Tuwe makini sana na simu. Sitokuja kusahau siku niliyoposti kwa bahati mbaya status ya pilau 18+ na simu ikazima, kijasho kilinitoka

Tuwe makini sana na simu. Sitokuja kusahau siku niliyoposti kwa bahati mbaya status ya pilau 18+ na simu ikazima, kijasho kilinitoka

Mimi simu ilikuwa inazingua touch na nipo mkoa kikazi nasubiri nirudi Dar ndio nibadili, aisee sina hili wala lile simu ipo mfuko wa suruali, kwenye mida ya SAA sita mchana simu yangu Nokia ndogo simu inapigwa kucheki mshkaji wangu wa kitambo na tulikuwa hatujawasiliana almost miezi 6, napokea simu cha kwanza ananiambia wewe ..mse... ingia haraka WhatsApp status kafute kimeo chako akakata simu, naingia status nakuta pilau linapikwa limeivaa hatari nikafuta fasta na ile simu sikuitumia tena.
..na ile simu sikuitumia tena....
Ni simu au line?
 
Kipindi nipo shule
Nmetumiwa hela ya shule bwenini na dada angu

NKATUMA MESSAGE NMEKUMISS CHEUPEE

Nikatuma kwa dada na yeye ni cheusi Fiiii
 
Siku nyingine usipaniki baada ya mambo kuharibika tafuta namba ngeni wajulishe watu wako wote mnaoheshimiana kuwa umeibiwa simu.

Baada ya siku tatu wajulishe tena unefanikiwa ku-renew number na pole kwa yeyote aliyetapeliwa.
Hii nzuri na akili kubwa
 
Back
Top Bottom