Tuwe makini sana na simu. Sitokuja kusahau siku niliyoposti kwa bahati mbaya status ya pilau 18+ na simu ikazima, kijasho kilinitoka

..na ile simu sikuitumia tena....
Ni simu au line?
 
Kipindi nipo shule
Nmetumiwa hela ya shule bwenini na dada angu

NKATUMA MESSAGE NMEKUMISS CHEUPEE

Nikatuma kwa dada na yeye ni cheusi Fiiii
 
Siku nyingine usipaniki baada ya mambo kuharibika tafuta namba ngeni wajulishe watu wako wote mnaoheshimiana kuwa umeibiwa simu.

Baada ya siku tatu wajulishe tena unefanikiwa ku-renew number na pole kwa yeyote aliyetapeliwa.
Hii nzuri na akili kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…