ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hawajitambui, wanadhani maisha ni kama formulaGeneration Z ni kizazi kinachojishughulisha na mbinu zaidi. Maana rahisi ya Teknolojia naweza kusema teknolojia ni somo linalojihusisha na kuchonga mbinu mbalimbali ili kuweza kurahisisha namna za ufanyaji kazi kwa ufanisi zaidi.
Generation Y wengi kwa sababu ya kuwa "less independent" ndo wanafanya mambo kuwa magumu na wengi wanaangukia kwenye uchawa.
Napenda movement ya generation Z ya # Kataa uchawa na # Kataa uozo 2025 .
Ulifikiri hili jukwaa la vichekesho?Haichekeshi.
Nasema hivi, haichekeshi. Labda wastaafu wenzio ndio watacheka.Ulifikiri hili jukwaa la vichekesho?
Hili siyo jukwaa la vichekesho, nipo very serious na nilichokiandika. Wenye uelewa wameshanielewa.Nasema hivi, haichekeshi. Labda wastaafu wenzio ndio watacheka.
Hoja ya mtoa mada umeidhihirisha Kwa asilimia zote.Tutamweka mamako na dada zako
CHADEMA βwakipewaβ nchi. Na nani? Kivipi? Nani βanayewanyimaβ nchi hadi leo? Kivipi?Tuwe wakwieli jamani tunataka upinzani lakini huu hapana. Imagine baraza la mawazili la vilaza litaongozaje nchi kitaifa na kimataifa.
Hakupewa kweli?Ana masters yule ya uchumi. Google cv yake utaona
Hakupewa kweliAna masters yule ya uchumi. Google cv yake utaona
Huu mkeka nimeuelewa mm takua mkuu wa wilaya ya namtumbo huko ili keki ya taifa isinipite1. Prof. Mussa Assad- Waziri wa uchumi/fedha
2.Peter Msigwa- Waziri wa maliasili na utalii
3. John Mnyika- Katiba na Sheria
4.Salum Mwalimu- Mambo ya ndani
5.Amani Golugwa- Mambo ya nje
6.Maria Sarungi- Habari, mawasiliano na teknolojia.
7.Boniface Jacob- Viwanda na Biashara
8.Godlisten Malisa- Elimu na Sayansi.
9. John Heche- Miondombinu na uchukuzi.
10. Ezekiel Wenje- Nishati
11. Dr. Ananilea Nkya- Kazi, Jinsia na watoto
12. Peter Kibatala- Mwanasheria mkuu
13. Catherine Ruge- Kilimo.
14. Benson Kigaila- TAMISEMI
15. Mwabukusi- Madini
16. Hashimu Juma Issa- Ulinzi
Umeshawahi kuwaza Wabunge waliokuwa wa CHADEMA level yao ya elimu???Tuwe wakwieli jamani tunataka upinzani lakini huu hapana. Imagine baraza la mawazili la vilaza litaongozaje nchi kitaifa na kimataifa.
Kwani nyie UWT hamwezi kuteuliwa na Lissu?Tuwe wakwieli jamani tunataka upinzani lakini huu hapana. Imagine baraza la mawazili la vilaza litaongozaje nchi kitaifa na kimataifa.
Huo userious ulio nao ni wa kiduwanzi, labda watauelewa wazee wenzio.Hili siyo jukwaa la vichekesho, nipo very serious na nilichokiandika. Wenye uelewa wameshanielewa.
Upo finyu sana, nenda kajifundishe maana ya "metaphor".
Upo "shallow" sana.Huo iserious ulio nao ni wa kiduwanzi, labda watauelewa wazee wenzio.
Ngoja nicheke kwanza, labda nikimaliza naweza kuchangia. Ukiona sijachangia ina maana bado ninacheka.Tuwe wakwieli jamani tunataka upinzani lakini huu hapana. Imagine baraza la mawazili la vilaza litaongozaje nchi kitaifa na kimataifa.
Ungekuwa uko wide, usingeleta ule mfano wa kipuuzi kwa uzee ulionao.Upo "shallow" sana.