Tuwe wakweli jamani. Hivi chadema wakipewa nchi itakuwaje? Maana msomi ni tundu lisu pekee. Baraza la mawazili itakuwaje?

Tuwe wakweli jamani. Hivi chadema wakipewa nchi itakuwaje? Maana msomi ni tundu lisu pekee. Baraza la mawazili itakuwaje?

Ila ipo wazi, CCM ni mbovu ila vyama vya upinzani ni vibovu zaidi.

Bora tubaki na hawa mumiani wetu wa CCM kuliko kuchagua wapinzani
Walau CCM wakibanwa wanaweza ku revolve ,hao wengine ni loosers tuu ,wajinga kina Gen-Z ndio wanaweza wachagu Kwa sifa hizi hapa 👇
20240629_081434.jpg
 
Kwa jinsi rais alivyo na nguvu hii nchi, ni bora kuwa na mwenye akili mmoja aongoze vilaza, kuliko kilaza mmoja aongoze hao 'wenye akili' kama ilivyo sasa.
 
Wewe mtoa mada pamoja na sisi,sote tu wajinga tu.
Watoto wadogo below 25yrs wameikalia kooni Serikali yao mpaka wananyooka.Wewe jitu Zima unatuletea mambo ya kijuha hapa.

Hao watu walioko wana maajabu gani?.Bandari wameshindwa kuiendesha mpaka wameikodisha?
Hata Biashara ya Mabasi tu ya mwendokasi wameshindwa!
Kwa hapa tulipofika hii Nchi hata akipewa Hashim Rungwe Sipunda itakuwa na afadhali kuliko hicho Chama chako.
Tumeichoka CCM,Mimi sitaki kabisa hata kuisikia.
 
Tuwe wakwieli jamani tunataka upinzani lakini huu hapana. Imagine baraza la mawazili la vilaza litaongozaje nchi kitaifa na kimataifa.
= mawaziri

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Mnawacheka wakenya kwa ukabila Ila nyie mpo busy na uchama. What's the difference?....

Kwani Chadema haiwezi kupata watu competitive kwa kupitisha mfumo wa watu kutuma maombi ya uwaziri wa wizara flani. Mfumo ambao ni mzuri kuliko huu wa kutegemea wabunge wa chamak fulani kuwa mawaziri

Hivi, ni lini watu wataanza kuifikiria hii nchi katika lenzi ya maslahi ya taifa kuliko supremacy ya chama flani?..
Inasikitisha sana Mkuu,Baada ya wale watoto kufanya walichokifanya KENYA,nimeamini kweli sisi ni Maiti tu zinazotembea.
 
Nchi hatuwapi lakini ikitokea bahati mbaya wakapata uongozi wataiba mpaka bahari waipeleke Kilimanjaro.
 
Walau CCM wakibanwa wanaweza ku revolve ,hao wengine ni loosers tuu ,wajinga kina Gen-Z ndio wanaweza wachagu Kwa sifa hizi hapa 👇View attachment 3028876
Generation Z ni kizazi kinachojishughulisha na mbinu zaidi. Maana rahisi ya Teknolojia naweza kusema teknolojia ni somo linalojihusisha na kuchonga mbinu mbalimbali ili kuweza kurahisisha namna za ufanyaji kazi kwa ufanisi zaidi.

Generation Y wengi kwa sababu ya kuwa "less independent" ndo wanafanya mambo kuwa magumu na wengi wanaangukia kwenye uchawa.

Napenda movement ya generation Z ya # Kataa uchawa na # Kataa uozo 2025 .
 
Tuwe wakwieli jamani tunataka upinzani lakini huu hapana. Imagine baraza la mawazili la vilaza litaongozaje nchi kitaifa na kimataifa.
Kama Nyerere aliendesha nchi akiwa na kina Kawawa kuna mtu atashindwa? Halafu wasomi gani unawaaongelea hao akina Kabudi, Mwakyembe nk wasioweza kusimamia hata machapisho yao ya mwanzo? Siku nilijua wasomi wa nchi hii ni utopolo ni siku Kabudi kanywa dawa isiyo na udhitisho wa kimaabara hadharani, kisha akawa anasema hiyo dawa huko Madagascar rais ndio anaigawa. Inshort usitaje mambo ya usomi maana ni aibu.
 
Kwa madudu haya ya CCM, kwa mara ya kwanza nitampigia kura mgombea wa Chadema..
 
Mnawacheka wakenya kwa ukabila Ila nyie mpo busy na uchama. What's the difference?....

Kwani Chadema haiwezi kupata watu competitive kwa kupitisha mfumo wa watu kutuma maombi ya uwaziri wa wizara flani. Mfumo ambao ni mzuri kuliko huu wa kutegemea wabunge wa chamak fulani kuwa mawaziri

Hivi, ni lini watu wataanza kuifikiria hii nchi katika lenzi ya maslahi ya taifa kuliko supremacy ya chama flani?..
Wanajua hilo ila ni kujitoa ufahamu
 
Kama Nyerere aliendesha nchi akiwa na kina Kawawa kuna mtu atashindwa? Halafu wasomi gani unawaaongelea hao akina Kabudi, Mwakyembe nk wasioweza kusimamia hata machapisho yao ya mwanzo? Siku nilijua wasomi wa nchi hii ni utopolo ni siku Kabudi kanywa dawa isiyo na udhitisho wa kimaabara, kisha akawa anasema hiyo dawa huko Madagascar rais ndio anaigawa. Inshort usitaje mambo ya usomi maana ni aibu.
Wasomi wenyewe wamekuwa wezi tu..
 
Back
Top Bottom