Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini kilimzuia Magu kuzimaliza Hadi amsubilie Samia?
Wakati Magu anaianzisha Samia alikuwa nani?
Punguza ujinga wewe nyumbu
View: https://www.instagram.com/p/C2eYeNwKU2U/?igsh=c2Jyb2NmY200YTZ1
Mbona alikuwa hai na Stand ya Magufuli iliishia njiani? Mbona Sgr Dar-Moro iliishia njiania Hadi anakufa?Wewe ndie kichwa box,magu angekuwa hai unadhani angeishia njian na hiyo miradi?labda kama angekuwa Hana pesa, likewise Kwa Samia,unaongea kitu Gani sasa,Samia kama makamu wake lazima aendeleze miradi hiyo kadri ya nafasi inavyomruhusu.
Mimi nimeona ni za hovyo sana bora upuuzi aisee jamaa katoa vitu sahihi kabisa anakuja mtwana na sababu zake mpaka unacheka..Duuh,hizo sababu zako ni za kipuuzi sana.
Zisome na zitafakari tena.
Mbona alikuwa hai na Stand ya Magufuli iliishia njiani? Mbona Sgr Dar-Moro iliishia njiania Hadi anakufa?
Nyumbu huna akili umejaa mavi,mradi upi umeishia njiani? Nitajie nikuumbue
Kazi inaendelea 👇
View: https://www.instagram.com/p/C2dWQbQsnC4/?igsh=cnkxeDl6cDQwbGIy
Hizo sio kazi zilizompeleka IkuluKashindwaje kazi wakati ameruhusu maandamano?
Kashindwaje kazi wakati hafokei watu?
Kashindwaje kazi wakati hana kauli mbaya?
Kashindwaje kazi wakati hakuna tena watu wasiojulikana?
Kashindwaje kazi wakati alimtoa Mbowe jela?
Kashindwaje kazi wakati alimwalika Mbowe ikulu na kumpa juisi?
Samia ndo Rais mwenye mafanikio sana kuliko Rais yeyote mwingine yule kupata kutokea Tanzania, Afrika, na duniani kwa ujumla.
Hakuna kama Samia.
Nakunyoosha wewe unasema Samia hajafanya kitu mara umtaje Magufuli ndio Niko kuweka sawa takwimu maana nyie nyumbu mkibanwa Huwa mnakimbilia kumtaja MwendazakeHoja yako ni ipi kwani?hueleweki unaongea kama nguchiro,unampinga magufuli?unampinga Samia?unawapinga wote?au unampinga yupi baina Yao na unamkubali nani, hueleweki... besides Samia hawezi ishia njian kuendelea na miradi ambayo magufuli alianza nayo wakiwa wote pamoja kama Rais na Makamu wake.
Mbona hachukui hatua kwa yote yanayolalamikiwa? Amekuwa kwenye ofisi no. 2 chini ya ofisi kuu na amemshuhudia mwenzake hatua alizokuwa akichukua, yeye anashindwa vipi akiwa kwenye ofisi kuu sasa na madaraka anayo?Mawazo yako ni mazuri mtoa mada,mama ana Nia Njema Kwa kias kikubwa wasaidizi wake wanamwangusha baadhi Yao,ila mama ni msikivu anasikia na kuyafanyia kazi
Hatua zipi ambazo wewe ulitaka achukue na hazijachukuliwa?Mbona hachukui hatua kwa yote yanayolalamikiwa? Amekuwa kwenye ofisi no. 2 chini ya ofisi kuu na amemshuhudia mwenzake hatua alizokuwa akichukua, yeye anashindwa vipi akiwa kwenye ofisi kuu sasa na madaraka anayo?
Naona umeanzisha mada mpya ndani ya mada iliyopo Mr.Spin doctor.Kama mnaona wivu Kwa Samia kuvaa vile Kwa heshima anavyovyaa na nyinyi ni watoto wa kiume,basi nanyinyi kanunueni madela mvae,shida Iko wapi hadi useme udini.
Kasema ukweli 😂😂Naona umeanzisha mada mpya ndani ya mada iliyopo Mr.Spin doctor.
Kimsingi ndilo tatizo kuu la nchi yetu!Niliwahi kusema humu, nanukuu;
"Hakuna kitu kibaya kama viongozi kufika mahali wakagundua kuwa wananchi hamna cha kuwafanya.."
Mkanibeza.
Hapana,you are wrong...Nakunyoosha wewe unasema Samia hajafanya kitu mara umtaje Magufuli ndio Niko kuweka sawa takwimu maana nyie nyumbu mkibanwa Huwa mnakimbilia kumtaja Mwendazake
Sio swala la kiimani Bali ni swala la kinachoendelea site.kiimani zaidi mama samia ana 99% ya kuipata pepo ya mungu kuliko yule msukuma pori wa chato....ni kweli ana madhaifu yake mengi tu lakini anajitahidi kuwa na utu, hataki kumtoa mtu machozi kama mwendazake, anasimamia misingi yake ya urais hataki kuvuka hapo.....kuna watu walipewa kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji fedha ili tu wafirisiwe na wawe masikini kama watu wa chato hawa watu mpaka leo machozi huwa yanawatoka, fikiria mtu umeutafuta utajiri kwa miaka 30....mtu kama Rugemalila unahisi anamuombea dua njema magufuri?.......tuombe mwisho mwema, utakapokufa leo usiache machozi ya watu wakikulilia kwa maumivu uliyowatendea.
Sio swala la kiimani Bali ni swala la kinachoendelea site.
Huwa siongei porojo nakupa vitu actual 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C2cjEFCtRW5/?igsh=aWZqZzlqcTltaTdn
Kwa hiyo nyie mnalaumu nini Sasa?sera za chama mkuu...hata kikwete na wengineo walitengeneza barabara kulingana na bajeti na mipango ilipoishia ,kwa hiyo sijaona kipya hapa...
bwana Lucas mwashambwa mimi sina ninacholaumu ....nimechangia tu mawazo yanguKwa hiyo nyie mnalaumu nini Sasa?