Pre GE2025 Tuweke ushabiki pembeni, ukweli ni kwamba Rais Samia ameshindwa kazi ya urais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hahahahaha
 
Hujakosea Samia ndio Rais mwenye mafanikio makubwa kuwahi tokea Tanzania.

Kigoma imeitika πŸ”₯πŸ”₯

View: https://twitter.com/twendenamama/status/1747593475380445420?t=2mVtLztvML_pmW2V8ZaAVA&s=19
View: https://twitter.com/twendenamama/status/1747593568028381218?t=fAgO1pchuIi_9cqvbkPiyw&s=19
 
Umeme

Maji

Mafuta ya Petrol na Dizel juu

Vyakula bei juu

Sukari bei juu

Wananchi wanaokula mlo mmoja

Nchi imejaa shida kila kona
 
Stupid
 
Rais Samia tayari ameingia katika Kitabu Cha KUMBUKUMBU, Marais wa kiume wote waliogopa maandamano, mama kuruhusu, amedhihirisha moyo wa mama mlezi. Aliyepita alisema uchaguzi ukiisha basi, hakuna mikutano mpaka miaka 5 ipite, mama kuruhusu mikutano. Aliyepita alisema mwanafunzi anayezaa akiwa shule asirudi shule chini ya utawala wangu, mama mlezi ameruhusu warudi shule. Aliyepita alisema mkurugenzi ambaye eneo lake atachaguliwa mpinzani, Hana kazi, hapa Sasa mama mlezi anatakiwa viongozi kuanzia mjumbe, diwani, mbunge na Rais mwenyewe aruhusu sanduku la kura liamue aliyechaguliwa na Wananchi kuepusha aibu ya chaguzi zilizopita ambapo Rais huchagua kuanzia mjumbe wa nyumba kumi, diwani, mbunge na Rais mwenyewe kwa utashi wake. Rais Samia tayari ameingia katika Kitabu Cha KUMBUKUMBU kuwa Rais wa kike aliyekuwa tofauti na Marais wa kiume waoga wa maandamano.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Magufuli ambae alikuwa mkali kwani watu waliacha kuibia serikali?

Report za CAG Bado zilikua chafu na kuonesha watu Bado walikuwa wapigaji kwani ulikua huoni?
Kwanza, nani kamtaja Magufuli? Hapa tunamjadili Samia na kuwachukulia hatua wasaidizi wanaomwangusha!
Pili, nani kasema watu waliacha kuibia serikali?
Tatu, kwa kuwa watu hawakuacha kuiba hata wakati wa Magufuli, basi hata wakati huu wasichukuliwe hatua, maana yake kuiba ni haki yao?
Logic ya hoja yako ni mfu sana.
 
Hawa washabiki wa dini huwa hawawezi kufikiri kwa mantiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…