baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Kampuni zote ulizotaja zina ofisi nchi yoyote kubwa. Dubai kuna kampuni nyingi kushinda hata Israel nao ni machampion wa Technology?Makampuni yanafungua ofisi za ubunifu na uboreshaji wa bidhaa Israel unajua kwanini ? Israel wapo juu sana kwenye mambo ya Science hasa kwenye uvumbuzi na uboreshaji wa Teknolojia za computer,
Mabilioni huhitajikakufungua ofisi hizi, kama nchi nyingine zinategemea mafuta basi Israel wanategemea elimu, kuna tatizo ?
Nje ya makampuni ya marekani nakuwekea hapa nchi zingine
Wakorea wameweka ofisi ya Samsung
Wachina wameweka ofisi ya Huawei
Wajapan wameweka ofisi ya Sony na Fujitsu
Wajerumani wameweka ofisi ya Siemens
Finland wameweka ofisi ya Nokia
Sweeden wameweka ofisi ya Erricson
Wadachi wameweka ofisi ya Phillips
Israel ingekua na Tech kama Taiwan tu humu si mngetusimanga hadi tukawa hatuna PA kujifichia?