S.M.P2503
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 2,421
- 4,344
Nyerere aliomba Uhuru akiwa na wasomi wangapi? na sasa wako wangapi? anzia hapo kwanza...Ila ipo wazi, CCM ni mbovu ila vyama vya upinzani ni vibovu zaidi.
Bora tubaki na hawa mumiani wetu wa CCM kuliko kuchagua wapinzani