Tuwe wakweli jamani. Hivi chadema wakipewa nchi itakuwaje? Maana msomi ni tundu lisu pekee. Baraza la mawazili itakuwaje?

Tuwe wakweli jamani. Hivi chadema wakipewa nchi itakuwaje? Maana msomi ni tundu lisu pekee. Baraza la mawazili itakuwaje?

Generation Z ni kizazi kinachojishughulisha na mbinu zaidi. Maana rahisi ya Teknolojia naweza kusema teknolojia ni somo linalojihusisha na kuchonga mbinu mbalimbali ili kuweza kurahisisha namna za ufanyaji kazi kwa ufanisi zaidi.

Generation Y wengi kwa sababu ya kuwa "less independent" ndo wanafanya mambo kuwa magumu na wengi wanaangukia kwenye uchawa.

Napenda movement ya generation Z ya # Kataa uchawa na # Kataa uozo 2025 .
Hawajitambui, wanadhani maisha ni kama formula
 
Nasema hivi, haichekeshi. Labda wastaafu wenzio ndio watacheka.
Hili siyo jukwaa la vichekesho, nipo very serious na nilichokiandika. Wenye uelewa wameshanielewa.

Upo finyu sana, nenda kajifundishe maana ya "metaphor".
 
Hii jf ndIYo maan ma great thinkers wanazidi kupungua. Sasa hivi ni tofauti na miaka ya nyuma watu walikuwa wanaleta mada fikirishi na zenye kutoa elimu, kUburudisha, na kukemea.

Hawa members wa sasa waliowengi ni watoto na baadhi yao ni wale waliibahatika kusoma SHULE ZA KATA na VYUO VIKUU vilvyoota km uyoga (aka VYUO VYA KATA). Na hawa elimu yao ni nyepesi km karatasi na hoja zao ni laini km toilet paper. Hawa wamejaa uchawa na njaa. Wako radhi kumkana hata mzazi wake kwa sabau hizo 2 nilizotaja hapo juu.

Huu ni ukweli mchungu ambao hawa vijana hawataki kuuskia. Lakini wenzangu na mimi tuliosoma shule za msingi, sekondari na VYUO kuanzia miaka ya 85 hadi 2000 wanajua ninachomaanisha. Ilikuwa ni elimu kwelikweli na mitihani ilikuwa ya kiutu uzima na ndiyo maan tulisoma tukiwa watu wazima tunaojitambua.

Ebu fikiria mleta mada huyu. Hivi great thinker aliepata elimu ya miaka hiyo niliyotaja hapo juu anaweza kuleta mada mbovu km hii. Hata hajui nini maan ya vyama vya upinzani. Hivi anaweza kusema akina KAFULILA et al wakati wanateuliwa na CCM wakiwa siyo wanachama wao ilimaanisha CCM haikuwa na WASOMI au VIONGOZI BORA? Je unaamini pia kuwa siku baba yako akifa mama yako hatapata mume mwingine sababu chaguo lake lilikuwa moja tu and it's vice-versa.

Huyu hana utofauti na wale waliolia na kizimia pindi BABA wa Taifa amefatiki huku wakisema sasa Tz itagawanyika, itavamiwa, imekwisha na blablaa kibao. Hizi akili mgando wanazo sana hawa vijana niliosema wamebahatika kupata elimu ya KATA, wakati wenzao tulipata elimu ya Taifa.

Kwa akili km hizi za mleta mada na mimi sasa nafikiria NING'ATUKE hapa niwaachie nipumzike km wenzangu ambao humu wanaonekana kwa nadra sana km KAKAKUONA. Halafu utaskia wanawaulizia eti hivi ma legend hawa akina MSHANA et al walienda wapi. Wakati jibu wanalo (rhetorical question).

Nimemaliza: BANDOKITITA).
 
Tuwe wakwieli jamani tunataka upinzani lakini huu hapana. Imagine baraza la mawazili la vilaza litaongozaje nchi kitaifa na kimataifa.
CHADEMA “wakipewa” nchi. Na nani? Kivipi? Nani “anayewanyima” nchi hadi leo? Kivipi?

Mada aina hii ni za kishirikina; hazina tija yoyote hapa JF. Sana sana zinadumaza sana uwezo wa kufikiri. Hata michango mingi iko completely off-point. Sababu mada yenyewe ni batili (fallacy).
 
1. Prof. Mussa Assad- Waziri wa uchumi/fedha
2.Peter Msigwa- Waziri wa maliasili na utalii
3. John Mnyika- Katiba na Sheria
4.Salum Mwalimu- Mambo ya ndani
5.Amani Golugwa- Mambo ya nje
6.Maria Sarungi- Habari, mawasiliano na teknolojia.
7.Boniface Jacob- Viwanda na Biashara
8.Godlisten Malisa- Elimu na Sayansi.
9. John Heche- Miondombinu na uchukuzi.
10. Ezekiel Wenje- Nishati
11. Dr. Ananilea Nkya- Kazi, Jinsia na watoto
12. Peter Kibatala- Mwanasheria mkuu
13. Catherine Ruge- Kilimo.
14. Benson Kigaila- TAMISEMI
15. Mwabukusi- Madini
16. Hashimu Juma Issa- Ulinzi
Huu mkeka nimeuelewa mm takua mkuu wa wilaya ya namtumbo huko ili keki ya taifa isinipite
 
Tuwe wakwieli jamani tunataka upinzani lakini huu hapana. Imagine baraza la mawazili la vilaza litaongozaje nchi kitaifa na kimataifa.
Umeshawahi kuwaza Wabunge waliokuwa wa CHADEMA level yao ya elimu???
Wana shule bya kutosha, na ndio maana Magufuli aliwaxhukua wengine na kuwapa kugombea na uwaziri.


1.Katambi Patrobas

2.Mwita waitara
3.Juliana Shonza
To mention few.
 
Hili siyo jukwaa la vichekesho, nipo very serious na nilichokiandika. Wenye uelewa wameshanielewa.

Upo finyu sana, nenda kajifundishe maana ya "metaphor".
Huo userious ulio nao ni wa kiduwanzi, labda watauelewa wazee wenzio.
 
Tuwe wakwieli jamani tunataka upinzani lakini huu hapana. Imagine baraza la mawazili la vilaza litaongozaje nchi kitaifa na kimataifa.
Ngoja nicheke kwanza, labda nikimaliza naweza kuchangia. Ukiona sijachangia ina maana bado ninacheka.
 
luambo makiadi ndugu zao wakina Lema elimu ya ujanja , Mbwe alipelekwa kibaha kwa vile mzee alikuwa na pesa ...ELimu imechezewa sana 😀 😀
 
Si mpaka iwe.

Chagua kwa Umakini 2024-2025

Piga kura ya Hapana[❌] kwa CHADEMA.
 
Back
Top Bottom