adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,152
- 4,843
ChaiKipindi kile kabla ya simu za touch. Zilikuwa zile Nokia 3310, nilimuandikia mchepuko msg ndefu kuhusu alivyonipa Jana yake, kuhusu papuchi yake ilivyokuwa ya viwango na maujinga mengine mengi na kitu nitakachomfanyia ikiwa Ni pamoja na kumnunulia kiwanja, kwa bahati mbaya Ile msg niliituma kimakosa kwenda namba ya waif. Sikutilia maanani nikaendelea na shughuli zangu ofisini. Baadaye nikajiuliza mbona huyu mchepuko nimemuahidi kiwanja lakini hajibu msg? Eeh bwana we, kwenda kuangalia vizuri kumbe nimechanganya madesa, msg imeenda home port kwa waif.
Nikaanza kupanik fasta nikatoa udhuru, kipindi kile hakuna bodaboda, Ni daladala, niko Kurasini ofisini naitafuta Kimara home. Nikapanda la Kariakoo kutoka Kurasini, Kariakoo nikapanda la Kimara, Mimi naona gari haitembei. Kufika Kimara nikashuka kwenda home fasta kuliko upesi. Kijasho kimenitoka nakuta waif Yuko tu sitting room anaangalia tamthilia ananiuliza mbona uko hivyo, namuuliza nikovipi, akasema hauko sawa. Nikazama chumbani na kuikuta simu ya waif imetulia kumbe Ile msg hajaisoma, Nikafuta Ile msg huku nacheka kimoyo moyo. Nikivyotoka nikamuambia siku hiyo asipike. Surprise inamsubiri.
Msala Sasa ukabaki kwa mchepuko maana Ile msg niliyokusudia kwa waif ilienda kwa mchepuko. Lkn nikasema hata anijie juu si yeye ni Malaya tu Bora nimeokoa ndoa. Just imagine waif Angeona nimeisifia papuchi ya mchepuko kwamba Ina viwango, ningekua mgeni wa Nani miye?
Kuna apps zinaficha picha za mambo yetu yale. Bora ufiche hizo picha huko. Kuna siku mimi mtoto wangu mdogo kaomba aangalie katuni nilikuwaga nimeungwa kundi la wahuni fulani kumbe wametuma video chafu. Ghafla nasikia milio ya ajabu namuona na mtoto anakuja mbio baba hawa wako uchi ......
Chai hiyoMkuu hii chai [emoji16]
Afadhari uangalie. Online tu utoke kuliko ku downloadKwanini ukae na video chafu kwenye simu?
ChaiMimi katika kumsabahi mama na baba mkwe kijijini si nikakosea kuandika badala ya kuandika hajambo nikakosea HAMJAMBI huko?
MZEE AKANIWASHIA WAYA. USIKU HUU NSHAMLA MWANAYE NA YEYE NAMTAKIA NINI
Kipindi kile kabla ya simu za touch. Zilikuwa zile Nokia 3310, nilimuandikia mchepuko msg ndefu kuhusu alivyonipa Jana yake, kuhusu papuchi yake ilivyokuwa ya viwango na maujinga mengine mengi na kitu nitakachomfanyia ikiwa Ni pamoja na kumnunulia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji174]Unataka umnunulie mchepuko kiwanja wakati usafiri wako daladala
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji174]Kuna dogo alikuwa mgeni alituma mzigo kweny group la ofisi, akachachawa badala afute eti kaleft[emoji23][emoji23]
Kwanini uwe na simu janja mbili zenye matumizi ya aina moja kisa kukwepa vitu kama hivi.? Cha msingi na maana ni kutokuwa na video za porno kwenye simu yako full stop. A gentle man can't keep videos of bad contents with him, simu ni yako lakini sio muda wote umeishikilia mkononi, kuna mtu kuazima, watoto wanavyopenda kwenda gallery. Be smartMuwe mnamiliki smartphone mbili na muhakikishe zimejaa chaji na bando za internet za kutosha zipo. Kama mnaona simu hizo ni kubwa nunueni zile ndogo zinazoingia mifukoni bila shida
User name yako inajielezaMimi hata nikiacha simu zangu nyumbani masaa 25/7 itatumiwa na family member yeyote bila baya lolote kutokea na nina jua hata akitokea mtu mwenye nia ovu nami akajaribu kutuma ujumbe wenye nia ya kuvunja ndoa yangu kupitia mke wangu atamshangaa sana,labda yeye ndio awe mchora ramani.
Kwahiyo unatamani kumla dada yakoMm sijawahi kukosea kutuma hata nikikosea ni zakawaida sana ika kwangu zishaingia 2 moja ya binamu nyingine ya dada
Yabinamu ilikua haina maajabu saana walikua wanabembelezana tu
Ya dada sasa alikua anamsifia jamaa kua na mb.. mkubwa na anajua kuutumia ipasavyo blabla kibao
Na mimi nikamjibu ,,ulifika kileleni mara ngapi? Ina unaonekana ulifurahia sana hongera,, yaani huyo sista mwaka wa nane sasa hatujawahi onana hua tunapishana tu yeye ndie anaona aibu ila mm nilitamani nimle pia
Acha unafiki weweMimi hata nikiacha simu zangu nyumbani masaa 25/7 itatumiwa na family member yeyote bila baya lolote kutokea na nina jua hata akitokea mtu mwenye nia ovu nami akajaribu kutuma ujumbe wenye nia ya kuvunja ndoa yangu kupitia mke wangu atamshangaa sana,labda yeye ndio awe mchora ramani.
AhaaaNilichogundua, kumbe pamoja na ukorofi wetu bado tunawaheshimu wake zetu.
Nimeshangaa sana. Kumbe hao wanaobaka mama zao, watoto zao pengine sio mambo ya kishirikina ila ni akili tu za hovyo kama huyo anaemtaka dada yake.Kwahiyo unatamani kumla dada yako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni 2017 nilikuwa nachati na wadau whatsapp mida ya saa tatu usiku, muda huo umeme ulikuwa umekatika, simu ikawa inakaribia kuisha chaji nikaona sio mbaya niweke status kabla simu haijazima.
Nikiwa nimeingia sehemu ya status kwenye gallery ghafla ni kama nilimis touch nikachagua video ya x (nilikuwa nimejoin group la connection) na ikajipost status, ebwana ee ukisikia siku ya nyani kufa miti inateleza basi ndio hiyo, yaani nikawa naona naenda kuua heshima yangu, Nilipaniki, kichwa hakikutulia yaani nikaanza kushikilia power button nizime simu ili niizuie, nikabadili maamuzi niweke airplane mode kuzuia data lakini naingia whatsapp naona ishaenda, nilidata zaidi nikaondoa airplane mode niwashe data niwahi kuifuta video lakini ghafla simu ikazima.
Tumbo lilizunguka kwa spidi ya ajabu akili iliniviriga nikawa nimedata nawaza itakuwaje sasa, bimkubwa anaeniona mimi mtoto pekee nilietulia atanichukuliaje? Wadogo zangu Je ? Majirani vp? Yani kiufupi watu tunaoheshimiana wakiiona nimekwisha... , Na hapo kumbuka umeme umekata mtaa mzima hakuna umeme.
Nilitoka nje kama nilivyovaa kikaptula, kivesti na kandambili, nikawahi sehemu ya boda boda nikaikuta moja tu nae kaniambia kuna mteja anamsubiri, kwakweli sikuweza kusubiri boda mwengine, nikamwambia ntampa elf 5 tena sehemu yenyewe ya karibu ni ofisi ya kamari / kubeti huwa wanawasha jenereta.
Yaani boda nikawa namkaripia aongeze mwendo maana naona kama pikipiki haiendi,
Tukiwa njiani nikakumbuka nilisahau chaja maweee!! nilienda duka la njiani niliambiwa chaja elf 10 wala siku fikiria mara mbili
Nafika ofisi za kubeti hawakunielewa kuchaji simu nikatoa hapo hapo elf 5 ambayo ilibidi iwe ya boda boda nikasema tutajuana mbele kwa mbele.
Yaani nikaingia WhatsApp nakuta kuna views kama 3 tayari ila kwa bahati nzuri zilikuwa za marafiki wa viwanjani, kwenye inbox wanaomba full clip.[emoji23][emoji23]
Boda naye akanitwanga zaidi kwa kisingizio alikuwa na mteja mwengine nimevurugia ratiba.
Wanawake wanaopenda kuangalia TV/movie na kutoshika simu zao mapema wapewe maua yaoKipindi kile kabla ya simu za touch. Zilikuwa zile Nokia 3310, nilimuandikia mchepuko msg ndefu kuhusu alivyonipa Jana yake, kuhusu papuchi yake ilivyokuwa ya viwango na maujinga mengine mengi na kitu nitakachomfanyia ikiwa Ni pamoja na kumnunulia kiwanja, kwa bahati mbaya Ile msg niliituma kimakosa kwenda namba ya waif. Sikutilia maanani nikaendelea na shughuli zangu ofisini. Baadaye nikajiuliza mbona huyu mchepuko nimemuahidi kiwanja lakini hajibu msg? Eeh bwana we, kwenda kuangalia vizuri kumbe nimechanganya madesa, msg imeenda home port kwa waif.
Nikaanza kupanik fasta nikatoa udhuru, kipindi kile hakuna bodaboda, Ni daladala, niko Kurasini ofisini naitafuta Kimara home. Nikapanda la Kariakoo kutoka Kurasini, Kariakoo nikapanda la Kimara, Mimi naona gari haitembei. Kufika Kimara nikashuka kwenda home fasta kuliko upesi. Kijasho kimenitoka nakuta waif Yuko tu sitting room anaangalia tamthilia ananiuliza mbona uko hivyo, namuuliza nikovipi, akasema hauko sawa. Nikazama chumbani na kuikuta simu ya waif imetulia kumbe Ile msg hajaisoma, Nikafuta Ile msg huku nacheka kimoyo moyo. Nikivyotoka nikamuambia siku hiyo asipike. Surprise inamsubiri.
Msala Sasa ukabaki kwa mchepuko maana Ile msg niliyokusudia kwa waif ilienda kwa mchepuko. Lkn nikasema hata anijie juu si yeye ni Malaya tu Bora nimeokoa ndoa. Just imagine waif Angeona nimeisifia papuchi ya mchepuko kwamba Ina viwango, ningekua mgeni wa Nani miye?