Hili neno "uzalendo" lisitumike isivyo.Halafu kuhusu Uzalendo wa Magu, umeamua kumkwepa Lisu aliyemkubali?
Ni Kweli amekiri hadharani kuwa Magu alikuwa na makandokando yake, lakini kuhusu Bandari asisingiziwe,Hayo siyo maneno ya rahisi rahisi kuzungumzwa na mtu kama Tundu Lissu, akimuelezea mtu Magufuli, ambaye katika hali ya kawaida ya kibinaadam kabisa usingetegemea kuyasikia. Hapa hakuna kupakana mafuta kwa chupa.
Labda mnasahau kile Kitalu C cha Manyara, kilitolewa amri na Samia ya kutoendelea kuguswa, kulikoanza chini ya mwendazake.Salaam, Shalom!!!
Kiongozi katika eneo, au JAMII, Nchi nk nk, Huwa ni reflection ya watu anaowaongoza Hasa alikotoka!!
Nimewahi kuishi mikoa Fulani kijana anapata shida kidogo tu ya pesa, Badala ya kuvumilia na kuumiza KICHWA, Yuko radhi auze vyote alivyo navyo, ikibidi hata viatu alivyovaa Ili kutatua shida hiyo, wakati mwingine hata Si shida, ni starehe, KAZI ngumu hawafanyi watu wa JAMII hii!!
Nimeishi pia Kanda Fulani ambazo mzazi au vijana hufundishwa kutafuta na kumiliki Mali, kama ni wafugaji, kwao ni fahari kuona mifugo ikiongezeka, Nia Yao ni kuhakikisha vizazi vijavyo vinafaidi Mali hizo Mali hizo, ikiwa ni wakulima, mashamba watanunua hekari nyingi Kwa ajili ya wajukuu na vitukuu nk nk.
Turudi kwenye mada, uongozi chini ya mwalimu Nyerere na Magufuli, pesa ya umma iliheshimiwa, wezi waliogopa kufuja Mali na raslimali za nchi, viongozi Hawa walihakikisha wanarudisha umiliki wa Raslimali za nchi zimilikiwe na wazawa. Tukaona Mabilionea kwenye Tanzanite wakiibuka, migodi nk nk
Tunajua yaliyotokea katika Awamu zingine, Awamu ya pili ndipo milango ilifunguliwa, wakaingia WEMA Kwa waovu vurugu mechi zikatawala,
Roliondo ikaenda chini ya Mzee Mwinyi,
NBC ikauzwa Kwa Bei ya nyanya, migodi ikabinafsisgwa Kwa wageni chini ya Hayati Mkapa,
Chini ya Mzee wa msoga, Gesi yetu ikaenda, madini yakabinafsishwa nk nk
Funga KAZI sasa ni Ile Awamu ya mpito, yaani ni kuuza na Kugawa na kukopa, na ni miaka michache tu, lakini spidi ya kuvuruga ni haielezeki!!
Ushauri: Tupate Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya kabla ya Uchaguzi wowote Ili kuwafunga kengele viongozi wajao, wasijeharibu kama hao niliowaangazia hapo juu.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni🙏
Lissu amesema mikataba yote anaijua na ameipitia,Mikataba ya Serikali ya CCM haijawahi kuwa mizuri na huyu Mama ni muendelezo tu.
Lakini Bandari haijauzwa.Lissu amesema mikataba yote anaijua na ameipitia,
Ila IGA ya bandari na DP World ni hatari!!
Hapo Muulize Mzee wa msoga na Hayati Mwinyi!!Labda mnasahau kile Kitalu C cha Manyara, kilitolewa amri na Samia ya kutoendelea kuguswa, kulikoanza chini ya mwendazake.
Ova
Imeuzwa tena Kwa muda usiojulikanaLakini Bandari haijauzwa.
Weka ushahidi hapa?!Imeuzwa tena Kwa muda usiojulikana
Ushahidi ni IGA, ipitie mwanzo mwisho uone kama Pana ukomo wa mkataba Ule.Weka ushahidi hapa?!
Kweli kabisa ndugu yangu, japo utapingwa sana lakini ukweli ni huo.Salaam, Shalom!!!
Kiongozi katika eneo, au JAMII, Nchi nk nk, Huwa ni reflection ya watu anaowaongoza Hasa alikotoka!!
Nimewahi kuishi mikoa Fulani kijana anapata shida kidogo tu ya pesa, Badala ya kuvumilia na kuumiza KICHWA, Yuko radhi auze vyote alivyo navyo, ikibidi hata viatu alivyovaa Ili kutatua shida hiyo, wakati mwingine hata Si shida, ni starehe, KAZI ngumu hawafanyi watu wa JAMII hii!!
Nimeishi pia Kanda Fulani ambazo mzazi au vijana hufundishwa kutafuta na kumiliki Mali, kama ni wafugaji, kwao ni fahari kuona mifugo ikiongezeka, Nia Yao ni kuhakikisha vizazi vijavyo vinafaidi Mali hizo Mali hizo, ikiwa ni wakulima, mashamba watanunua hekari nyingi Kwa ajili ya wajukuu na vitukuu nk nk.
Turudi kwenye mada, uongozi chini ya mwalimu Nyerere na Magufuli, pesa ya umma iliheshimiwa, wezi waliogopa kufuja Mali na raslimali za nchi, viongozi Hawa walihakikisha wanarudisha umiliki wa Raslimali za nchi zimilikiwe na wazawa. Tukaona Mabilionea kwenye Tanzanite wakiibuka, migodi nk nk
Tunajua yaliyotokea katika Awamu zingine, Awamu ya pili ndipo milango ilifunguliwa, wakaingia WEMA Kwa waovu vurugu mechi zikatawala,
Roliondo ikaenda chini ya Mzee Mwinyi,
NBC ikauzwa Kwa Bei ya nyanya, migodi ikabinafsisgwa Kwa wageni chini ya Hayati Mkapa,
Chini ya Mzee wa msoga, Gesi yetu ikaenda, madini yakabinafsishwa nk nk
Funga KAZI sasa ni Ile Awamu ya mpito, yaani ni kuuza na Kugawa na kukopa, na ni miaka michache tu, lakini spidi ya kuvuruga ni haielezeki!!
Ushauri: Tupate Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya kabla ya Uchaguzi wowote Ili kuwafunga kengele viongozi wajao, wasijeharibu kama hao niliowaangazia hapo juu.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni🙏
Wengine watahangaika kukusanya na kutunza Kwa vizazi vijavyo,Kweli kabisa ndugu yangu, japo utapingwa sana lakini ukweli ni huo.
Hata Mimi neno Uzalendo limetumika tu katika kulinda na kutunza raslimali za nchi.Hili neno "uzalendo" lisitumike isivyo.
Kiongozi anayetaka kuwaondoa wengine kwa njia zisizo za kiutu, siutambui huo kuwa 'uzalendo'. Hili ni moja kati ya machache yaliyomwondolea Magufuli heshima hiyo.
Si katika Upande huo,Mmmmhhh Mikono salama ya kina BASHITE na SIR-BUYER aka EAGLE THREE?
Unajua ni lini Kitalu C cha Manyara kilifanywa hazina ya taifa?Hapo Muulize Mzee wa msoga na Hayati Mwinyi!!
Ova!!Unajua ni lini Kitalu C cha Manyara kilifanywa hazina ya taifa?
Ova
Kwenye sekta ya ujenzi wa miundimbinu Magu hana mpinzani tangu nchi ipate uhuru,tatizo ni ukatili na kutopenda kukosolewa,kuua demokrasia na ubabe,hata Hitler na Kagame ni hivyo hivyo,wamejenga nchi zao ila ukijisahau ukamkosoa umepotea,hicho ndio kilimuharibia MaguIle siyo zoo hiyo ilikuwa runch ya mifugo ng'ombe na mbuzi hapo hapajawahi kuwa na hoteli,Leo kafa Kila ujinga atasingiziwa,mdukuzi na kuhakikishia MAGU angedumu kipindi chote cha pili Leo nchi ingekuwa kama ulaya.
Umenena vema. Lakini waTanganyika wa leo ambao kujua tu kwamba sisi ni waTanganyika imeshindikana tutajua umhimu wa katiba? Jana nilikuwa naangalia katiba inayotuongoza nikakuta katiba 2 moja ya nchi inayoitwa ZANZIBAR nikatafuta ya nchi nyingine inayoitwa TANGANYIKA iliyoungana na ZANZIBAR kutengeneza umoja wetu sikuiona. Nikakuta nchi yangu inaongozwa na katiba inayoongoza nchi 2 nikakosa majibu. Mtu akiuliza, kuna watu wanakasirika na wengine ukiwauliza wanaishia kusema ninyi wapinzani, tunapinga nn kati ya mm na wewe uliyerogwa kuitwa mTanzania wakati wenzio wanaitwa waZanzibar?Salaam, Shalom!!!
Kiongozi katika eneo, au JAMII, Nchi nk nk, Huwa ni reflection ya watu anaowaongoza Hasa alikotoka!!
Nimewahi kuishi mikoa Fulani kijana anapata shida kidogo tu ya pesa, Badala ya kuvumilia na kuumiza KICHWA, Yuko radhi auze vyote alivyo navyo, ikibidi hata viatu alivyovaa Ili kutatua shida hiyo, wakati mwingine hata Si shida, ni starehe, KAZI ngumu hawafanyi watu wa JAMII hii!!
Nimeishi pia Kanda Fulani ambazo mzazi au vijana hufundishwa kutafuta na kumiliki Mali, kama ni wafugaji, kwao ni fahari kuona mifugo ikiongezeka, Nia Yao ni kuhakikisha vizazi vijavyo vinafaidi Mali hizo Mali hizo, ikiwa ni wakulima, mashamba watanunua hekari nyingi Kwa ajili ya wajukuu na vitukuu nk nk.
Turudi kwenye mada, uongozi chini ya mwalimu Nyerere na Magufuli, pesa ya umma iliheshimiwa, wezi waliogopa kufuja Mali na raslimali za nchi, viongozi Hawa walihakikisha wanarudisha umiliki wa Raslimali za nchi zimilikiwe na wazawa. Tukaona Mabilionea kwenye Tanzanite wakiibuka, migodi nk nk
Tunajua yaliyotokea katika Awamu zingine, Awamu ya pili ndipo milango ilifunguliwa, wakaingia WEMA Kwa waovu vurugu mechi zikatawala,
Roliondo ikaenda chini ya Mzee Mwinyi,
NBC ikauzwa Kwa Bei ya nyanya, migodi ikabinafsisgwa Kwa wageni chini ya Hayati Mkapa,
Chini ya Mzee wa msoga, Gesi yetu ikaenda, madini yakabinafsishwa nk nk
Funga KAZI sasa ni Ile Awamu ya mpito, yaani ni kuuza na Kugawa na kukopa, na ni miaka michache tu, lakini spidi ya kuvuruga na kutapanya raslimali za nchi ni haielezeki!!
Ushauri: Tupate Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya kabla ya Uchaguzi wowote Ili kuwafunga kengele viongozi wajao, wasijeharibu kama hao niliowaangazia hapo juu.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni🙏
Awe Mbowe ama namna gani?Salaam, Shalom!!!