Tuweke kumbukumbu zetu sawa, huu ndo uchumi wa Magufuli aliouacha, all facts! - Sehemu ya kwanza

Hakuna takwimu za 2020, soma tena.
 
Ila si alisema yeye si lazima afuate ushauri wa mtu?
 
Hebu tujikumbushe enzi za ukame then tuendelee kujadili vizuri.
 
Huu Uzi ni mzuri Sana kwakuwa uko kisayansi na tutamlaani magu milele ameharibu maisha yetu mtu yule. Alale alipojiandalia.
Ameharibu maisha yenu na nani jomba...mbona wengine wameneemeka...don't generalize personal issues ..kama ameharibu maisha yako inawezekana ulikuwa mwizi, tapeli, mtu wa madili unaishi kiujanja ujanja, sisi hatuna la kukusaidia na upumbaf wako...Rudi kwenye mstari nenda hata Kalime ardhi imejaa tele....usitupotezee muda huku na maisha yako ya wizi..na nakwambia nchi kama nchi haiwezi Rudi huko mnapodhania...Mama Samia Suluhu ni copy ya Magufuli..likewise Serikali yake..si umeona walewale.kwa hiyo.wanna spirit ileile..kama huwezi hamia nchi nyingine..kwa sababu count in 50 years to come jamaa watakuwa wakiendelea kutawala..
 
Reactions: Ame
Mwe
Mwenzako anakuja na facts wewe unaandika masaburi yako hapa na tulishaambiwa kwamba wb walishusha viwango vya makadirio ya uchumi ndio nasisi makadirio yakatukuta lakini usidhani kwamba sisi ndio tulifikia vigezo vya wb kuwa middle income country sema mataga akili zenu ni ndogo muda wote na hivyo I'd za jf ni fake unaweza kuta hapa nabishana na kibajaji mbunge wa mtera.
 
Jina
Jina lako tupu Babeli linasadifu ule mnara wa chato ambao Mungu aliupopoa kwa hasira nasasahivi ushafukiwa babeli oyeeeeee!
 
50 years is spiritually impossible.
Believe me.
 
Jina
Jina lako tupu Babeli linasadifu ule mnara wa chato ambao Mungu aliupopoa kwa hasira nasasahivi ushafukiwa babeli oyeeeeee!
 
50 years is spiritually impossible.
Believe me.
So what's your spirit saying about this, give us your revelation...who will shortcut this move...jomba..nani unadhani...au kuna watu unawaandaa...weka wazi mapema basi
 
Mkuu heshima kwako, watu hoongea yale waliyoyasikia na sio waliyoyaishi au kujifunza na ndio maana ubishi hauishi.
Binafsi niliitumia sana Fast Jet katika safari zangu na hasa nilipenda sana ile discount yao pale unapofanya booking one month before.
Fast Jet ndio shirika la ndege lililoleta mapinduzi ya usafiri wa anga hapa nchini kwa kuwachochea raiya wa kawaida (siwazungumzii wanyonge) kutumia usafiri wa anga.

Fast Jet ilikiwa ni shirika binafsi lenye kulipa kodi lakini liliweza kufanya safari zake kwa mafanikio makubwa huku gharama za tickets zikiwa za chini na rafiki kwa wateja.

Atcl ilipoanza kukufuliwa wote mnajua ni nini kilimkuta Fast Jet, ila tulisahau kuwa "Misho wa UBAYA ni HAIBU"
 
Ila si alisema yeye si lazima afuate ushauri wa mtu?
Alitakiwa iwe hivyo kwakua ndiyo maana anaitwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amepewa definition ya kufanya hayo na katiba ili aweze kuchuja kipi kinafaa na kipi hakifai ndiyo hekima yetu huyo...Ndiyo maana tunalinda maana tusi lolote kwa Mh. Rais wa nchi yetu ni kwetu watanzania wote...Uliona mwenyewe maana ya Rais kwa America hata pamoja na kufanya yasiyofikirika aliendelea kulindwa...Anayelindwa ni nchi siyo individual...Hii ndiyo itupe akili ya kujua kwamba tinapoenda kupiga kura kwa Rais wa nchi nini maana yake na thamani ya kura hiyo....Akishakuwa we have to protect him at any cost isipokuwa akivunja katiba ya nchi kwa maslahi yake binafsi na siyo ya nchi
 
God punished the babeli monument so was magufili regime
When did you talk to God. How often do you talk to him...You must be crazy...Mungu ni wa wote...na hakuna binadamu anayejua maamuzi yake..and don't ask why...remember God is omnipresent....so the issue of punishment is just within your thinking capacity,,,sorry for that..that's GOD
 
Reactions: Ame
MATAGA bana yani ni wabishi sana,achana na majitu kama hayo,linakuja na mameno matupu nani amsikilize sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…