Tuweke rekodi sawa, Chini ya Hayati Nyerere na Magufuli, Rasilimali za nchi zilikaa katika mikono salama

Ni mfumo wa CCM ukiwakosoa umeumia. Na wanachukia kweli wenye mawazo mbadala. Lakini wakienda kwao WANAFANYA na sherehe kwakuwa wanajua kaingia zizini tutamfuga tunavyotaka. Kama wote walioenda huko akina Nasari, Katambi, Lijualikali, Gekul nk Sasa Msigwa. Ukiaangalia clip zao na speech zao za wakati huo na mapambio ya leo. Hasa Msigwa aibu na Kwa bahati nilifanikiwa kumuona uso Kwa macho nikiwa Morogoro inasikitisha na hasa kuna wengine hata wamepata vilema Kwa kupitia midomo ya Msigwa Kwa kumwamini. Na hasa Kwa kutumia neno Mchungaji. MUNGU wa Mbinguni atafanya jambo!
 
Samia pia ziko salama sana
 
MAGU hakuwa MUNGU,lzm ana upungufu Fulani,lkn Bora yeye watu walifanyakazi,wizi,ufujaji resources ulipungua ni obvious ilikujenga ni lzm kiongozi uwe mkali ili kazi ziende kuliko kuchekacheka, wezi wanaiba na kukusifia kidharaudharau.
 
Huwa ninaamini Magufuli asinge weza kutuachia mtu ambaye sio wa aina yake.
Wasiwasi wangu tutachiwa mtu wa aina hii hii tulie nae ama inaweza uwa muujiza kama ule w 2015?
Siku zote jana iliandaliwa juzi, jana ikaandaa leo, leo inaandaa kesho.
Sasa kama hali tulio nayo leo basi kesho huwenda ikawa sio njema sana.
 
Kabisa mkuu
 
Wewe ndo umepuyanga kusikojulikana, ustadh tambua kwamba dpworld haiji kubadili sheria zetu za kodi...misamaha kwa taasisi za kidini iko pale pale kisheria.
Punguza chuki kwa kanisa kubwa, BAKWATA siunaona huwa wanaingiza tende za misaada makontena kwa makontena?!.
 
Nyerere alikuwa kijana machachari kweli kweli uongozi ni kipawa na karama kutoka kwa YESU bila YESU uongozi ni batili
Nyie walokole Kuna sehemu kichwani hakupo sawa..
 
Hakuna ubishi hilo
 
Ushahidi ni IGA, ipitie mwanzo mwisho uone kama Pana ukomo wa mkataba Ule.

Professor Shivji, TUNDU Lissu, Dr Slaa, Mwabukusi na wataalamu wengine kumbe hukuwaelewa!!
Huu ndio ushahidi?
 
Yesu tena, mkuu ww ni mlokole nini?!
Yesu ndiye Mfalme wa Wafalme/ King of Kings.

Mada inaongelea Rais/ Mfalme/ kiongozi mkuu wa Nchi.

Hivyo Yesu ametajwa Mahali pake stahiki.

Kwamba ukiongozwa naye, lazima utawapenda na kuwatumikia vyema wananchi waliokuchagua.
 
Awamu zote mkapa,Mwinyi ,Kikwete na Sasa Dr Samia rasilimali za nchi zipo salama,mmepewa mdani atuwezi kuchimba unataka yabaki ardhini,nenda marekani wapo watu wa nje wamewekeza sema shida yako ni ubinafsi
 
Awamu zote mkapa,Mwinyi ,Kikwete na Sasa Dr Samia rasilimali za nchi zipo salama,mmepewa mdani atuwezi kuchimba unataka yabaki ardhini,nenda marekani wapo watu wa nje wamewekeza sema shida yako ni ubinafsi
Unauongeleaje uamuzi wa kukodisha bahari Kwa South Korea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…