Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,392
- 9,187
Netanyau vita ilimshinda hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao hezbollah wamefanya shambulio lipi lenye kulingana na wao kushambuliwa na pagers, kuuliwa kwa viongozi wao kibao, Kuvuliwa ubabe wao Lebanon ya kusini kiasi cha jeshi la Lebanon kurudi huko, n.k.Netanyau vita ilimshinda hii
Sio kweli, hizbollah wamechemka kwenye vita hivi ukweli usemwe tu wamechakazwa wakachakaa cisefire ndio imewaokoa wangekua fit unafikiri half magaidi wangekubali kirahisi hivyo,kipigo cha akili kimewatuliza hao terrorist armyKwa Israeli ni wazi in short run waliweza kuwadhibiti hawa jamaa ila kwa mahesabu ya long-run israel ingeishia kupata hasara maana kuna mahali israeli wameanza kuchemka,unajua kuwapiga hawa izbolah siyo jambo jepesi inahitaji mikakati ya mda mrefu sasa kuuwa viongoz siyo mkakati unaoweza kubadili hali ya vita hato kidogo ,kubwa ni kuua miundo mbinu yote ya adui inayompa nguvu ya kufanya mashambulizi hilo israel ameshindwa kabisa,yan kiufup bora tuu wamekaa mezani pamoja,kwa upande wa izbolah nao hawana Cha kujivunia maana hata wao malengo yao ya kuipiga tafu Hamas mpaka mwisho hayakutimia kwa haraka kama walivyodhani hivyo hii ngoma ni kati hakuna mshindi
Ni baada ya Lebanon kuhongwa na US na wakaingia cease fireKwa mara ya kwanza kwa kipindi kirefu jeshi la Lebanon limeenda kusimamia Lebanon ya kusini na kuwazuia Hezbollah, ni baada ya Israel kkufanya yake
Bora hao wa huko wanatudanganya kuliko wewe wa namtumbo huko unavyo tupiga fix hapa na story zako za kujitungia baada ya kushiba sahani ya ugali na bakuli la maharage ya kuchemsha 😩🙁Bosi nimekupigia hesabu umezielewa lakini? Msaada wa Usa kwa Israel total ni $310B usd hao ni Usa tu toa Ulaya na Nchi nyengine washirika kama Australia.
Na kuna Makampuni kibao yapo Israel Kisiasa, mfano Mzuri ni intel, Division yao ya Israel ni jipu kila siku ina ingiza hasara na kubebwa mpaka sasa wanakaribia kufilisika ndio wameipiga chini.
Hapo Israel wakristo waarabu ni more educated kushinda kundi lolote lile including jews, wana Elimu na Vumbuzi kibao ila mnapigwa kamba na kudanganyana tu humu.
Kuchakaa unamaana ipi? aliechakaa anaweza kufanya oparation 40+ kwa siku? Anaweza kuzuia mgambo kuvuka mpaka unahabari battalion ya Golan yote imeenda na maji kwa oparation ya siku moja?Sio kweli, hizbollah wamechemka kwenye vita hivi ukweli usemwe tu wamechakazwa wakachakaa cisefire ndio imewaokoa wangekua fit unafikiri half magaidi wangekubali kirahisi hivyo,kipigo cha akili kimewatuliza hao terrorist army
Tuweke ushaidi niamini kama hao kunguni warusha rocket wameweza hilo au story za vijiweni hukoKuchakaa unamaana ipi? aliechakaa anaweza kufanya oparation 40+ kwa siku? Anaweza kuzuia mgambo kuvuka mpaka unahabari battalion ya Golan yote imeenda na maji kwa oparation ya siku moja?
Wewe kama hutaki kutafuta taarifa usituchoshe kuna watu ni understanding tunadiscuss hizi ishu na wanatoa maoni kwa fact wengine ni christians tena wale msimamo mkali ila hawamwelewi myahudi sijui nyie mna shida ganTuweke ushaidi niamini kama hao kunguni warusha rocket wameweza hilo au story za vijiweni huko
Tangu lini ?Kumbe hujui Yahudi ni Mtawala wa US
Kama siraha anazotoa zinamvua nguo yey na taifa lake, unahisi yapi yalikua maamzi sahihi badala ya hayo maamzi?Wiki iliyopita Bunge la marekani lilipiga kura kwa ushindi mkubwa kufuta katazo la kuiuzia Israel Silaha lakini haikuwa hivyo kwa Rais, Biden ana presha kubwa sana ya kutafuta chochote cha kujisifia kwa siku 60 alizobakiza, Alimwambia Netanyahu akubali kustop mashambulizi lasivyo hamuuzii silaha, Netanyahu kwa uchungu imebidi akubali, Biden anajisifia kwenye vyombo kasitisha vita lakini ni kwa siku 60 tu, Baada ya hapo Trump kipenzi cha Israel akiapishwa atafuta katazo
Nawaona Hezbollah wanashangilia hii cease fire, Kwa hizi facts utawaona ni matahira:
Uongozi mzima wa juu wa Hezbollah ulisambaratishwa, ni aibu kubwa sana leadership kuwa vulnerable kiasi hiki, Nasrallah alikuwa anajificha kudhani hawajui alipo lakini kilichomkuta kitabaki kwenye vitabu vya historia.
View attachment 3164352
Shambulio la Pagers - Hili shambulizi la mwaka, Ni mchanganyiko wa Supply chain attack na Cyber attack, Hezbollah 1,200 waliobeba pagers walifumuliwa viuno na vilivyomo ndani ya mifuko
View attachment 3164357
Israel imeweza kuidhoofisha ngome kuu ya Hezbollah - Lebanon ya kusini ilikuwa ngome kuu ya Hezbollah, Kwa mara ya kwanza kwa kipindi kirefu, Jeshi la Lebanon limediriki kwenda kulichukua eneo hili, hapo kabla jeshi la lebanon walikuwa kama waangalizi wa nyumba lakini muda huu wanarudi kuwa wamiliki wa nyumba, hawakuwa na nguvu yoyote mbele ya Hezbollah, walikuwepo Lebanon ya kusini lakini kwa uchache na waliwekewa masharti na Hezbollah wasithubutu kuingilia mambo yasiyowahusu, Ni baada ya Israel kuidhoofisha ngome hio ndio wameweza kupata ujasiri wa kuchukua maeneo hayo na kuwashambulia Hezbollah.
View attachment 3164364
Still standing..Poll hio ndani ya Israel
— 🇮🇱/🇱🇧 NEW: Only 26% of Israelis say they believe Israel 'won the war' against Hezbollah, while 61% say Israel did not win, and 13% are unsure
@Middle_East_Spectator
Akili za kutumia hizo silaha wazitoe wapi! Silaha za kisasa zinahitaji elimu ya juu na IQ kubwaHata Hizbollah ingepewa silaha na Super Power Mzito kama Marekani basi Israel ingechakaa
I got disturbed emotionally, a lot of sleepless nights and nightmares whenever I scrolls the reports from Gaza. I tried to abandon my phone, but I got back to it. I just praying to get relief from this, the disbelievers are evilStill standing..
underground iliishia wapi ya Israel kule Lebanon? jifunze kujua kwanini walifeliWiki iliyopita Bunge la marekani lilipiga kura kwa ushindi mkubwa kufuta katazo la kuiuzia Israel Silaha lakini haikuwa hivyo kwa Rais, Biden ana presha kubwa sana ya kutafuta chochote cha kujisifia kwa siku 60 alizobakiza, Alimwambia Netanyahu akubali kustop mashambulizi lasivyo hamuuzii silaha, Netanyahu kwa uchungu imebidi akubali, Biden anajisifia kwenye vyombo kasitisha vita lakini ni kwa siku 60 tu, Baada ya hapo Trump kipenzi cha Israel akiapishwa atafuta katazo
Nawaona Hezbollah wanashangilia hii cease fire, Kwa hizi facts utawaona ni matahira:
Uongozi mzima wa juu wa Hezbollah ulisambaratishwa, ni aibu kubwa sana leadership kuwa vulnerable kiasi hiki, Nasrallah alikuwa anajificha kudhani hawajui alipo lakini kilichomkuta kitabaki kwenye vitabu vya historia.
View attachment 3164352
Shambulio la Pagers - Hili shambulizi la mwaka, Ni mchanganyiko wa Supply chain attack na Cyber attack, Hezbollah 1,200 waliobeba pagers walifumuliwa viuno na vilivyomo ndani ya mifuko
View attachment 3164357
Israel imeweza kuidhoofisha ngome kuu ya Hezbollah - Lebanon ya kusini ilikuwa ngome kuu ya Hezbollah, Kwa mara ya kwanza kwa kipindi kirefu, Jeshi la Lebanon limediriki kwenda kulichukua eneo hili, hapo kabla jeshi la lebanon walikuwa kama waangalizi wa nyumba lakini muda huu wanarudi kuwa wamiliki wa nyumba, hawakuwa na nguvu yoyote mbele ya Hezbollah, walikuwepo Lebanon ya kusini lakini kwa uchache na waliwekewa masharti na Hezbollah wasithubutu kuingilia mambo yasiyowahusu, Ni baada ya Israel kuidhoofisha ngome hio ndio wameweza kupata ujasiri wa kuchukua maeneo hayo na kuwashambulia Hezbollah.
View attachment 3164364