Sijui ni ushamba huko photoshoot hata sijui ni wapi....sinaga mahangaiko hayo mie...Kazi wanayo, mimi hata photoshoot sijawahi kwenda kupoteza muda wangu.
Napigia kisimu changu biashara imeisha, sijichoshi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ninaekumbe una mdogo wako jamaniπ
Bado hamjasemaaaa..hadi mseme π π π π πkuna mdada nilimwona mitandaoni uko alikuwa na kasura poa sana halaf mdogomdogo sa bana lahaula lakwata nimemwona laivu looh ana kilometa za kutosha na wa kawaida tu wala ana maajabu yyote
Ulimuona mdogo akaja bonge ama πππkuna mdada nilimwona mitandaoni uko alikuwa na kasura poa sana halaf mdogomdogo sa bana lahaula lakwata nimemwona laivu looh ana kilometa za kutosha na wa kawaida tu wala ana maajabu yyote
jamaniπ sijui nianzie wapiNinae
Anamalizia malizia likizo π
Mkuu kwani hili kumbusho la uwepo wa picha bandia halikusaidii Mkuu?Ni muda wa kufikiri kwa MAKINI KUHUSU maisha hayo mambo mengine yapo tu.Jiulize Leo KWENYE JUKWAA NIMEPATA MPYA GANI YA KUNISAIDIA?
Yuko hapa anarap kama Lunya π€£ badala kalalejamaniπ sijui nianzie wapi
Nafunga Mkono hoja.Ukikutana na mwanamke ambaye ni tofauti na picha yake. Hit and run.
msiwalaumu sana, kuwa mzuri ni bahati sio kila mtu anapata[emoji23]
utakanipa banaπYuko hapa anarap kama Lunya π€£ badala kalale
Sijui ni ushamba huko photoshoot hata sijui ni wapi....sinaga mahangaiko hayo mie...
Photo lab imezidi u fake.Ndugu watoto wakiume, wavulana, vijana na wanaume wote bila kusahau wazee wetu wanaume
Nawasalimu nyote kwa Jina la Jamuhuri ya wana JF.
Na wote tuseme JF idumu milele.
Ndugu zangu ujio wa app ya photo lab upo mjini na wale wazee wa kuview mapicha picha pamoja na kutumiwa picha tuweni makini sana tujitahidi kuonaa na watoto wa kike, mabinti pamoja na wanawake ana kwa ana (uso kwa uso) na siyo kutegemea kutumiwa picha ndugu zangu.
Teknolojia imekua na kila siku kuna ujio wa vitu vizuri vizuri ili kurahisisha maisha na kupendezesha dunia.
Ujio wa app ya photo lab umefanya picha za wanawake ziwe nzuri zaidi hivyo tujitahidi pia kukutana nao uso kwa uso kabla ya kuanza kuwekeza akili huko.
Naomba kuwasilisha.
Nakazia [emoji23]Ukikutana na mwanamke ambaye ni tofauti na picha yake. Hit and run.
Bado hamjasemaaaa..hadi mseme [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
nimeganda masaa mawili nasubiri picha lakini haziji. hizo picha ziko wapi jamani?
Na nauli wanatuma acha waliwe tu ππππNa watasema [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanakimbiana huko wanakokutania alooo!!
Ila wanaume majasiri, na hawakomi
kuna watu wana bahati mbaya weweSasa si wajikubali [emoji1787][emoji1787]
Mbona mi mbaya lkn najikubali, nina chunusi km fenesi, mfupi km wale watu wa Kongo lkn najikubali [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi niliidownload na kuijaribu kama dakika 2-3 nikaifuta na sitaki hata kuisikia.Bora Face app na snap, ila photo lab hata kuiona sitakiiii.
Iko too fakee, afu kujua kuwa sio halisii ni dkk chee tyuuu.
Ajabu na wanaume wanatumia pia. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie ndo nawataka.Sasa si wajikubali [emoji1787][emoji1787]
Mbona mi mbaya lkn najikubali, nina chunusi km fenesi, mfupi km wale watu wa Kongo lkn najikubali [emoji23][emoji23][emoji23]