Tuwe wakweli jamani. Hivi chadema wakipewa nchi itakuwaje? Maana msomi ni tundu lisu pekee. Baraza la mawazili itakuwaje?

Tuwe wakweli jamani. Hivi chadema wakipewa nchi itakuwaje? Maana msomi ni tundu lisu pekee. Baraza la mawazili itakuwaje?

1. Prof. Mussa Assad- Waziri wa uchumi/fedha
2.Peter Msigwa- Waziri wa maliasili na utalii
3. John Mnyika- Katiba na Sheria
4.Salum Mwalimu- Mambo ya ndani
5.Amani Golugwa- Mambo ya nje
6.Maria Sarungi- Habari, mawasiliano na teknolojia.
7.Boniface Jacob- Viwanda na Biashara
8.Godlisten Malisa- Elimu na Sayansi.
9. John Heche- Miondombinu na uchukuzi.
10. Ezekiel Wenje- Nishati
11. Dr. Ananilea Nkya- Kazi, Jinsia na watoto
12. Peter Kibatala- Mwanasheria mkuu
13. Catherine Ruge- Kilimo.
14. Benson Kigaila- TAMISEMI
15. Mwabukusi- Madini
16. Hashimu Juma Issa- Ulinzi
17. Sharifa Suleiman- Afya
18.Ardhi- Mtaalamu wa mipango miji na sheria.
 
Tuwe wakwieli jamani tunataka upinzani lakini huu hapana. Imagine baraza la mawazili la vilaza litaongozaje nchi kitaifa na kimataifa.
kwanza watapewa na nani hao 🤣

halafu hiyo serikali itakua ni kichekesho sana dah 🤣
 
  • Mshangao
Reactions: rr4
Tuwe wakwieli jamani tunataka upinzani lakini huu hapana. Imagine baraza la mawazili la vilaza litaongozaje nchi kitaifa na kimataifa.
Mdude_Nyagali atakuwa Waziri wa Mambo ya Ndani huku akisomamia kwa karibu Polisi na Magereza. Kumbuka yule Nyampala wake bado yuko gereza la Luanda
 
Mnawacheka wakenya kwa ukabila Ila nyie mpo busy na uchama. What's the difference?....

Kwani Chadema haiwezi kupata watu competitive kwa kupitisha mfumo wa watu kutuma maombi ya uwaziri wa wizara flani. Mfumo ambao ni mzuri kuliko huu wa kutegemea wabunge wa chamak fulani kuwa mawaziri

Hivi, ni lini watu wataanza kuifikiria hii nchi katika lenzi ya maslahi ya taifa kuliko supremacy ya chama flani?..
 
Tuwe wakwieli jamani tunataka upinzani lakini huu hapana. Imagine baraza la mawazili la vilaza litaongozaje nchi kitaifa na kimataifa.
Si lazima Mawaziri wawe hao hao wapiga debe kwenye chama, wengine wanaweza kuachwa kuendelea kuimarisha chama chao. Halafu nchi ina watu wengi wazuri na wasomi lakini hawapo katika uongozi wa vyama, labda ni wanachama wa kawaida; hawa wanaweza kutumika kuendesha serikali.
 
1.Catherine Ruge anatosha kuwa waziri wa uchumi
2.Peter Msigwa- Waziri wa maliasili na utalii
3. John Mnyika- Katiba na Sheria
John Heche- Mambo ya ndani
huwezi kutaja zaidi ya wa4 na Chadema itakua umekwisha na chama kitakua hakina uongozi tena dah 🐒
 
Back
Top Bottom