NJOGHOMILE
JF-Expert Member
- Jun 11, 2017
- 694
- 1,942
Yeye alishindwa kuifuta?Hahaaaa kuna mmoja kwenye group letu la viongozi Mkoa wa Iringa akatuma video akimla mkewe. Jamaa ni DED mmoja Iringa, alikuwa anambembeleza mkewe baada ya kuwa wamekosana.
Jamaa akatuma video kwenye group lenye RC, RAS, MADC, MADAS na MaDED. Siku ilikuwa mbaya sana kwake. Ikabidi tuifute na tunyamaze tusijadili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna apps zinaficha picha za mambo yetu yale. Bora ufiche hizo picha huko. Kuna siku mimi mtoto wangu mdogo kaomba aangalie katuni nilikuwaga nimeungwa kundi la wahuni fulani kumbe wametuma video chafu. Ghafla nasikia milio ya ajabu namuona na mtoto anakuja mbio baba hawa wako uchi ......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]'' Aisha Mimi napambana kukutumia hela na bado hunielewi,unataka nikutumie kiasi gani mpaka unielewe Kipenzi?Ona nimepambana mpaka hii laki tatu uliyotaka nimekutumia shida nini,ujue nakupenda sana na nahangaika sana kwa ajili yako?"
Ujumbe huo aliandika Mwamba katika familia yetu..na masaa machache baada ya kutumiwa hela ya matumizi ya chuo na ada kidogo.(900,000)
Sasa familia wamekaa jioni wanaangalia taarifa ya Habari,sms ikaingia toka kwa Mwamba.Ikijieleza hivyo kwa Aisha[emoji3][emoji3]
Sebule ilikuwa ndogo ile siku,kuwa nyie Wapuuzi sisi tunahangaika kutafuta hela nyie mnahonga[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ona huyu Kaka yenu asivyo na akili.
Mimi tangu niache haya mambo..utu uzimani siweki picha kwa galleryMi visa vyangu vyote nilipona.
Mara kwanza nilituma naked picha zamani kwa kimchepuko changu kutiana hamasa ili next week tumeet, so nikaselect picha vizuri nikatuma kwa kutumia option ya kushare from gallery to whatsp, nisijue kumbe nimeopt kushare startus, nikazima data nikaenda zangu kuoga makusud ili nimwachie kamda kakua excitement ili nikirudi nikute txt za wow wow kutoka kwa mchepuko. Nikatoka kuoga nikanyoosha nguo zangu safi nikamaliza nikatulia kuwasha data nikute pongezi zangu nashangaa hola, nikaingia watsp juu kwenye convo ipo ya mtu mwingine sio mchepuko, ndo waswas wasi ukanipanda ghafla kutafuta nimetuma kwa nani, nikatafuta uk mwili unanza kutoa jasho ndo kuangalia status naona nimepost nilisikia utumbo unajikunja mikono inatetemeka nikaingia kuangalia views nikakuta zero bas nikafuta chap, ila nikakaa nikajiuliza mbona views wako zero na nimepost mda mrefu! Kuja kuangalia kwenye privacy kumbe niliweka “share only with” ndo kiliniokoa maana niliyemselect hakua mtu wakuingia online mda mwingi af ni mshikaji so ata angeona isingekua issue sana ndo ikawa pona pona yangu.
Mara nyingine kuna ID fake ya zamani natumia umu[emoji1] sasa kuna siku nashare picha kwenye uzi wa mshana wa mapishi kumbe JF app inatabia ukiwa umenda kuselect picha upande wa gallery inaselect na picha ambazo hujaziselect. Nilikua naselect chapchap nipost sasa wakati nataka kubonyeza done ndo nastuka mbona picha kama zimekua nyingi kuangalia vizuri nikakuta kuna picha zangu nyingi tuu zimejiselect af kibaya umu ninawatu kibao nao fahamiana nao wapo JF so ningejikaanga mwenywe kujiexpose kwa wadau nashukuru mungu haikutokea na tokea siku iyo niko makini kupita kiasi kupost kitu umu JF.
Ukisikia kushindana na hewa, ndio huko!Ni 2017 nilikuwa nachati na wadau whatsapp mida ya saa tatu usiku, muda huo umeme ulikuwa umekatika, simu ikawa inakaribia kuisha chaji nikaona sio mbaya niweke status kabla simu haijazima.
Nikiwa nimeingia sehemu ya status kwenye gallery ghafla ni kama nilimis touch nikachagua video ya x (nilikuwa nimejoin group la connection) na ikajipost status, ebwana ee ukisikia siku ya nyani kufa miti inateleza basi ndio hiyo, yaani nikawa naona naenda kuua heshima yangu, Nilipaniki, kichwa hakikutulia yaani nikaanza kushikilia power button nizime simu ili niizuie, nikabadili maamuzi niweke airplane mode kuzuia data lakini naingia whatsapp naona ishaenda, nilidata zaidi nikaondoa airplane mode niwashe data niwahi kuifuta video lakini ghafla simu ikazima.
Tumbo lilizunguka kwa spidi ya ajabu akili iliniviriga nikawa nimedata nawaza itakuwaje sasa, bimkubwa anaeniona mimi mtoto pekee nilietulia atanichukuliaje? Wadogo zangu Je ? Majirani vp? Yani kiufupi watu tunaoheshimiana wakiiona nimekwisha... , Na hapo kumbuka umeme umekata mtaa mzima hakuna umeme.
Nilitoka nje kama nilivyovaa kikaptula, kivesti na kandambili, nikawahi sehemu ya boda boda nikaikuta moja tu nae kaniambia kuna mteja anamsubiri, kwakweli sikuweza kusubiri boda mwengine, nikamwambia ntampa elf 5 tena sehemu yenyewe ya karibu ni ofisi ya kamari / kubeti huwa wanawasha jenereta.
Yaani boda nikawa namkaripia aongeze mwendo maana naona kama pikipiki haiendi,
Tukiwa njiani nikakumbuka nilisahau chaja maweee!! nilienda duka la njiani niliambiwa chaja elf 10 wala siku fikiria mara mbili
Nafika ofisi za kubeti hawakunielewa kuchaji simu nikatoa hapo hapo elf 5 ambayo ilibidi iwe ya boda boda nikasema tutajuana mbele kwa mbele.
Yaani nikaingia WhatsApp nakuta kuna views kama 3 tayari ila kwa bahati nzuri zilikuwa za marafiki wa viwanjani, kwenye inbox wanaomba full clip.😂😂
Boda naye akanitwanga zaidi kwa kisingizio alikuwa na mteja mwengine nimevurugia ratiba.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]'' Aisha Mimi napambana kukutumia hela na bado hunielewi,unataka nikutumie kiasi gani mpaka unielewe Kipenzi?Ona nimepambana mpaka hii laki tatu uliyotaka nimekutumia shida nini,ujue nakupenda sana na nahangaika sana kwa ajili yako?"
Ujumbe huo aliandika Mwamba katika familia yetu..na masaa machache baada ya kutumiwa hela ya matumizi ya chuo na ada kidogo.(900,000)
Sasa familia wamekaa jioni wanaangalia taarifa ya Habari,sms ikaingia toka kwa Mwamba.Ikijieleza hivyo kwa Aisha[emoji3][emoji3]
Sebule ilikuwa ndogo ile siku,kuwa nyie Wapuuzi sisi tunahangaika kutafuta hela nyie mnahonga[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ona huyu Kaka yenu asivyo na akili.
Omba yasikukute hivi kwa simu hizi na makundi ya whatsapp tuliyojiunga ni bila kua makini ni rahisi sana kuaibika
Wee sema tu ni yule katibu wa nambari one yeeeee! Nambari one,nambari ni.....Hahaaaa kuna mmoja kwenye group letu la viongozi Mkoa wa Iringa akatuma video akimla mkewe. Jamaa ni DWeeED mmoja Iringa, alikuwa anambembeleza mkewe baada ya kuwa wamekosana.
Jamaa akatuma video kwenye group lenye RC, RAS, MADC, MADAS na MaDED. Siku ilikuwa mbaya sana kwake. Ikabidi tuifute na tunyamaze tusijadili.
Kijana wa hovyoMm sijawahi kukosea kutuma hata nikikosea ni zakawaida sana ika kwangu zishaingia 2 moja ya binamu nyingine ya dada
Yabinamu ilikua haina maajabu saana walikua wanabembelezana tu
Ya dada sasa alikua anamsifia jamaa kua na mb.. mkubwa na anajua kuutumia ipasavyo blabla kibao
Na mimi nikamjibu ,,ulifika kileleni mara ngapi? Ina unaonekana ulifurahia sana hongera,, yaani huyo sista mwaka wa nane sasa hatujawahi onana hua tunapishana tu yeye ndie anaona aibu ila mm nilitamani nimle pia
Ili nimnufaishe nani?Acha unafiki wewe
Umekariri,endelea hivyohivyo.User name yako inajieleza
Kuna dogo alikuwa mgeni alituma mzigo kweny group la ofisi, akachachawa badala afute eti kaleft[emoji23][emoji23]
Si kweli....Kama una video za ngono kwenye simu Yako basi wewe na umasikini ni kuku na mtama
Kwa ile sms na kwa muda nilikua nina upwiru niliona wivu sana utadhani demu wangu niliona ili hali irudi kama mwanzo ni kumla tuKwahiyo unatamani kumla dada yako
Mm sijamtaka yeye ndio alinitaka yeye aliamsha mashetani yaliyolalaNimeshangaa sana. Kumbe hao wanaobaka mama zao, watoto zao pengine sio mambo ya kishirikina ila ni akili tu za hovyo kama huyo anaemtaka dada yake.
Nimecheka hadi machozi..Imeshanitokea mkuu..Kipindi kile kabla ya simu za touch. Zilikuwa zile Nokia 3310, nilimuandikia mchepuko msg ndefu kuhusu alivyonipa Jana yake, kuhusu papuchi yake ilivyokuwa ya viwango na maujinga mengine mengi na kitu nitakachomfanyia ikiwa Ni pamoja na kumnunulia kiwanja, kwa bahati mbaya Ile msg niliituma kimakosa kwenda namba ya waif. Sikutilia maanani nikaendelea na shughuli zangu ofisini. Baadaye nikajiuliza mbona huyu mchepuko nimemuahidi kiwanja lakini hajibu msg? Eeh bwana we, kwenda kuangalia vizuri kumbe nimechanganya madesa, msg imeenda home port kwa waif.
Nikaanza kupanik fasta nikatoa udhuru, kipindi kile hakuna bodaboda, Ni daladala, niko Kurasini ofisini naitafuta Kimara home. Nikapanda la Kariakoo kutoka Kurasini, Kariakoo nikapanda la Kimara, Mimi naona gari haitembei. Kufika Kimara nikashuka kwenda home fasta kuliko upesi. Kijasho kimenitoka nakuta waif Yuko tu sitting room anaangalia tamthilia ananiuliza mbona uko hivyo, namuuliza nikovipi, akasema hauko sawa. Nikazama chumbani na kuikuta simu ya waif imetulia kumbe Ile msg hajaisoma, Nikafuta Ile msg huku nacheka kimoyo moyo. Nikivyotoka nikamuambia siku hiyo asipike. Surprise inamsubiri.
Msala Sasa ukabaki kwa mchepuko maana Ile msg niliyokusudia kwa waif ilienda kwa mchepuko. Lkn nikasema hata anijie juu si yeye ni Malaya tu Bora nimeokoa ndoa. Just imagine waif Angeona nimeisifia papuchi ya mchepuko kwamba Ina viwango, ningekua mgeni wa Nani miye?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo naye ni pang'ang'a kabisa..kwamba nimewacchia pilau mlile na naondoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna dogo alikuwa mgeni alituma mzigo kweny group la ofisi, akachachawa badala afute eti kaleft[emoji23][emoji23]