Tuweni makini na picha za wanawake kuna ujio wa app ya Photo Lab

Ile ile babu usikosee 🀣🀣
Utaiona soon Mjukuu, nakutumia na hela ya emergency njiani incase utaona chochote cha kununua πŸ€ͺ

Wazee huwa hatujiulizi mara mbili mbili kwamba utakula nauli ama utakuja, ikitokea umekula nauli huwa tunatuma nyingine πŸ€ͺ
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sisi wenye sura za baba ni hakuna kukutana tunaogopa kukimbiwa stendi πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…