ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Walau CCM wakibanwa wanaweza ku revolve ,hao wengine ni loosers tuu ,wajinga kina Gen-Z ndio wanaweza wachagu Kwa sifa hizi hapa 👇Ila ipo wazi, CCM ni mbovu ila vyama vya upinzani ni vibovu zaidi.
Bora tubaki na hawa mumiani wetu wa CCM kuliko kuchagua wapinzani
Sasa Machadema hamjawahi hata kuwa PS 😁😁Mama abdul si sekretari? Mbn anaongoza
Nyerere nae walimuuliza swali hilo hilo, muhimu ni accountabilityTuwe wakwieli jamani tunataka upinzani lakini huu hapana. Imagine baraza la mawazili la vilaza litaongozaje nchi kitaifa na kimataifa.
U ps mwenyewe bmkubwa si alipewa enzi hizo hata hijabu havaiSasa Machadema hamjawahi hata kuwa PS 😁😁
Sawa lakini anajua Siri nyingi za Utawala kuliko nyie ropo ropo ,ameanza kama mtumishi wa Umma.U ps mwenyewe bmkubwa si alipewa enzi hizo hata hijabu havai
Mama anaijua miti mingi kuliko ngedere
Kwani tuwewahi kuongoza?Sawa lakini anajua Siri nyingi za Utawala kuliko nyie ropo ropo ,ameanza kama mtumishi wa Umma.
= mawaziriTuwe wakwieli jamani tunataka upinzani lakini huu hapana. Imagine baraza la mawazili la vilaza litaongozaje nchi kitaifa na kimataifa.
Inasikitisha sana Mkuu,Baada ya wale watoto kufanya walichokifanya KENYA,nimeamini kweli sisi ni Maiti tu zinazotembea.Mnawacheka wakenya kwa ukabila Ila nyie mpo busy na uchama. What's the difference?....
Kwani Chadema haiwezi kupata watu competitive kwa kupitisha mfumo wa watu kutuma maombi ya uwaziri wa wizara flani. Mfumo ambao ni mzuri kuliko huu wa kutegemea wabunge wa chamak fulani kuwa mawaziri
Hivi, ni lini watu wataanza kuifikiria hii nchi katika lenzi ya maslahi ya taifa kuliko supremacy ya chama flani?..
Generation Z ni kizazi kinachojishughulisha na mbinu zaidi. Maana rahisi ya Teknolojia naweza kusema teknolojia ni somo linalojihusisha na kuchonga mbinu mbalimbali ili kuweza kurahisisha namna za ufanyaji kazi kwa ufanisi zaidi.Walau CCM wakibanwa wanaweza ku revolve ,hao wengine ni loosers tuu ,wajinga kina Gen-Z ndio wanaweza wachagu Kwa sifa hizi hapa 👇View attachment 3028876
Kama Nyerere aliendesha nchi akiwa na kina Kawawa kuna mtu atashindwa? Halafu wasomi gani unawaaongelea hao akina Kabudi, Mwakyembe nk wasioweza kusimamia hata machapisho yao ya mwanzo? Siku nilijua wasomi wa nchi hii ni utopolo ni siku Kabudi kanywa dawa isiyo na udhitisho wa kimaabara hadharani, kisha akawa anasema hiyo dawa huko Madagascar rais ndio anaigawa. Inshort usitaje mambo ya usomi maana ni aibu.Tuwe wakwieli jamani tunataka upinzani lakini huu hapana. Imagine baraza la mawazili la vilaza litaongozaje nchi kitaifa na kimataifa.
Haichekeshi.Nchi hatuwapi lakini ikitokea bahati mbaya wakapata uongozi wataiba mpaka bahari waipeleke Kilimanjaro.
Wanajua hilo ila ni kujitoa ufahamuMnawacheka wakenya kwa ukabila Ila nyie mpo busy na uchama. What's the difference?....
Kwani Chadema haiwezi kupata watu competitive kwa kupitisha mfumo wa watu kutuma maombi ya uwaziri wa wizara flani. Mfumo ambao ni mzuri kuliko huu wa kutegemea wabunge wa chamak fulani kuwa mawaziri
Hivi, ni lini watu wataanza kuifikiria hii nchi katika lenzi ya maslahi ya taifa kuliko supremacy ya chama flani?..
Wasomi wenyewe wamekuwa wezi tu..Kama Nyerere aliendesha nchi akiwa na kina Kawawa kuna mtu atashindwa? Halafu wasomi gani unawaaongelea hao akina Kabudi, Mwakyembe nk wasioweza kusimamia hata machapisho yao ya mwanzo? Siku nilijua wasomi wa nchi hii ni utopolo ni siku Kabudi kanywa dawa isiyo na udhitisho wa kimaabara, kisha akawa anasema hiyo dawa huko Madagascar rais ndio anaigawa. Inshort usitaje mambo ya usomi maana ni aibu.
Tuambie Elimu ya Makonda, Nape na Sa100Tuwe wakwieli jamani tunataka upinzani lakini huu hapana. Imagine baraza la mawazili la vilaza litaongozaje nchi kitaifa na kimataifa.