Pre GE2025 Tuweke ushabiki pembeni, ukweli ni kwamba Rais Samia ameshindwa kazi ya urais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
1. Mpaka sasa haieleweki dira yake hasa ni nini. Kila kitu ni kama kinajiendea tu. Hakuna concrete direction.

2. Nchi inakosa umeme kila mahali kwa zaidi ya miezi sita na wala hakuna kinachofanyika. Hapajawahi kutokea mgao mrefu hiv...
Samia hana uchungu na nchi ya Tanganyika; ana uchungu na nchi yake ya Zanzibar tu. Mungu anamuona.
 
Hoja imeungwa mkono

Wanaosema ndiyoooo, wameshinda
 
SGR tuliambiwa January lakini mpaka sasa ni bila bila hakuna anaezungumza
 
Ni kelele tuu za Mbumbumbu ila narudia tena kusema hakuna Rais anaeweza kumfikia Samia Kwa delivery Kwa miaka ya karibuni sekta zote.

Zamani nyie nyumbu mlikuwa mnasema hakuna miradi mipya ila Kwa Sasa mnatafutiza vijisababu vya kijinga ki justify chuki.

Mbeya peke yake Kuna skimu 12 Zenye zaidi ya over 100bln za Irrigation zinaendelea na ujenzi na Iko hivyo kuanzia Simiyu Hadi Ludewa huko.

View: https://youtu.be/SnTWY9yYM6o?si=pla-71QTAMOwp0Ot
 
Ni kweli kabisa. Halafu amelata mvua nyingi nchini mpaka sukari imepungua
 
Porojo za kijinga.

Hayo uliyoongea ndio Yana define dira ya Nchi au kuweza au Kushindwa Kwa Rais?

Jitokezeni hadharani mseme mnataka kushindana nae ubavu 2025 sio kujificha makoridoni kama panya πŸ˜†πŸ˜†
Islam nduguye Islam!!

Pongezaneni hata kwenye ujinga
 
Daaah nikisema mm naambiwa mbaguzi. Ona wafanya bznes wanaficha sukari Kwa madaha makubwa kabisa. Watanganyika wanateseka KIZIMKAZI hana muda na hana Nia njema n Tanganyika itabakia mapango TU. YY mpe safari za nje hapo ndio pake. Jaman rushwa imetamalaki Kwa watumishi wake.kisa baada y kuona nae ni Dalali TU wa Mali za umma.
 
Mwanamke ni mwanamke na atabaki kuwa mwanamke miele, feminism niusenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…