Tuweka mihemko pembeni, Hezbollah kapigwa kachakaa, pona yao ni Biden kuinyima Israel silaha kulazimisha cease fire

Netanyau vita ilimshinda hii
Hao hezbollah wamefanya shambulio lipi lenye kulingana na wao kushambuliwa na pagers, kuuliwa kwa viongozi wao kibao, Kuvuliwa ubabe wao Lebanon ya kusini kiasi cha jeshi la Lebanon kurudi huko, n.k.
 
Sio kweli, hizbollah wamechemka kwenye vita hivi ukweli usemwe tu wamechakazwa wakachakaa cisefire ndio imewaokoa wangekua fit unafikiri half magaidi wangekubali kirahisi hivyo,kipigo cha akili kimewatuliza hao terrorist army
 
🇱🇧 Hezbollah MP, Hussein Al-Hajj Hassan, stated that the Lebanese government is responsible for signing the agreement, and that their observations were considered. He added that if Israel attacks, each incident will be addressed and discussed.

🚩 @ResistanceTrench
 
Kwa mara ya kwanza kwa kipindi kirefu jeshi la Lebanon limeenda kusimamia Lebanon ya kusini na kuwazuia Hezbollah, ni baada ya Israel kkufanya yake
Ni baada ya Lebanon kuhongwa na US na wakaingia cease fire
 
Bora hao wa huko wanatudanganya kuliko wewe wa namtumbo huko unavyo tupiga fix hapa na story zako za kujitungia baada ya kushiba sahani ya ugali na bakuli la maharage ya kuchemsha 😩🙁
 
Sio kweli, hizbollah wamechemka kwenye vita hivi ukweli usemwe tu wamechakazwa wakachakaa cisefire ndio imewaokoa wangekua fit unafikiri half magaidi wangekubali kirahisi hivyo,kipigo cha akili kimewatuliza hao terrorist army
Kuchakaa unamaana ipi? aliechakaa anaweza kufanya oparation 40+ kwa siku? Anaweza kuzuia mgambo kuvuka mpaka unahabari battalion ya Golan yote imeenda na maji kwa oparation ya siku moja?
 
Kuchakaa unamaana ipi? aliechakaa anaweza kufanya oparation 40+ kwa siku? Anaweza kuzuia mgambo kuvuka mpaka unahabari battalion ya Golan yote imeenda na maji kwa oparation ya siku moja?
Tuweke ushaidi niamini kama hao kunguni warusha rocket wameweza hilo au story za vijiweni huko
 
Ukweli Israel kapata hasara sana Lebanon,kukubali kusitisha vita ni ishara ya kushindwa, mbona Gaza hana upinzani hataki kusitisha vita?
 
Tuweke ushaidi niamini kama hao kunguni warusha rocket wameweza hilo au story za vijiweni huko
Wewe kama hutaki kutafuta taarifa usituchoshe kuna watu ni understanding tunadiscuss hizi ishu na wanatoa maoni kwa fact wengine ni christians tena wale msimamo mkali ila hawamwelewi myahudi sijui nyie mna shida gan

Kwahio hata ukiambiwa utapinga tuu mnapenda kusikia mazuri ya myahudi ambayo actually ni mabaya kwa wapenda usawa na haki
 

Attachments

  • Screenshot_20241128-221630.png
    381.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20241128-222540.png
    342.1 KB · Views: 1
Sheikh Qassim anakua na kauoga falni hivi Nasrallah asingetoa hata huu mwanya

🟡 Breaking | If the Israelis want to stop the war, we will accept. But we will not beg for a ceasefire. Nor will we talk directly to the Israelis. We will not beg for a ceasefire, and any political solution will be achieved through indirect negotiations. We remain steadfast in countering the aggression. Should Israel choose to cease its offensive, we are willing to accept—provided it is under terms we consider suitable.

— Shaykh Naim (H) on 30 october 2024

@enemywatch
 
Kama siraha anazotoa zinamvua nguo yey na taifa lake, unahisi yapi yalikua maamzi sahihi badala ya hayo maamzi?
 
Poll hio ndani ya Israel
— 🇮🇱/🇱🇧 NEW: Only 26% of Israelis say they believe Israel 'won the war' against Hezbollah, while 61% say Israel did not win, and 13% are unsure

@Middle_East_Spectator
 
Poll hio ndani ya Israel
— 🇮🇱/🇱🇧 NEW: Only 26% of Israelis say they believe Israel 'won the war' against Hezbollah, while 61% say Israel did not win, and 13% are unsure

@Middle_East_Spectator
Still standing..
 
Wenyewe kabla ya cease fire, halafu msikie mmatumbi wa sitimbi akija humu hzb kachakaa

🏴‍☠️ Israeli media outlet "Channel 12" reports that the ceasefire agreement with Lebanon, coupled with the current situation on the ground, is causing sleepless nights for residents of the northern region, raising doubts about their sense of safety and their willingness to return.

🚩 @ResistanceTrench
 
Still standing..
I got disturbed emotionally, a lot of sleepless nights and nightmares whenever I scrolls the reports from Gaza. I tried to abandon my phone, but I got back to it. I just praying to get relief from this, the disbelievers are evil
 
underground iliishia wapi ya Israel kule Lebanon? jifunze kujua kwanini walifeli
 
Huyo ni Netanyau akisema speech masaa kadhaa kabla ya cease fire hakuna namna choice zote ni mbaya bora achukue kidogo kilichoko mezani
Kwanini mseme hzb ndio kachemka


Netanyahu to head of northern settlements: We have no other choice. We must choose bad instead of worse and take ceasefire. Our focus should be on Iran threat now.

Those faces say it all
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…