Tuwekeze kwa wanawake wanaotupenda zaidi

Kaka Kwema lkn au umepigwa na kitu kizto kichwan nnπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jidanganye[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kosa kubwa sana kujidanganya kwamba mwanamke anapenda. Wee tumia hela ule mbususu basi. Cha msingi ni kukojolea pisi kali basi. Upendo ipo kwa mama yako tuu
Endelea kuamini hivyo namie nitaamini vingine sababu mapenzi ni hisia basi kila mtu atashinda mechi zake.

Money cant buy love but it can surely buy you sex! Ukinunua ngono kwa pesa usichanganye ngono na upendo.
 
Jidanganye[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama mwanaume una option za kununua sex au kutafta mapenzi! Usije ukanunua sex kisha ukanogewa ukahisi unapendwaπŸ˜…! Kiini cha mada kipo hapo!

Inategemea unainjoy kipi zaidi ila mapenzi ya kueleweka hayapatikani kirahisi. Wengi tunapenda shortcuts katika maisha na ndio wengi tunatumia hela kununua sex iliopambwa na pathetic lies!
 
Endelea kuamini hivyo namie nitaamini vingine sababu mapenzi ni hisia basi kila mtu atashinda mechi zake.

Money cant buy love but it can surely buy you sex! Ukinunua ngono kwa pesa usichanganye ngono na upendo.
Spot on mate! Sisi wengine hatuamini kwenye hiyo upendo toka kwa mwanamke. Wacha tutumie hela kupata hiyo sex mzeya maana ata kuoa kinachotafutwa ni hicho tuu
 
Kwema mzee baba, hii ni mada nimepost tu mkuu mie sina tatizo kabisa na hao watu
Safi sn mkuu... Mtupende sn sisi tunao wapenda
Kwema mzee baba, hii ni mada nimepost tu mkuu mie sina tatizo kabisa na hao watu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ me ni Ke bhn kakangu... Hata hivyo tunawependaga hata kama bado mnazchanga tatizo huja baada ya kuzpata baadh yenu mnaona hatustahili kutumia na nyie
 
Spot on mate! Sisi wengine hatuamini kwenye hiyo upendo toka kwa mwanamke. Wacha tutumie hela kupata hiyo sex mzeya maana ata kuoa kinachotafutwa ni hicho tuu
Yeah hio ni option ambayo kila mwanaume anayo mzeeπŸ˜… ila haibadilishi ukweli kuwa mapenzi hayapo.
 
Ahahahah mzee mie selection yangu ya pisi huwa inaniuma sana kuwaacha waliwe na fisi maji...Ningekuwa na uwezo ningeoa mademu kadhaa ambao nimekulaga maana wametulia sana mzee.

Ningekuwa mtoto wa Sultan ningeweka mizigo ndani.
Tatizo wengi walotulia hata sio watamu[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sn mkuu... Mtupende sn sisi tunao wapenda

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ me ni Ke bhn kakangu... Hata hivyo tunawependaga hata kama bado mnazchanga tatizo huja baada ya kuzpata baadh yenu mnaona hatustahili kutumia na nyie
Sorry mrembo! Ungeandika kidoti kabisa ieleweke io kudot inatuchanganya mashabikiπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Well its true inahitaji hekima sana ku deal na mahusiano from the scratch to the top. Ila inawezekana ni kuomba mungu akujalie upate mwanaume asiye mshamba. Mwanaume ambaye ana utu mbona anajulikana ila limbukeni lazma akumenyeshe vitunguu maji!
 
Nilishwahi pendwa na mwanamke fulani aisee ule upendo ulikuwa unaniogopesha yule dada duuh

Nikaogopa nisije uliwa bure wivu nikakimbia [emoji2][emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…