Hayo ni maoni Yako pia yaheshimiwe.Hao unaowakandia wasingefanya ubinafsishaji leo hii
1. Ungekua bado unakula ugali wa mahindi ya njano
...
Chawa ndio nini wewe Sukuma gangUnachangia mada au unaongea na simu ndugu chawa?
kwamba burigichato ni zoo binafsi ya MAGU, MUNGU akusamehe Kwa ujinga huo na chuki zenye sababu.Kuhamisha wanyama kutoka serengeti mpaka kwenye zoo yake binafsi,stupid idea
Wengine wanakusanya na kuacha akiba,Hata Iddi Amini alitunza Rasilimali na kufukuza Wahindi na kuua Waganda je ilisaidia nini?
Proof kwamba wananchi waliishi vizuri? Hebu mtafute mhenga yoyote humu akuhadithie watu walivyokua na maisha magumu mwishoni wa Utawala wa Nyerere.Hayo ni maoni Yako pia yaheshimiwe.
Ila kumbuka kuwa, Nchi yetu ilikuwa na viwanda Nchi nzima na wananchi waliajiriwa na kuishi vizuri kuliko sasa.
Kwamba wamasai ngorongoro baada ya kutimuliwa kwao wanaishije?Proof kwamba wananchi waliishi vizuri? Hebu mtafute mhenga yoyote humu akuhadithie watu walivyokua na maisha magumu mwishoni wa Utawala wa Nyerere.
Hii ndio proof kwamba watu waliishi vizuri wakati wa Nyerere? Hebu mie nkalale, unakuta najibizana na dogo wa la saba unapotezea watu muda.Kwamba wanadai ngorongoro baada ya kutimuliwa kwao wanaishije?
Wewe utakuwa umeadithiwa na hukumsikikiza vizuri alikua anakupa story. Uliwahi kusikia viongozi walikua wanasikiliza taarifa ya habari mara kwa mara kujua katumbukiwa au la.Mkuu umezaliwa kipindi cha ukweli na uwazi nini?
Shujaa Magu hata Nyerere haoni ndani bhana wee...
Kwa mujibu wa Lissu Magufuli alificha Mamilioni ya US Dollars kwake Chato.Wengine wanakusanya na kuacha akiba,
Na Kwa mujibu wa Lissu huyo huyo, amemtaja Nabii Magufuli kuwa katika kutunza raslimali za nchi, aliitendea HAKI Nchi yetu.Kwa mujibu wa Lissu Magufuli alificha Mamilioni ya US Dollars kwake Chato.
Mada yako ni 'chokonozi , lakini ni mada nzito sana hii.Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Alikuwa amedhibiti kila kitu vikiwemo vyombo vya habari kwahiyo hata kama alikuwa anauza nani angejua? Mtu aliweza kuchezea pesa za Kodi kujenga Kiwanja cha Ndege kwake na kutumia kampuni ya Mayanga ya Jamaa yake.Na Kwa mujibu wa Lissu huyo huyo, amemtaja Nabii Magufuli kuwa katika kutunza raslimali za nchi, aliitendea HAKI Nchi yetu.
Sasa chagua upande upi wa Lisuu uufuate.
Kitaumana,Mada yako ni 'chokonozi , lakini ni mada nzito sana hii.
Niache tu mstari mmoja kabla sijafunga vidole:
Awamu inayo amini kabisa kwamba waTanzania hawawezi kufanya chochote kubadili hali zao; hiyo ni awamu inayotupeleka utumwani.
Sasa kujenga kiwanja nchini hiyo ni vizuri !!Alikuwa amedhibiti kila kitu vikiwemo vyombo vya habari kwahiyo hata kama alikuwa anauza nani angejua? Mtu aliweza kuchezea pesa za Kodi kujenga Kiwanja cha Ndege kwake na kutumia kampuni ya Mayanga ya Jamaa yake.
Huyu Mama pia hajauza Bandari kaikodisha tu.Sasa kujenga kiwanja nchini hiyo ni vizuri !!
Kutumia kampuni za ndani ya nchi ktk ujenzi ni BUSARA na Uzalendo huo,
Halafu kuhusu Uzalendo wa Magu, umeamua kumkwepa Lisu aliyemkubali?
Hayo siyo maneno ya rahisi rahisi kuzungumzwa na mtu kama Tundu Lissu, akimuelezea mtu Magufuli, ambaye katika hali ya kawaida ya kibinaadam kabisa usingetegemea kuyasikia. Hapa hakuna kupakana mafuta kwa chupa.TUNDU Lissu: Magufuli alikuwa Mzalendo, hakuuza bandari zetu!!
Kaikodisha Kwa Bei Gani?Huyu Mama pia hajauza Bandari kaikodisha tu.
Mikataba ya Serikali ya CCM haijawahi kuwa mizuri na huyu Mama ni muendelezo tu.Kaikodisha Kwa Bei Gani?
Kwamba unapingana na Lissu ambaye amedai tangu Nchi ipate uhuru, hajawahi kuona mkataba mbovu, wa hatari kana IGA ya bandari?