tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Samia hana uchungu na nchi ya Tanganyika; ana uchungu na nchi yake ya Zanzibar tu. Mungu anamuona.1. Mpaka sasa haieleweki dira yake hasa ni nini. Kila kitu ni kama kinajiendea tu. Hakuna concrete direction.
2. Nchi inakosa umeme kila mahali kwa zaidi ya miezi sita na wala hakuna kinachofanyika. Hapajawahi kutokea mgao mrefu hiv...