CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavuMnawacheka wakenya kwa ukabila Ila nyie mpo busy na uchama. What's the difference?....
Kwani Chadema haiwezi kupata watu competitive kwa kupitisha mfumo wa watu kutuma maombi ya uwaziri wa wizara flani. Mfumo ambao ni mzuri kuliko huu wa kutegemea wabunge wa chamak fulani kuwa mawaziri
Hivi, ni lini watu wataanza kuifikiria hii nchi katika lenzi ya maslahi ya taifa kuliko supremacy ya chama flani?..
Covid 19 na wengine km Juakali, dr Mkumbo na wengine wengi mbona wako huko ccm kutokea CDM wamepewa uwaziri,ukuu wa wilaya na maatasisi nyeti km Kafulila, Gekur nk bado ndiyo wanaounda serikali ya ccm na hamjaibomoa hazina ya wasomi Chadema. huo ni ushahidi tosha CDM inaweza kuunda serikali. wako vizuri kwa sasa.1.Catherine Ruge anatosha kuwa waziri wa uchumi
2.Peter Msigwa- Waziri wa maliasili na utalii
3. John Mnyika- Katiba na Sheria
Mawazo ya aina yako ndiyo yanairudisha nchi nyuma. Mimi kiongozi mzuri ni yule anayeteua viongozi kutoka makundi mbali mbali bila kujali vyama ili mradi wana weledi na wanakubali kushirikiana na uongozi uliopo. BTW CCM viongozi wachache mbona ni wachache sana?Tuwe wakwieli jamani tunataka upinzani lakini huu hapana. Imagine baraza la mawazili la vilaza litaongozaje nchi kitaifa na kimataifa.
Ehee bwana mama kaenda mpaka Manchester university yupo vyema sema kufuatilia hawezi watu wanamhujumuUdsm. Pia kizuri chajiuza. Sikiliza hotuba zake utajua ana sifa hizo
Siwezi nikawaita wapumbavu Ila kwenyw kuangalia ubora, kuna shida mahali ndio maana kuna watu wanakuwa mawaziri si kwa sababu wapo competitive Ila ni kwa sababu wapo kwenye mfumo.CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu
Kwa katiba hii Rais anaweza kuwateua wabunge 10 pia.Mnawacheka wakenya kwa ukabila Ila nyie mpo busy na uchama. What's the difference?....
Kwani Chadema haiwezi kupata watu competitive kwa kupitisha mfumo wa watu kutuma maombi ya uwaziri wa wizara flani. Mfumo ambao ni mzuri kuliko huu wa kutegemea wabunge wa chamak fulani kuwa mawaziri
Hivi, ni lini watu wataanza kuifikiria hii nchi katika lenzi ya maslahi ya taifa kuliko supremacy ya chama flani?..
Waliosalia ni mihemko na hata yeye Lisu anachojua ni Sheria na kesi tuu Sasa Nchi itaendeshwaje si itakuwa kama sharia za Al Shaabab? ππTuwe wakwieli jamani tunataka upinzani lakini huu hapana. Imagine baraza la mawazili la vilaza litaongozaje nchi kitaifa na kimataifa.
Una stress sana we jamaa.Tuwe wakwieli jamani tunataka upinzani lakini huu hapana. Imagine baraza la mawazili la vilaza litaongozaje nchi kitaifa na kimataifa.
Kwanza hawawezi Utawala maana huko kwao hawaelewani na pia hawana uzoefu wowote wa kiungozi na mda wote wamejaa stress kufura kutoka yaani shida tupuMnawacheka wakenya kwa ukabila Ila nyie mpo busy na uchama. What's the difference?....
Kwani Chadema haiwezi kupata watu competitive kwa kupitisha mfumo wa watu kutuma maombi ya uwaziri wa wizara flani. Mfumo ambao ni mzuri kuliko huu wa kutegemea wabunge wa chamak fulani kuwa mawaziri
Hivi, ni lini watu wataanza kuifikiria hii nchi katika lenzi ya maslahi ya taifa kuliko supremacy ya chama flani?..
Bunge la CCM ππUna stress sana we jamaa.
Pale CCM Msomi ni nani?
Paramagamba Kabudi tu, wengine wote wana vyeti feki na udaktari wa mazabe. Halafu Chadema kuna Wasomi ambao sio watu wa kwenye video. Kibatala, Dickson Matata, yule MKURUGENZI na mwenyekiti wa mambo ya fedha wao ambao ni CPA na anatambulika mpaka na Waingereza
hao ni wachache lakini pia, ukiangalia quality ya wateuliwa huwa ni kama Rais amepewa chance ya kuingiza mawaziri anaowataka katika baraza lake la mawaziri. Hapo ndipo watu wenye quality kama Mulamula hupata chance ya kutumika.Kwa katiba hii Rais anaweza kuwateua wabunge 10 pia.
litakuwa balaza la vioja vitupu waziri mkuu simuoni waziri wa fedha simuoni waziri wa mambo ya ndani namuona lema anavyorudisha wimbi la wezi maana nayeye ni mwiziTuwe wakwieli jamani tunataka upinzani lakini huu hapana. Imagine baraza la mawazili la vilaza litaongozaje nchi kitaifa na kimataifa.
Bado Sijaona chama ambacho kinakaribia hata excellence ya kusimamia maslahi ya nchi hii. Chadema ya kabla ya 2015 ilikuwa inakuja kuja Ila kwa sasa. HapanaKwanza hawawezi Utawala maana huko kwao hawaelewani na pia hawana uzoefu wowote wa kiungozi na mda wote wamejaa stress kufura kutoka yaani shida tupu
Hili ndilo jibu sahihi.Si lazima Mawaziri wawe hao hao wapiga debe kwenye chama, wengine wanaweza kuachwa kuendelea kuimarisha chama chao. Halafu nchi ina watu wengi wazuri na wasomi lakini hawapo katika uongozi wa vyama, labda ni wanachama wa kawaida; hawa wanaweza kutumika kuendesha serikali.
Pamoja na makando kando ya ccm ila Wana unafuu kuliko hao roporopo.Bado Sijaona chama ambacho kinakaribia hata excellence ya kusimamia maslahi ya nchi hii. Chadema ya kabla ya 2015 ilikuwa inakuja kuja Ila kwa sasa. Hapana