Tuwe makini sana na simu. Sitokuja kusahau siku niliyoposti kwa bahati mbaya status ya pilau 18+ na simu ikazima, kijasho kilinitoka

Tuwe makini sana na simu. Sitokuja kusahau siku niliyoposti kwa bahati mbaya status ya pilau 18+ na simu ikazima, kijasho kilinitoka

Kipindi kile kabla ya simu za touch. Zilikuwa zile Nokia 3310, nilimuandikia mchepuko msg ndefu kuhusu alivyonipa Jana yake, kuhusu papuchi yake ilivyokuwa ya viwango na maujinga mengine mengi na kitu nitakachomfanyia ikiwa Ni pamoja na kumnunulia kiwanja, kwa bahati mbaya Ile msg niliituma kimakosa kwenda namba ya waif. Sikutilia maanani nikaendelea na shughuli zangu ofisini. Baadaye nikajiuliza mbona huyu mchepuko nimemuahidi kiwanja lakini hajibu msg? Eeh bwana we, kwenda kuangalia vizuri kumbe nimechanganya madesa, msg imeenda home port kwa waif.

Nikaanza kupanik fasta nikatoa udhuru, kipindi kile hakuna bodaboda, Ni daladala, niko Kurasini ofisini naitafuta Kimara home. Nikapanda la Kariakoo kutoka Kurasini, Kariakoo nikapanda la Kimara, Mimi naona gari haitembei. Kufika Kimara nikashuka kwenda home fasta kuliko upesi. Kijasho kimenitoka nakuta waif Yuko tu sitting room anaangalia tamthilia ananiuliza mbona uko hivyo, namuuliza nikovipi, akasema hauko sawa. Nikazama chumbani na kuikuta simu ya waif imetulia kumbe Ile msg hajaisoma, Nikafuta Ile msg huku nacheka kimoyo moyo. Nikivyotoka nikamuambia siku hiyo asipike. Surprise inamsubiri.

Msala Sasa ukabaki kwa mchepuko maana Ile msg niliyokusudia kwa waif ilienda kwa mchepuko. Lkn nikasema hata anijie juu si yeye ni Malaya tu Bora nimeokoa ndoa. Just imagine waif Angeona nimeisifia papuchi ya mchepuko kwamba Ina viwango, ningekua mgeni wa Nani miye?
Niliambiwaga za mwizi Ni 40 😊😊😊😂😂😂😂
 
Hahaaaa kuna mmoja kwenye group letu la viongozi Mkoa wa Iringa akatuma video akimla mkewe. Jamaa ni DED mmoja Iringa, alikuwa anambembeleza mkewe baada ya kuwa wamekosana.

Jamaa akatuma video kwenye group lenye RC, RAS, MADC, MADAS na MaDED. Siku ilikuwa mbaya sana kwake. Ikabidi tuifute na tunyamaze tusijadili.
Kuna dada mmoja alituma picha za papuchi yake na video akiwa Ana katika viuno uchi wa mnyama huku anajiminya chuchu na kujishika shika mwenyewe..

Lilikua group la KANISANI Tena la WALOKOLE (MIMI NI MLOKOLE) ilikua tafrani nguo kuchanika nikaja kugundua kumbe hata walio okoka baadhi vichwani mwao kumejaa ujinga ujinga mwingi 😊😊😂😂
 
Ni 2017 nilikuwa nachati na wadau whatsapp mida ya saa tatu usiku, muda huo umeme ulikuwa umekatika, simu ikawa inakaribia kuisha chaji nikaona sio mbaya niweke status kabla simu haijazima.

Nikiwa nimeingia sehemu ya status kwenye gallery ghafla ni kama nilimis touch nikachagua video ya x (nilikuwa nimejoin group la connection) na ikajipost status, ebwana ee ukisikia siku ya nyani kufa miti inateleza basi ndio hiyo, yaani nikawa naona naenda kuua heshima yangu, Nilipaniki, kichwa hakikutulia yaani nikaanza kushikilia power button nizime simu ili niizuie, nikabadili maamuzi niweke airplane mode kuzuia data lakini naingia whatsapp naona ishaenda, nilidata zaidi nikaondoa airplane mode niwashe data niwahi kuifuta video lakini ghafla simu ikazima.

Tumbo lilizunguka kwa spidi ya ajabu akili iliniviriga nikawa nimedata nawaza itakuwaje sasa, bimkubwa anaeniona mimi mtoto pekee nilietulia atanichukuliaje? Wadogo zangu Je ? Majirani vp? Yani kiufupi watu tunaoheshimiana wakiiona nimekwisha... , Na hapo kumbuka umeme umekata mtaa mzima hakuna umeme.

Nilitoka nje kama nilivyovaa kikaptula, kivesti na kandambili, nikawahi sehemu ya boda boda nikaikuta moja tu nae kaniambia kuna mteja anamsubiri, kwakweli sikuweza kusubiri boda mwengine, nikamwambia ntampa elf 5 tena sehemu yenyewe ya karibu ni ofisi ya kamari / kubeti huwa wanawasha jenereta.

Yaani boda nikawa namkaripia aongeze mwendo maana naona kama pikipiki haiendi,

Tukiwa njiani nikakumbuka nilisahau chaja maweee!! nilienda duka la njiani niliambiwa chaja elf 10 wala siku fikiria mara mbili

Nafika ofisi za kubeti hawakunielewa kuchaji simu nikatoa hapo hapo elf 5 ambayo ilibidi iwe ya boda boda nikasema tutajuana mbele kwa mbele.

Yaani nikaingia WhatsApp nakuta kuna views kama 3 tayari ila kwa bahati nzuri zilikuwa za marafiki wa viwanjani, kwenye inbox wanaomba full clip.😂😂

Boda naye akanitwanga zaidi kwa kisingizio alikuwa na mteja mwengine nimevurugia ratiba.
Wachana na status kabisa, au block contacts wote bakiza machizi wenzio hao watatu maana hawana madhara wao walipenda ulichoposti🤣
 
Kipindi kile kabla ya simu za touch. Zilikuwa zile Nokia 3310, nilimuandikia mchepuko msg ndefu kuhusu alivyonipa Jana yake, kuhusu papuchi yake ilivyokuwa ya viwango na maujinga mengine mengi na kitu nitakachomfanyia ikiwa Ni pamoja na kumnunulia kiwanja, kwa bahati mbaya Ile msg niliituma kimakosa kwenda namba ya waif. Sikutilia maanani nikaendelea na shughuli zangu ofisini. Baadaye nikajiuliza mbona huyu mchepuko nimemuahidi kiwanja lakini hajibu msg? Eeh bwana we, kwenda kuangalia vizuri kumbe nimechanganya madesa, msg imeenda home port kwa waif.

Nikaanza kupanik fasta nikatoa udhuru, kipindi kile hakuna bodaboda, Ni daladala, niko Kurasini ofisini naitafuta Kimara home. Nikapanda la Kariakoo kutoka Kurasini, Kariakoo nikapanda la Kimara, Mimi naona gari haitembei. Kufika Kimara nikashuka kwenda home fasta kuliko upesi. Kijasho kimenitoka nakuta waif Yuko tu sitting room anaangalia tamthilia ananiuliza mbona uko hivyo, namuuliza nikovipi, akasema hauko sawa. Nikazama chumbani na kuikuta simu ya waif imetulia kumbe Ile msg hajaisoma, Nikafuta Ile msg huku nacheka kimoyo moyo. Nikivyotoka nikamuambia siku hiyo asipike. Surprise inamsubiri.

Msala Sasa ukabaki kwa mchepuko maana Ile msg niliyokusudia kwa waif ilienda kwa mchepuko. Lkn nikasema hata anijie juu si yeye ni Malaya tu Bora nimeokoa ndoa. Just imagine waif Angeona nimeisifia papuchi ya mchepuko kwamba Ina viwango, ningekua mgeni wa Nani miye?
🤣🤣🤣🤣🤣Ungekuwa mgeni wa mchepuko
 
Kuna dada mmoja alituma picha za papuchi yake na video akiwa Ana katika viuno uchi wa mnyama huku anajiminya chuchu na kujishika shika mwenyewe..

Lilikua group la KANISANI Tena la WALOKOLE (MIMI NI MLOKOLE) ilikua tafrani nguo kuchanika nikaja kugundua kumbe hata walio okoka baadhi vichwani mwao kumejaa ujinga ujinga mwingi 😊😊😂😂
He we mlokole Gani ?mbona comment zako sijawahi Ina hata mstari wa matendo ya mitume🤣🤣🤣 Tlaatlaah njoo tuna kondoo Mmoja hapa sijawahi muona bandani
 
He we mlokole Gani ?mbona comment zako sijawahi Ina hata mstari wa matendo ya mitume🤣🤣🤣 Tlaatlaah njoo tuna kondoo Mmoja hapa sijawahi muona bandani
Imeandikwa....

Mathayo 7:21-23

“Si kila aniambiaye, ‘Bwana, Bwana’, ataingia katika ufalme wa mbinguni; ila ni yule tu anayetimiza matakwa ya Baba yangu aliye mbinguni. Wengi wataniambia siku ile ya hukumu: ‘Bwana, Bwana! Kwa jina lako tulitangaza ujumbe wako, na kwa jina lako tuliwatoa pepo na kufanya miujiza mingi’. Hapo nitawaambia: ‘Sikuwajua nyinyi kamwe; ondokeni mbele yangu, enyi watenda maovu.

katika nyakati hizi za sasa, uovu mwingi sana umejificha kwenye wema na umevaa sura ya utakatifu 🐒

ni vizuri kujihadhari na kua makini na wapendwa, washirika, na lakini zaidi sana makanisa na usharika, manabii, mitume na wahubiri 🐒
 
Kuna apps zinaficha picha za mambo yetu yale. Bora ufiche hizo picha huko. Kuna siku mimi mtoto wangu mdogo kaomba aangalie katuni nilikuwaga nimeungwa kundi la wahuni fulani kumbe wametuma video chafu. Ghafla nasikia milio ya ajabu namuona na mtoto anakuja mbio baba hawa wako uchi ......
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
nje ya mada
mimi kuna bwege aliniibia simu, alivyo fala aka post status r.i.p na picha yangu ***** yule

na simu akazima, acha habari zisambae wanao fahamu namba yangu nyingine ndio kunipigia

ikabidi tuweke wasap upya kumaliza tatizo

ndani ya mada

kuna dingi mmoja ni mngoni anapenda sana mambo hayo acha a post pilau

nikashindwa mvutia waya maana tuna heshimiana sana nikamwambia jamaa yangu amchek afute jamaa akafanya hivyo na kumjulisha mm ndie niliona

dingi hadi leo tukionana ana nambia hizi teknolojia za kujulia ukubwani ni shida sana kijana.
[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Imeandikwa....

Mathayo 7:21-23

“Si kila aniambiaye, ‘Bwana, Bwana’, ataingia katika ufalme wa mbinguni; ila ni yule tu anayetimiza matakwa ya Baba yangu aliye mbinguni. Wengi wataniambia siku ile ya hukumu: ‘Bwana, Bwana! Kwa jina lako tulitangaza ujumbe wako, na kwa jina lako tuliwatoa pepo na kufanya miujiza mingi’. Hapo nitawaambia: ‘Sikuwajua nyinyi kamwe; ondokeni mbele yangu, enyi watenda maovu.

katika nyakati hizi za sasa, uovu mwingi sana umejificha kwenye wema na umevaa sura ya utakatifu 🐒

ni vizuri kujihadhari na kua makini na wapendwa, washirika, na lakini zaidi sana makanisa na usharika, manabii, mitume na wahubiri 🐒
Paragraph ya mwisho umeua mtumishi!kumbe hata wapendwa nao tunatakiwa kuwa nao macho na si manabii peke yao?
 
Iyo ipo kunasiku pilau nusu likae status nikalifuta chap na mikono ishaloa jasho, adi saivi pilau nikishalila naondoa ushaidi bora likakae uko ktk trash nitalirecycle. Afu umenikumbusha binti mmoja ilikuwa ikifka usiku anaweka pilau status mshenzi yule na unakuta views kibao na text ibaoo ila kawamute ndugu zake wa karibu
 
Back
Top Bottom