Khaaa! Ikawaje mkuu Mana story haikuishia hapoNamuona jirani anaongea na mke wake, baada ya dk 5 mke anakuja nyumbani kaingia ndani anaomba jembe, mara naona mme wake akiongozana na kundi la wajumbe na wazee wanaingia ndani wanasema wanahisi nimemuweka mke wa jamaa kimada,, nikawaambia si kweli wakasema ngoja tusachi kama kweli, kuingia chumbani wakamkuta kalala kitandani, wanamuamsha anakoroma tu baadae ndo anaamka anajinyooshaaa hajielewi
Mkuu USWAHILINI nipe tuuu nisikupe hiyo ndo style ya maisha ya wakorofiJaman..nachuma vijani vi4!....haahaa ..ww kwangu had sembe unaomba..mie mchai chai tu roho inakuruka
UliwafanyajeDuh! Story yako Kama yangu mkuu Mimi imezidi kidogo tuu.
Kilichozidi majirani wa pande 3 za mji wangu waling'oa alama za upimaji wakajimegegea eneo langu kabla Sijajenga uzio mwingine kachimba bonge ya karo, mwingine kajenga choo mwingine mabanda ya kuku.
Nilicho wafanya hawata sahau!
Sante mkuuHapana, chukulia kiwanja cha 20 x20 ambazo ni sqm 400 tofali 1960 zinatosha kwa fence, kingine unaweza kukusanya tofali kidgo kidgo , huku kwetu fence ni muhimu sana,
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Sante mkuuJenga V kwenye kona zote au zungushia zile nguzo za seng'enge kiwanja chote.
Ukiweka ukuta wanakuita unajifanya una hela sanaKwahiyo ni bora kiwanja ukazungushia ukuta kwanza hata kama huna ya kujenga ili kujiepusha na kuibiana mipaka wadau??
Hapa sijaelewa?Pole mkuu.Mwenzio nilijenga fensi usiku was manane Kuna Kuna kucha wanakutana na fundi Ana jengea geti
Mkuu niilikuwa na tofali km elfu 4 nilitafuta mafundi nikawapa kazi sharti wajengee usiku na bila makelele.Kazi ilifanyika kuanzia SAA 5 usiku nikazungusja fensi mabanda ya kuku choo na karo ndani nikasubiri matokeo.nilijenga ijumaa usiku ilipofika j3😂😂😂😂Uliwafanyajee mkuu???
[emoji16][emoji16][emoji16]sasa si bora hii kuliko kumegewa ardhiUkiweka ukuta wanakuita unajifanya una hela sana
Kweli mkuu yaani uswahilini ni nyosoUkiweka ukuta wanakuita unajifanya una hela sana
Hakika tuliojenga USWAHILINI tunajuta[emoji16][emoji16][emoji16]sasa si bora hii kuliko kumegewa ardhi
Yaani mkuu nililazimika kujenga fensi usiku ili TU kuwakomoa wagomvi wangu kwa vituko na ushenzi wao!Hapa sijaelewa?
Hivi uswahilini ni kama mitaa ipi hiyo?Hakika tuliojenga USWAHILINI tunajuta
Aaah ok okYaani mkuu nililazimika kujenga fensi usiku ili TU kuwakomoa wagomvi wangu kwa vituko na ushenzi wao!
Unaishi mkoa gani maeneo yapi ili nikuelekeze wapi USWAHILINIHivi uswahilini ni kama mitaa ipi hiyo?
😀😀..mie siishi uswazi low density hii na aliyekuwa anafanya haya ni mlinzi tu wa nyumbaMkuu USWAHILINI nipe tuuu nisikupe hiyo ndo style ya maisha ya wakorofi
Njoo huku chuga uone waarusha wanavyopenda ardhi,ukifanya mchezo utanunua na njia ya kufika hapo kwenye kiwanja alichokuuzia.Mpaka nimeogopa nimezungukwa na wahaya na wanyakyusa wagombania ardhi[emoji1751][emoji1751]
Hapa analogwa mtuView attachment 1735636
Mgomba wa jirani yake unavyotaka kufarakanisha ujiran
Tungo tata hii.[emoji848] Mimi sigombani na majirani, Bali wao wanagombana na Mimi.
Ijapo maelezo ni ya upande mmoja, ngoja tujaji kwa kutumia maelezo yako peke yake.Wakati nanunua kiwanja,huyujirani alikuwepo na muuzaji akaniambia njia hiihapa kwa jirani nayeye yupo hapohapo anasikia.
Ila palikuwa na shimo kwenye eneo alilo nionyesha njia.
Jirani kwa kauliyake akaniambia nifukie shimo nipate njia nikaagiza roli la kifusi nikafukia shimo.
Nikampa na pesa kama laki na sabini hivi mana alikuwa kama hatakiela anajifanya ni ujurani mwema.
Baada ya miaka kama miili akauza kiwanja eneo la mpakani kwenye njia, aliemuzia akajenga mbaka akamaliza njia, wife akanipigia cm nikiwa kazini akaniambia njia inazibwa sikuamini.
Nikaomba ruhusa fasta kufika home nakutakweli mafundi wapo kozi ya nne.
Daaah jasho likanitoka nikamuita jamaa pale kwenye ujenzi na mnunuzi akiwepo nikamuuliza vp jirani mbona unazibanjiatena.
Akasema alisahau kumuambia aliemuuzia kwamba aache njia.
Mwisho wakakubali kuniachia kama futi 5 hivi kwa masharti kwamba niwalipe mafundi kuvunja ukutauliozidi, ninunue sement na kulipa mafundi kujenga upya nikalipa pesa tena waka vunja.
Baada ya miezi kadhaa tena huyu jirani alienunua akapanda mnazi na mpapai kwenye njia.
Yani siwezi kuelezaninavyo wachukia hawa jamaa.
Nikaamua kununua kiwanja kingine nakujenga sasa nasubiri umeme tu nihamie huko mana hapa gari haiingii.
Upande mwingine kwenye mpaka kuna kinjia kidogo ambacho nirahisi kufika maeneo ya madukani na hospitali, chaajabu wao wanapita kilasiku kwenye njia niliyoacha mimi hapa kwangu najiuliza sipatijibu.