Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
- #121
Wewe jamaa ChoiceVariable umekosa ajira hadi wamekugeuza chawa. Unalamba makwapa ya watu kwa juhudi kubwa ili ulipwe buku saba. What a wastage of life!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saizi sio buku 7 usikariri maisha.Wewe jamaa ChoiceVariable umekosa ajira hadi wamekugeuza chawa. Unalamba makwapa ya watu kwa juhudi kubwa ili ulipwe buku saba. What a wastage of life!!
Hongera, kwahiyo sasa unatumika mitandaoni kwa bei gani? Kwanini usitafute kazi halali ujiongezee kipato na kukuza uchumi?Saizi sio buku 7 usikariri maisha.
Hii hii ndio kazi halali inayoniongezea kipato.Hongera, kwahiyo sasa unatumika mitandaoni kwa bei gani? Kwanini usitafute kazi halali ujiongezee kipato na kukuza uchumi?
Sawa, endelea na kazi yako salama.Hii hii ndio kazi halali inayoniongezea kipato.
Wewe unatumika kupinga Kwa bei gani? Mbona usitafute kazi halali
Mimi Huwa ni Kiboko yenu wapotoshaji 🤪🤪Sawa, endelea na kazi yako salama.
Wewe unaweza?1. Mpaka sasa haieleweki dira yake hasa ni nini. Kila kitu ni kama kinajiendea tu. Hakuna concrete direction.
2. Nchi inakosa umeme kila mahali kwa zaidi ya miezi sita na wala hakuna kinachofanyika. Hapajawahi kutokea mgao mrefu hivi.
3. Kuna maeneo maji yanakatika hata wiki nne na hakuna anayejali. Yaani sasa hivi huduma za muhimu zimekuwa anasa.
4. Mfumuko mkubwa wa bei kwa bidhaa mbalimbali kutokana na uongezaji wa bei ya mafuta yanayoingia dar es salaam.
5. Nchi haijawezesha uzalishaji na uchakataji wa mazao na bidhaa ili angalau tuongeze mauzo ya nje.
6. Bei za magari zimeongezeka maradufu kutokana na kupandisha kodi. Mwaka 2020 nilimnunulia dogo kutoka yard IST kwa 10.8m leo hii inauzwa 17m.
7. Nauli za daladala zilikuwa shilingi 400 mwaka 2021 na sasa ni shilingi 600. Ongezeko la asilimia 50.
8. Hakuna uelekeo kwenye suala la kuongeza fursa za ajira kwa vijana wanaomaliza vyuo mbalimbali.
9. Ubadhilifu na ufisadi mkubwa katika halmashauri na mashirika ya umma. Ripoti za CAG zinapuuzwa.
10. Reli ya sgr haieleweki itaanza lini. Kuna dalili ikafika 2025 kabla haijaanza. Bwana la Mwalimu Nyerere imekuwa siasa.
Ndio
Mimi ni robot wa Samia mama wa kazi maneno achia MachademaTuthibitishie kwanza, wewe ni mtu au robot?
Royal tour as usual inaendelea 👇Mama Abdul yuko kwenye Royal Tour!! Huyo mama ni msanii mambo ya kuwa Rais ni zigo kubwa sana kwake!!
Acheni kuropoka vitu msivyovijua na ambavyo hamna ushahidi navyo.Rais Samia amekosa uthubutu kabisa, anachoweza kufanya labda afukuze Wateule wake wote kuanzia chini kabisa halafu aanze upya.
Hivi kweli Rais serious anaweza vipi kuendelea na kina Mwigulu, Makamba, Nape, Ridhiwani, Mavunde eti Hawa ndio Mawaziri wa mtu anayetaka kuaminiwa kuwa ni mkombozi wa Taifa lenye kila kitu.
Naamini hata mbele za Mungu hawezi kutusaidia kwa huu utani unaofanywa, Mungu ashatupuuza kitambo sana, yaani Rais wetu hajui kabisa kuwa nchi ipo mikononi mwa vibaka, hivi anadhani Mungu alipoweka sheria hakujua kuwa hawa viumbe ukiwachekea hawataiacha Dunia salama?
Tunachoweza kufanya ni kumuombea tu kwa Mungu aoteshwe tu kuwa nchi ameiuza kwa vibaka, azinduke atuachie nchi yetu au afanye maamuzi magumu, yeye ashashiba utajiri basi watuachie hata hayo makombo tu tumalizie.
sasa hebu weka mafanikio yake uone talivyo mengi1. Mpaka sasa haieleweki dira yake hasa ni nini. Kila kitu ni kama kinajiendea tu. Hakuna concrete direction.
2. Nchi inakosa umeme kila mahali kwa zaidi ya miezi sita na wala hakuna kinachofanyika. Hapajawahi kutokea mgao mrefu hivi.
3. Kuna maeneo maji yanakatika hata wiki nne na hakuna anayejali. Yaani sasa hivi huduma za muhimu zimekuwa anasa.
4. Mfumuko mkubwa wa bei kwa bidhaa mbalimbali kutokana na uongezaji wa bei ya mafuta yanayoingia dar es salaam.
5. Nchi haijawezesha uzalishaji na uchakataji wa mazao na bidhaa ili angalau tuongeze mauzo ya nje.
6. Bei za magari zimeongezeka maradufu kutokana na kupandisha kodi. Mwaka 2020 nilimnunulia dogo kutoka yard IST kwa 10.8m leo hii inauzwa 17m.
7. Nauli za daladala zilikuwa shilingi 400 mwaka 2021 na sasa ni shilingi 600. Ongezeko la asilimia 50.
8. Hakuna uelekeo kwenye suala la kuongeza fursa za ajira kwa vijana wanaomaliza vyuo mbalimbali.
9. Ubadhilifu na ufisadi mkubwa katika halmashauri na mashirika ya umma. Ripoti za CAG zinapuuzwa.
10. Reli ya sgr haieleweki itaanza lini. Kuna dalili ikafika 2025 kabla haijaanza. Bwana la Mwalimu Nyerere imekuwa siasa.
Hapo hawawezi kuweka Kwa sababu wanajua amewafunika mbali na hao wanaozusha hayo ni Suku gang wakishirikiana na Machadema.
Kama mnaona wivu Kwa Samia kuvaa vile Kwa heshima anavyovyaa na nyinyi ni watoto wa kiume,basi nanyinyi kanunueni madela mvae,shida Iko wapi hadi useme udini.Kuna majitu ya ajabu kweli! Hapo anataka kuja kwenye udini polepole!
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Wasaidizi wake wanamuangusha Kwa lipi hasa? Mbona in most cases wanafanya vizuri.
Yaani unazuzuliwa na hizo porojo hapo Juu za Jumla Jumla bila ushahidi?
Umewahi jiuliza wakati Mwendazake ana set mradi wa bwawa wa miaka 10 aliweka miradi mingine ya kuziba gap la demand ya umeme? Au mahitaji yatakuwa yanasubiria bwawa?
Sgr ni kipaombele Cha Wananchi? Uliwahi ona wapi Sgr inakuza uchumi wa mtu mmja mmja?
Wewe ndio jiti la ajabu lenye wivu na chuki Kwa Samia 😂😂Kuna majitu ya ajabu kweli! Hapo anataka kuja kwenye udini polepole!
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Nini kilimzuia Magu kuzimaliza Hadi amsubilie Samia?Sasa unaongea kitu Gani,miradi yote ya bwawa sgr ameanzisha magu Samia akiwa makamu wake,unataka afanye Nini,asiendeleze?au achague baadhi ya kuendeleza na kuacha mingine
Sio kweli, familia lege sio watoto ni kuanzia wazazi
Magufuli ambae alikuwa mkali kwani watu waliacha kuibia serikali?Hao wasaidizi wanaomwangusha kwa nini asiwachukulie hatua? Anadhani kuwastupidisha peke yake inatosha? Ajifunze kutoka kwa kikwete alivyokuwa anawachekeachekea matokeo yake serikali yake ikadoda na kugeuka kuwa genge la mafisadi tu.
Sasa ndujgu yangu kama kwa akili hizi na wewe unajiona umejibu basi una shida kubwa Tanzania;Kashindwaje kazi wakati ameruhusu maandamano?
Kashindwaje kazi wakati hafokei watu?
Kashindwaje kazi wakati hana kauli mbaya?
Kashindwaje kazi wakati hakuna tena watu wasiojulikana?
Kashindwaje kazi wakati alimtoa Mbowe jela?
Kashindwaje kazi wakati alimwalika Mbowe ikulu na kumpa juisi?
Samia ndo Rais mwenye mafanikio sana kuliko Rais yeyote mwingine yule kupata kutokea Tanzania, Afrika, na duniani kwa ujumla.
Hakuna kama Samia.