CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavuMnawacheka wakenya kwa ukabila Ila nyie mpo busy na uchama. What's the difference?....
Kwani Chadema haiwezi kupata watu competitive kwa kupitisha mfumo wa watu kutuma maombi ya uwaziri wa wizara flani. Mfumo ambao ni mzuri kuliko huu wa kutegemea wabunge wa chamak fulani kuwa mawaziri
Hivi, ni lini watu wataanza kuifikiria hii nchi katika lenzi ya maslahi ya taifa kuliko supremacy ya chama flani?..