Tuweni makini na wake za watu, kuna mtu kaumizwa kisa kutembea na mke wa mtu

Umesema kweli. Wakati mwingine watu hutamani vya wenzao bila kutambua kwamba kila kilicho cha mtu kina mwenyewe anayekithamini na kukitunza. Tamaa ikizidi, akili hupungua. Hii ni chai, lakini kwa mwenye kutafakari, ujumbe umefika.
Je kama mke anajitunza mwenyewe kwa pesa zake na mume hana mchango wowote wa yeye kupendeza??
 
Hapana.

Lengo la uzi ni kutoa tahadhari kwa wengine, yasije yakawakuta kama yaliyomkuta mwenzetu.

Hayupo sawa kabisa mpaka kwenye mitandao ya kijamii ameanza kujitoa.
Bado atujajua uko upande upi mkuu mtatuliwa marinda au mwenye mke
 
Genetics ipi iliyothibitisha hiyo ratio hebu thibitisha.
 
Je kama mke anajitunza mwenyewe kwa pesa zake na mume hana mchango wowote wa yeye kupendeza??
hata kama mke anajigharamia mavazi, vipodozi au huduma za urembo, hilo halibadilishi ukweli kwamba ni mke wa mtu na anastahili kuheshimiwa. Vivyo hivyo, kama mume anachangia au hachangii kifedha katika kujitunza kwake, hilo halifanyi iwe sahihi kwa watu wengine kumtamani au kuingilia ndoa yao. Heshima kwa mipaka ya mahusiano ipo bila kutegemea nani analipia gharama za kujitunza.
 
Je kama mtu amempenda mke wa mtu au mke wa mtu amempenda mwanaume mwingine inabidi wafanyaje?
 
Kisasi cha mwenye mke hakina huruma wala taarifa, vijana kuweni makini sana.
 
Utajuaje kama ni mke wa mtu?
 

"sijajjizima data", ni crime ku-abuse children, period!
lkn bado haielezei ni kwa nini tabia ya makundi ya wanaume kubaka wanaume kama form of punishment imeenea tu pwani ya tanzagiza, zanzibar na mombasa hata ukichukulia dar tu kama sample haya matukio yako magomeni, kinondoni, mwananyamala, temeke au ilala ni nadra sana kusikia huu ufirauni maeneo kama kimara, unafikiri ni kwa nini? ...
 
Nikweli hasa kwa movement za kupinga ushoga uku tuna wachekea watu ambao ni 4 mpka 6 wakiikamia

Licha yakujua kwamba tunaongeza wimbi kubwa la watu wa aina hiyo
 
Kama hajavaa atakuambia yeye ni mke wa mtu
😂😂😂😂 kuna wengine wanasema a wengine hawasemi. Kama akisema hapo hakuna shida. Asiposema hapo kuna mambo mawili either kuliwa yeye au kuliwa mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…