Tuweka mihemko pembeni, Hezbollah kapigwa kachakaa, pona yao ni Biden kuinyima Israel silaha kulazimisha cease fire

Makampuni yanafungua ofisi za ubunifu na uboreshaji wa bidhaa Israel unajua kwanini ? Israel wapo juu sana kwenye mambo ya Science hasa kwenye uvumbuzi na uboreshaji wa Teknolojia za computer,

Mabilioni huhitajikakufungua ofisi hizi, kama nchi nyingine zinategemea mafuta basi Israel wanategemea elimu, kuna tatizo ?

Nje ya makampuni ya marekani nakuwekea hapa nchi zingine

Wakorea wameweka ofisi ya Samsung

Wachina wameweka ofisi ya Huawei

Wajapan wameweka ofisi ya Sony na Fujitsu

Wajerumani wameweka ofisi ya Siemens

Finland wameweka ofisi ya Nokia

Sweeden wameweka ofisi ya Erricson

Wadachi wameweka ofisi ya Phillips
Kampuni zote ulizotaja zina ofisi nchi yoyote kubwa. Dubai kuna kampuni nyingi kushinda hata Israel nao ni machampion wa Technology?

Israel ingekua na Tech kama Taiwan tu humu si mngetusimanga hadi tukawa hatuna PA kujifichia?
 
Jua kutofautisha ofisi za kutoa huduma kwa wateja, ofisi za uongozi, ofisi za ubunifu na uboreshaji (R&D)

Dubai kuna ofisi nyingi za kutoa huduma kwa wateja hasa kwenye mauzo ya bidhaa na matengenezo, Ni sawa na Tanzania kuna ofisi za Tecno
 
Na kule uchina napo
 
Bunge la marekani lilipiga kura kwa ushindi mkubwa kufuta katazo la kuiuzia Israel Silaha lakini Biden kawa jeuri kalazimisha katazo, Biden ana presha kubwa sana ya kutafuta sifa kwa nguvu kwa siku 60 alizobakiza white house, Kafanya hayo ili ajisifie kusimahisha vita kwa siku 60, Baada ya hapo Trump akiingia atafuta hilo katazo.

Nawaona Hezbollah wanashangilia hii cease fire, Kwa hizi facts utawaona ni matahira:

Uongozi mzima wa juu wa Hezbollah ulisambaratishwa, ni aibu kubwa sana leadership kuwa vulnerable kiasi hiki, labda kama hujui maana ya uongozi

View attachment 3164352

Shambulio la Pagers - Hili shambulizi la mwaka, Ni mchanganyiko wa Supply chain attack na Cyber attack, Hezbollah 1,200 waliobeba pagers walifumuliwa viuno na vilivyomo ndani ya mifuko

View attachment 3164357

Israel imeweza kuidhoofisha ngome kuu ya Hezbollah - Lebanon ya kusini ilikuwa ngome kuu ya Hezbollah, Kwa mara ya kwanza kwa kipindi kirefu, Jeshi la Lebanon limediriki kwenda kulichukua eneo hili, hapo kabla jeshi la lebanon walikuwa kama waangalizi wa nyumba lakini muda huu wanarudi kuwa wamiliki wa nyumba, hawakuwa na nguvu yoyote mbele ya Hezbollah, walikuwepo Lebanon ya kusini lakini kwa uchache na waliwekewa masharti na Hezbollah wasithubutu kuingilia mambo yasiyowahusu, Ni baada ya Israel kuidhoofisha ngome hio ndio wameweza kupata ujasiri wa kuchukua maeneo hayo na kuwashambulia Hezbollah.

View attachment 3164364
Chanzo chako Cha habari ni kipi?!.. Biden kapitisha mauzo ya silaha kwa Israel kiasi Cha $600m zikiwemo bunker buster,dzain stock ya Israel Chali,usichokijua ni kuchakaa kwa kambi za kijeshi za Israel mpakani na Lebanon kwa makombora mazito ya hizbullah,hizbu ni mwiba
 
Kwenye asymetrical warfare israel ndio kachapwa kwa kuwa objective za Netanyahu ni kurudisha masettler north kwa nguvu za kijeshi hilo amefeli viongozi wa hizbullah kuuliwa hio ndio vita soldiers die ili taasisi iendeleee kusimama na their home front iwepo watu walijua wakifanya decapitation things will fall apart ila wapi taasisi imara huendelea kusimama imara hii hizbullah wameonyesha kuwa wao ni taasisi imara despite kuwa faced na entire western intelligence na adui yao kupewe all kinds of support ila vita imeisha kwa makubaliano amani na sio kwa kusign surrender agreement ,world equation of power is shifting midege mikubwa na mimeli mikubwa ni anasa tu vidrone vidogo tu na makombora vinaleta mageuzi makubwa sana ktk uwanja wa mapambano.
Mzee hapo kwenye asymmetrical warfare umemeza Kama ilivyo toka kwa mchambuzi wa Al Jazeera niliona jana
 
Bunge la marekani lilipiga kura kwa ushindi mkubwa kufuta katazo la kuiuzia Israel Silaha lakini Biden kawa jeuri kalazimisha katazo, Biden ana presha kubwa sana ya kutafuta sifa kwa nguvu kwa siku 60 alizobakiza white house, Kafanya hayo ili ajisifie kusimahisha vita kwa siku 60, Baada ya hapo Trump akiingia atafuta hilo katazo.

Nawaona Hezbollah wanashangilia hii cease fire, Kwa hizi facts utawaona ni matahira:

Uongozi mzima wa juu wa Hezbollah ulisambaratishwa, ni aibu kubwa sana leadership kuwa vulnerable kiasi hiki, labda kama hujui maana ya uongozi

View attachment 3164352

Shambulio la Pagers - Hili shambulizi la mwaka, Ni mchanganyiko wa Supply chain attack na Cyber attack, Hezbollah 1,200 waliobeba pagers walifumuliwa viuno na vilivyomo ndani ya mifuko

View attachment 3164357

Israel imeweza kuidhoofisha ngome kuu ya Hezbollah - Lebanon ya kusini ilikuwa ngome kuu ya Hezbollah, Kwa mara ya kwanza kwa kipindi kirefu, Jeshi la Lebanon limediriki kwenda kulichukua eneo hili, hapo kabla jeshi la lebanon walikuwa kama waangalizi wa nyumba lakini muda huu wanarudi kuwa wamiliki wa nyumba, hawakuwa na nguvu yoyote mbele ya Hezbollah, walikuwepo Lebanon ya kusini lakini kwa uchache na waliwekewa masharti na Hezbollah wasithubutu kuingilia mambo yasiyowahusu, Ni baada ya Israel kuidhoofisha ngome hio ndio wameweza kupata ujasiri wa kuchukua maeneo hayo na kuwashambulia Hezbollah.

View attachment 3164364
Kwa hiyo unakiri kapigwa na USA na wala si Israel?
 
Jua kutofautisha ofisi za kutoa huduma kwa wateja, ofisi za uongozi, ofisi za ubunifu na uboreshaji (R&D)

Dubai kuna ofisi nyingi za kutoa huduma kwa wateja hasa kwenye mauzo ya bidhaa na matengenezo, Ni sawa na Tanzania kuna ofisi za Tecno
Microsoft

Hisense

IBM, HP, Ericson, Cisco

Kuna mamia ya makampuni yana R&D Dubai
 
Bunge la marekani lilipiga kura kwa ushindi mkubwa kufuta katazo la kuiuzia Israel Silaha lakini Biden kawa jeuri kalazimisha katazo, Biden ana presha kubwa sana ya kutafuta sifa kwa nguvu kwa siku 60 alizobakiza white house, Kafanya hayo ili ajisifie kusimahisha vita kwa siku 60, Baada ya hapo Trump akiingia atafuta hilo katazo.

Nawaona Hezbollah wanashangilia hii cease fire, Kwa hizi facts utawaona ni matahira:

Uongozi mzima wa juu wa Hezbollah ulisambaratishwa, ni aibu kubwa sana leadership kuwa vulnerable kiasi hiki, labda kama hujui maana ya uongozi

View attachment 3164352

Shambulio la Pagers - Hili shambulizi la mwaka, Ni mchanganyiko wa Supply chain attack na Cyber attack, Hezbollah 1,200 waliobeba pagers walifumuliwa viuno na vilivyomo ndani ya mifuko

View attachment 3164357

Israel imeweza kuidhoofisha ngome kuu ya Hezbollah - Lebanon ya kusini ilikuwa ngome kuu ya Hezbollah, Kwa mara ya kwanza kwa kipindi kirefu, Jeshi la Lebanon limediriki kwenda kulichukua eneo hili, hapo kabla jeshi la lebanon walikuwa kama waangalizi wa nyumba lakini muda huu wanarudi kuwa wamiliki wa nyumba, hawakuwa na nguvu yoyote mbele ya Hezbollah, walikuwepo Lebanon ya kusini lakini kwa uchache na waliwekewa masharti na Hezbollah wasithubutu kuingilia mambo yasiyowahusu, Ni baada ya Israel kuidhoofisha ngome hio ndio wameweza kupata ujasiri wa kuchukua maeneo hayo na kuwashambulia Hezbollah.

View attachment 3164364
Si kweli mkuu.Hezbollah wapo ngangari sana.Wamewapiga mazayuni hadi Netanyahu amebubujisha machozi ingawa yameua viongozi vipenzi wa Hezbollah. Niamini tu.Sina ushahidi.
 
Kwenye asymetrical warfare israel ndio kachapwa kwa kuwa objective za Netanyahu ni kurudisha masettler north kwa nguvu za kijeshi hilo amefeli viongozi wa hizbullah kuuliwa hio ndio vita soldiers die ili taasisi iendeleee kusimama na their home front iwepo watu walijua wakifanya decapitation things will fall apart ila wapi taasisi imara huendelea kusimama imara hii hizbullah wameonyesha kuwa wao ni taasisi imara despite kuwa faced na entire western intelligence na adui yao kupewe all kinds of support ila vita imeisha kwa makubaliano amani na sio kwa kusign surrender agreement ,world equation of power is shifting midege mikubwa na mimeli mikubwa ni anasa tu vidrone vidogo tu na makombora vinaleta mageuzi makubwa sana ktk uwanja wa mapambano.
Kwa nyakat hizi technology imefanya mageuz makubwa sana hususani kwenye uwanja wa vita drone ya milion 1 inaweza kufanya maajabu ambayo hata ndege ya bilion 50 haiwezi kufanya,ikiwemo kupita kwenye mifumo yenye ulinzi wa hali ya juu
 
Kwa Israeli ni wazi in short run waliweza kuwadhibiti hawa jamaa ila kwa mahesabu ya long-run israel ingeishia kupata hasara maana kuna mahali israeli wameanza kuchemka,unajua kuwapiga hawa izbolah siyo jambo jepesi inahitaji mikakati ya mda mrefu sasa kuuwa viongoz siyo mkakati unaoweza kubadili hali ya vita hato kidogo ,kubwa ni kuua miundo mbinu yote ya adui inayompa nguvu ya kufanya mashambulizi hilo israel ameshindwa kabisa,yan kiufup bora tuu wamekaa mezani pamoja,kwa upande wa izbolah nao hawana Cha kujivunia maana hata wao malengo yao ya kuipiga tafu Hamas mpaka mwisho hayakutimia kwa haraka kama walivyodhani hivyo hii ngoma ni kati hakuna mshindi
Israeli amechoka sana vita vya muda mrefu na vya uvumilivu hawezi kuvimudu ngo ..wao wamezoea kuruka na ndege kubomoa mahala na kurudi ..vita vya namana hiyo huwezi shinda kamwe
 
Bunge la marekani lilipiga kura kwa ushindi mkubwa kufuta katazo la kuiuzia Israel Silaha lakini Biden kawa jeuri kalazimisha katazo, Biden ana presha kubwa sana ya kutafuta sifa kwa nguvu kwa siku 60 alizobakiza white house, Kafanya hayo ili ajisifie kusimahisha vita kwa siku 60, Baada ya hapo Trump akiingia atafuta hilo katazo.

Nawaona Hezbollah wanashangilia hii cease fire, Kwa hizi facts utawaona ni matahira:

Uongozi mzima wa juu wa Hezbollah ulisambaratishwa, ni aibu kubwa sana leadership kuwa vulnerable kiasi hiki, labda kama hujui maana ya uongozi

View attachment 3164352

Shambulio la Pagers - Hili shambulizi la mwaka, Ni mchanganyiko wa Supply chain attack na Cyber attack, Hezbollah 1,200 waliobeba pagers walifumuliwa viuno na vilivyomo ndani ya mifuko

View attachment 3164357

Israel imeweza kuidhoofisha ngome kuu ya Hezbollah - Lebanon ya kusini ilikuwa ngome kuu ya Hezbollah, Kwa mara ya kwanza kwa kipindi kirefu, Jeshi la Lebanon limediriki kwenda kulichukua eneo hili, hapo kabla jeshi la lebanon walikuwa kama waangalizi wa nyumba lakini muda huu wanarudi kuwa wamiliki wa nyumba, hawakuwa na nguvu yoyote mbele ya Hezbollah, walikuwepo Lebanon ya kusini lakini kwa uchache na waliwekewa masharti na Hezbollah wasithubutu kuingilia mambo yasiyowahusu, Ni baada ya Israel kuidhoofisha ngome hio ndio wameweza kupata ujasiri wa kuchukua maeneo hayo na kuwashambulia Hezbollah.

View attachment 3164364
IDF reaches Litani for first time since 2006, targets Hezbollah in Beirut IDF reaches Litani for first time since 2006, targets Hezbollah in Beirut
 
Bunge la marekani lilipiga kura kwa ushindi mkubwa kufuta katazo la kuiuzia Israel Silaha lakini Biden kawa jeuri kalazimisha katazo, Biden ana presha kubwa sana ya kutafuta sifa kwa nguvu kwa siku 60 alizobakiza white house, Kafanya hayo ili ajisifie kusimahisha vita kwa siku 60, Baada ya hapo Trump akiingia atafuta hilo katazo.

Nawaona Hezbollah wanashangilia hii cease fire, Kwa hizi facts utawaona ni matahira:

Uongozi mzima wa juu wa Hezbollah ulisambaratishwa, ni aibu kubwa sana leadership kuwa vulnerable kiasi hiki, labda kama hujui maana ya uongozi

View attachment 3164352

Shambulio la Pagers - Hili shambulizi la mwaka, Ni mchanganyiko wa Supply chain attack na Cyber attack, Hezbollah 1,200 waliobeba pagers walifumuliwa viuno na vilivyomo ndani ya mifuko

View attachment 3164357

Israel imeweza kuidhoofisha ngome kuu ya Hezbollah - Lebanon ya kusini ilikuwa ngome kuu ya Hezbollah, Kwa mara ya kwanza kwa kipindi kirefu, Jeshi la Lebanon limediriki kwenda kulichukua eneo hili, hapo kabla jeshi la lebanon walikuwa kama waangalizi wa nyumba lakini muda huu wanarudi kuwa wamiliki wa nyumba, hawakuwa na nguvu yoyote mbele ya Hezbollah, walikuwepo Lebanon ya kusini lakini kwa uchache na waliwekewa masharti na Hezbollah wasithubutu kuingilia mambo yasiyowahusu, Ni baada ya Israel kuidhoofisha ngome hio ndio wameweza kupata ujasiri wa kuchukua maeneo hayo na kuwashambulia Hezbollah.

View attachment 3164364
It's the truth, as painful as it is.
 
Bosi nimekupigia hesabu umezielewa lakini? Msaada wa Usa kwa Israel total ni $310B usd hao ni Usa tu toa Ulaya na Nchi nyengine washirika kama Australia.

Na kuna Makampuni kibao yapo Israel Kisiasa, mfano Mzuri ni intel, Division yao ya Israel ni jipu kila siku ina ingiza hasara na kubebwa mpaka sasa wanakaribia kufilisika ndio wameipiga chini.

Hapo Israel wakristo waarabu ni more educated kushinda kundi lolote lile including jews, wana Elimu na Vumbuzi kibao ila mnapigwa kamba na kudanganyana tu humu.
Hapo uliposema makampuni mengi yamepelekwa israel kisiasa ni kweli kabisa .sasa baada ya vita hii hamana tajiri atakayepeleka wekezaji wa maana israel kwa kuwa hamna security stability hii ya Iran kuwashambulia kutok 2000km na mabom yakafika imeshape sana uchum wa isreli
 
Kampuni zote ulizotaja zina ofisi nchi yoyote kubwa. Dubai kuna kampuni nyingi kushinda hata Israel nao ni machampion wa Technology?

Israel ingekua na Tech kama Taiwan tu humu si mngetusimanga hadi tukawa hatuna PA kujifichia?
Eneo alilowekaza propaganda Israel ni pamoj na hilo la kusema eti champion wa tech na kwa halkika mbogo haumwambii kitu
 
Kampuni zote ulizotaja zina ofisi nchi yoyote kubwa. Dubai kuna kampuni nyingi kushinda hata Israel nao ni machampion wa Technology?

Israel ingekua na Tech kama Taiwan tu humu si mngetusimanga hadi tukawa hatuna PA kujifichia?
Umerithishwa chuki kwa mayahudi na mwamedi
 
Back
Top Bottom