Tuweni makini na picha za wanawake kuna ujio wa app ya Photo Lab

Na nauli wanatuma acha waliwe tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Kuna mmoja humu alitoa ushuhuda, alikutana na bonge la mama jeusi afu nene [emoji23][emoji23][emoji23]

Kabla hawajameet, unaambiwa full mibebishano kimalkia cha kuunga na bigijii kingi, lahaulah!! lakwata! Kumuona live age ya mama ake mzazi, yani anamzaa huku anapiga deki [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Viongozi wenyewe wapo wapi wa kusikiliza na kuimplement .. Nchi inayowaamini machawa kuliko watu professional na wasomi..
 
Develop app ya kucounter Deception km Huwezi sungus
Unaongelea fake img na we ukiwa kwa fake Id hujioni ni wale wale
Uzi unaharibika si kitambo kirefu
Unoko unakorezwa
 
Kijana mbona kitambo tu kuna Adobe photoshop, hawawezi kutuma picha kwa social media bila kuzigusa kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…