Ndo hivyo! Hata kuliko pimwa kuna migogoro kibao!Mkuu kwa uswahilini hata vikiwa vimepimwa Bado Kuna WATU Ni watata bila sababu za msingi.Mimi kwangu kulipimwa toka 2003 mijitu inakuja fanya umbwanda 2013 miaka 10 baada ya kupimwa nami nilinunua 2012.
Langu ni mita 25 kwa 27Nipe UKUBWA wa ENEO nkupe idadi ya tofali ,mchanga na mifukoya cement ya kujengea
Sawa mkuu takutumia makadirioLangu ni mita 25 kwa 27
Sawa mkuu takutumia makadirio
Wakati mwingine mtu mbaya anaweza kubadirika kutokana naww ulivo mpe ushirikiano tu ila akili itumikeNimepakana na Muhaya pamoja na vurugu zote alizonifanyia siku hizi anajifanya mwema kwangu.
Haipiti wiki lazima atagonga hodi kuja kwangu kusalimia namchora tu namuona mshamba wa maisha.
Duhmie nililima mahindi katika eneo langu kwa lengo la kushika kiwanja,yalipofikia umri wa kukomaa nikapata vi hela flani nkaona nijenge ntakapo ishia ni hapo hapo. nikamjulisha jirani yangu awe anachuma mahindi ya kula kula anapopata shida maana walianza kuyaiba. upumbavu wake akaanza yalinda ili yakauke afanye mahindi ya ugali ile nimepata vihela nikaja yachuma ili kujenga msingi hahahahah acha ani maindi kwamba nilisha mpa hayo mahindi na alitaka yakauke ndio ayachume ndo mwanzo wa kuzinguana.
KabisaWakati mwingine mtu mbaya anaweza kubadirika kutokana naww ulivo mpe ushirikiano tu ila akili itumike
Hakukuwa na namna MkuuDaaaah wee jamaa ulifanya umafia wa hali ya juu aseee🙌🏿🙌🏿🙌🏿
nililewa kwakua milango yetu inafata nkajkuta nmelala seblen kwake et akamaind mpaka leo atusemeshan nangoja mkesha wa pasaka nilewe nkanye mlangon kwake
Mkuu samahani nilikuwa bize na Jambo Fulani ninakupa makadirio ya tofali cement na mchanga.Langu ni mita 25 kwa 27
Kama gari haifiki site kwake! Mikokoteni mingapiM
Mkuu samahani nilikuwa bize na Jambo Fulani ninakupa makadirio ya tofali cement na mchanga.
Maximum uwe na tofali 3870.
Cement mifuko 40
Mchanga Lori kubwa 2
Kama mkokoteni haufiki site kwake! Viroba vingapi?Kama gari haifiki site kwake! Mikokoteni mingapi
Ngoja injia aje atusaidie maana uswahilii tabu sana njia za roli hakuna tupeane mahesabu ya virobaKama mkokoteni haufiki site kwake! Viroba vingapi?
Hahahahdah dunia ina visa sana....ila kikubwa uwa sichunguzi mambo ya watu...na ni desturi yangu pia kuchukia sana pindi ninapogundua kuwa kuna mtu kwa namna moja ama nyingine ananifuatilia...hivyo ugomvi wangu mkubwa sana na majiraani zangu huwa mara nyingi ni hiyo hali ya kuchunguzana ambayo huwa inaniuzi sana
Hakuna haja ya kugombana na majirani cheif, kama kuna jambo halijakaa sawa mnaitana mnazungumza na kuyamaliza na sio kugombana, majirani ni kama ndugu kwa sababu ni watu wa karibu tunaoshirikiana nao katika kila jambo na hata unapopatwa na jambo usiku wa manane mtu wa karibu yako ni jiraniKuna watu hawapendi ujirani wa amani kabisa. Na kundi hili la majirani wagomvi ni kubwa sana kuliko tudhaniavyo!
Binafsi ugomvi mkubwa na jirani yangu ilikuwa ni kwenye kununua Umeme. Huyo umeme ukiisha tu alikuwa hawashi taa na hapandishi mapazia anajifungia kimya!
Tulikalishwa vikao hadi vya mjumbe lakini wapi! Ikabidi nihamie nyumba nyingine! Huku nako nilikutana na mama mmoja jirani mchafu hatari, watoto wake walikuwa wanajisaidia kwenye corridor! Halafu hajali wala nini, ukiweka kanyagio la kufutia miguu ukitoka baadae unarudi unakuta wamelichukua wao kufutia miguu!
Nikadhani mtu aliyejenga hana kero ya ugomvi na majirani kumbe huku ndiko kuna balaa zaidi! Huku nako kuna watata vilevile, usipoangalia unaweza pata presha. Wapo majirani mabingwa wa kusogeza mipaka ya viwanja! Huu ugomvi ni mwingi sana umeharibu mahusiano ya majirani wengi sana!
Wapo pia majirani wanaojenga hadi kiwanja wanamaliza halafu paa la nyumba linamwaga maji kwa jirani ilimradi tu wawakere!
Yote tisa, wapo majirani wafugaji wenye mifugo inayoharibu mali za jirani yake na wala hawajali.
Nisiseme mengi. Leo Naomba tushirikishane, ni mgogoro gani hasa ulionao wewe na jirani yako hapo?
Mfano kama jirani kazidisha mipaka nahataki maelewano utafsnyajeHakuna haja ya kugombana na majirani cheif, kama kuna jambo halijakaa sawa mnaitana mnazungumza na kuyamaliza na sio kugombana, majirani ni kama ndugu kwa sababu ni watu wa karibu tunaoshirikiana nao katika kila jambo na hata unapopatwa na jambo usiku wa manane mtu wa karibu yako ni jirani
Ni bizuri kuguata taratibu za kisheria, kuna wajumbe wa serikali za mitaa, ambao ndio ngazi ya mwanzo wanaweza kuzungumza nae kama hataelewa then utaendelea na utaratibu unaofuataMfano kama jirani kazidisha mipaka nahataki maelewano utafsnyaje