesa😁😁😁
 
Mm sio mtabiri ila mama yako ali download
 
Jf imekuwa ya kindezi hivi yaani nataka niende next page inanilazimu nirudi juu tena!! Haijakaa sawa hii zaidi ya usumbufu tu.
 
Jambo la kwanza ulipaswa kuipoteza simu yako,uisime na kuifungia ofisini. Ili kama ungekuta kimenuka useme ulidondosha simu na umerudi kufuatilia kama umeidondosha maeneo ya nyumbani.
 
Ahahaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…