Tuweni makini na picha za wanawake kuna ujio wa app ya Photo Lab

Tuweni makini na picha za wanawake kuna ujio wa app ya Photo Lab

Ile ile babu usikosee 🤣🤣
Utaiona soon Mjukuu, nakutumia na hela ya emergency njiani incase utaona chochote cha kununua 🤪

Wazee huwa hatujiulizi mara mbili mbili kwamba utakula nauli ama utakuja, ikitokea umekula nauli huwa tunatuma nyingine 🤪
 
Zina jukwaa lake nenda huko utazikuta na ukiona hivyo ujue ww ndio umeingia jukwaa ambalo halikuhusu.

Mfano sijawahi kumuona mshana, kelsea, kalpana kwenye jukwaa la wazee wa kubet hii inaonesha sio wapenzi huko.

So tafuta jukwaa la maendeleo utawakuta wadau wenzako huko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hadi akutumie picha za Photo Lab kwani umeshindwa kumuomba mkutane kwaajili ya Dates ya kufahamiana?

Hakuna sehemu Tanzania hii nauli inafika Laki 1 kwa basi.

Kama anaishi Kigoma mtumie nauli mkutane hata Dodoma

Kama anaishi Ruvuma, mtumie nauli mkutane Iringa n.k

Wakati mwingine tutambue kuwa Mahusiano ni Uwekezaji pia.

Kwahiyo utachagua mwenyewe uletewe Picha za PhotoLab ama mtumie nauli muonane physically.

Kwa Wazee kama Sisi, hatuhangaiki na Picha. Maana tunauishi Msemo wetu wa "Hakuna Kuuziwa Mbuzi kwenye Gunia".
Sisi wenye sura za baba ni hakuna kukutana tunaogopa kukimbiwa stendi 😀
 
Back
Top Bottom