Pre GE2025 Tuweke ushabiki pembeni, ukweli ni kwamba Rais Samia ameshindwa kazi ya urais

Pre GE2025 Tuweke ushabiki pembeni, ukweli ni kwamba Rais Samia ameshindwa kazi ya urais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
SGR tuliambiwa January lakini mpaka sasa ni bila bila hakuna anaezungumza
Ukiambiwa na nani January? Rais alitoa deadline lini? Mbona awamu yenu mliambiwa 2019 lakini Hadi mnafukiwa mlikuwa Bado?
 
Uwezo wake wa kufikiri mambo kiyakinifu ni mdogo mno. Kwa ujumla mpaka sasa ameshafeli kwa kiwango cha Kimataifa.
 
We hujaona kama kafungua nchi fanyeni kutoka mje kutengeneza barabara zenu na mnunue majenereta muache kulalamika.na manesi juzi wametafutiwa kazi kwenye serikali ya saudia,(cha muhimu ni kumuomba aendelee kuwatafutia ajira huko uarabuni maana diaspora wakiwa wengi basi uchumi wa mtu mmoja mmoja utaongezeka kwa kasi) na vipi kuhusu mradi ule wa kilimo wa vijana. Afu sukari ni anasa na kupanda magari ni anasa pia🤣..Ama kweli kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake ivi mawaziri wanapata wapi nguvu ya kutembelea maV8 ya milioni 400 halafu unakuta jimboni kwake kuna sehemu shule hazina madawati na walimu,dispensary zinapumulia mashine, kaya masikini kama zote.
 
We hujaona kama kafungua nchi fanyeni kutoka mje kutengeneza barabara zenu na mnunue majenereta muache kulalamika.na manesi juzi wametafutiwa kazi kwenye serikali ya saudia,(cha muhimu ni kumuomba aendelee kuwatafutia ajira huko uarabuni maana diaspora wakiwa wengi basi uchumi wa mtu mmoja mmoja utaongezeka kwa kasi) na vipi kuhusu mradi ule wa kilimo wa vijana. Afu sukari ni anasa na kupanda magari ni anasa pia🤣..Ama kweli kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake ivi mawaziri wanapata wapi nguvu ya kutembelea maV8 ya milioni 400 halafu ukute jimboni kwake kuna sehemu shule hazina madawati na walimu,dispensary zinapumulia mashine
Haters tuu hao ,ni wale waliowekwa kumchafua wakijaribu Kuchezea karata zao makoridoni kuelekea 2025.

Kundi kubwa hapo ni Suku gang so wasikupe.shida.

Chini ya Rais wa Maigizo vs Samia 👇

View: https://twitter.com/Sisimizi3/status/1749418627663532455?t=0-jRP1wXTZyjyiKGjoNmPg&s=19
 
52F612BF-5BF8-4DDE-A8BE-FFFB62D42C4A.jpeg

Ni rahisi sana kutabiri Tanzania inapoelekea kwa maamuzi ya uongozi wa juu.

Baada ya kuanza ubunifu wake ‘bi tozo’ back in June 2022 wakati kila bado rosy, wengine tulisema anaenda bomoa mazuri aliyoyakuta itafika wakati atachokwa kwa uharibifu unaoenda kutokea mbeleni.

Chawa wake walikuwa wanaona kama personal attacks, wakati watu wanamsihi huyo mama asitoke kwenye njia aliyoikuta.

Huu sasa ndio ule wakati wa muda kuongea kutokana na maamuzi yake.
 
Kuzalishwa nimekuachia wewe...endelea kuzalishwa hadi mapacha uijaze Zanzibar ilingane idadi ya watu na Tanganyika
Wewe si una uchungu? Nenda kazalowhwe uchungu uishe.

Kuwa na idadi kubwa ya Watu harafu mbumbumbu kama wewe unategemea miujiza kupata maendeleo?

Umeme sio madarasa,wakati Mnajenga mradi wa kuchukua miaka 10 bila kuandaa miradi ya kuziba gap ya Ongezeko jipya mlitegemea nini? Ndio mkome kutokuwa na akili.
 
1. Mpaka sasa haieleweki dira yake hasa ni nini. Kila kitu ni kama kinajiendea tu. Hakuna concrete direction.

2. Nchi inakosa umeme kila mahali kwa zaidi ya miezi sita na wala hakuna kinachofanyika. Hapajawahi kutokea mgao mrefu hivi.

3. Kuna maeneo maji yanakatika hata wiki nne na hakuna anayejali. Yaani sasa hivi huduma za muhimu zimekuwa anasa.

4. Mfumuko mkubwa wa bei kwa bidhaa mbalimbali kutokana na uongezaji wa bei ya mafuta yanayoingia dar es salaam.

5. Nchi haijawezesha uzalishaji na uchakataji wa mazao na bidhaa ili angalau tuongeze mauzo ya nje.

6. Bei za magari zimeongezeka maradufu kutokana na kupandisha kodi. Mwaka 2020 nilimnunulia dogo kutoka yard IST kwa 10.8m leo hii inauzwa 17m.

7. Nauli za daladala zilikuwa shilingi 400 mwaka 2021 na sasa ni shilingi 600. Ongezeko la asilimia 50.

8. Hakuna uelekeo kwenye suala la kuongeza fursa za ajira kwa vijana wanaomaliza vyuo mbalimbali.

9. Ubadhilifu na ufisadi mkubwa katika halmashauri na mashirika ya umma. Ripoti za CAG zinapuuzwa.

10. Reli ya sgr haieleweki itaanza lini. Kuna dalili ikafika 2025 kabla haijaanza. Bwana la Mwalimu Nyerere imekuwa siasa.
Leo ndiyo wewe unegundua?
 
View attachment 2880009

Ni rahisi sana kutabiri Tanzania inapoelekea kwa maamuzi ya uongozi wa juu.

Baada ya kuanza ubunifu wake ‘bi tozo’ back in June 2022 wakati kila bado rosy, wengine tulisema anaenda bomoa mazuri aliyoyakuta itafika wakati atachokwa kwa uharibifu unaoenda kutokea mbeleni.

Chawa wake walikuwa wanaona kama personal attacks, wakati watu wanamsihi huyo mama asitoke kwenye njia aliyoikuta.

Huu sasa ndio ule wakati wa muda kuongea kutokana na maamuzi yake.
Mazuri kama yapi? Amebomoa nini?

Hadi Sasa hivi ni personal attacks za wasaka Urais waliojificha makoridoni.

Samia ndio kafanikiwa kuwazidi wote ndio maana mnakuja na statements za Jumla bila ulinganisho wa takwimu Moja baada ya nyingine.
 
Mawazo yako ni mazuri mtoa mada,mama ana Nia Njema Kwa kias kikubwa wasaidizi wake wanamwangusha baadhi Yao,ila mama ni msikivu anasikia na kuyafanyia kazi
Hao wasaidizi wanaomwangusha kwa nini asiwachukulie hatua? Anadhani kuwastupidisha peke yake inatosha? Ajifunze kutoka kwa kikwete alivyokuwa anawachekeachekea matokeo yake serikali yake ikadoda na kugeuka kuwa genge la mafisadi tu.
 
1. Mpaka sasa haieleweki dira yake hasa ni nini. Kila kitu ni kama kinajiendea tu. Hakuna concrete direction.

2. Nchi inakosa umeme kila mahali kwa zaidi ya miezi sita na wala hakuna kinachofanyika. Hapajawahi kutokea mgao mrefu hivi.

3. Kuna maeneo maji yanakatika hata wiki nne na hakuna anayejali. Yaani sasa hivi huduma za muhimu zimekuwa anasa.

4. Mfumuko mkubwa wa bei kwa bidhaa mbalimbali kutokana na uongezaji wa bei ya mafuta yanayoingia dar es salaam.

5. Nchi haijawezesha uzalishaji na uchakataji wa mazao na bidhaa ili angalau tuongeze mauzo ya nje.

6. Bei za magari zimeongezeka maradufu kutokana na kupandisha kodi. Mwaka 2020 nilimnunulia dogo kutoka yard IST kwa 10.8m leo hii inauzwa 17m.

7. Nauli za daladala zilikuwa shilingi 400 mwaka 2021 na sasa ni shilingi 600. Ongezeko la asilimia 50.

8. Hakuna uelekeo kwenye suala la kuongeza fursa za ajira kwa vijana wanaomaliza vyuo mbalimbali.

9. Ubadhilifu na ufisadi mkubwa katika halmashauri na mashirika ya umma. Ripoti za CAG zinapuuzwa.

10. Reli ya sgr haieleweki itaanza lini. Kuna dalili ikafika 2025 kabla haijaanza. Bwana la Mwalimu Nyerere imekuwa siasa.
Wacha porojo wewe, nani alikudqnganya Rais wa CCM ana Dirac yake?

Rais na serikali ya CCM wanaongozwa kwa sera walizoombea kura wakati wa uchaguzi, cha kutazama wanatimiza hawatimizi?

Msituletee upoyoyo wenu hapa.
 
Back
Top Bottom