Tuweni makini na wake za watu, kuna mtu kaumizwa kisa kutembea na mke wa mtu

Je kama mtu amempenda mke wa mtu au mke wa mtu amempenda mwanaume mwingine inabidi wafanyaje?
Kumpenda mtu mwingine kunaweza kutokea kama hisia, hata kwa mtu aliye kwenye ndoa. Kilicho muhimu ni jinsi mtu anavyochagua kutenda baada ya hisia hizo kujitokeza. Ikiwa mmoja wao ni mke wa mtu au mwanaume aliyeoa, njia yenye busara ni:
1. Kutambua kwamba hisia zinaweza kutokea bila kuzikusudia, lakini si lazima zifuatwe kwa vitendo.
2. Kuweka mipaka ili kuepuka hali zinazoweza kuimarisha hisia hizo, kama mawasiliano ya kimapenzi au kukutana kwa faragha bila sababu za msingi
 
Kwahiyo na wewe ulibakwa na hao waarabu sio?
Naona umeweka ushuhuda wako hapa,
Je ulisha acha au uliendelea?
 
 

Attachments

  • Screenshot_20251223_142633_Gallery.jpg
    144.3 KB · Views: 12
CHAI
 
afadhali hii ina kauhalisia flani ndani yake ndugu yangu nyingne huko ya msela alivyopata mbunge club ati amelewa akaenda nae geto yaani ya moto kishenzi.
Watu wamevurugwa kaka!
 
Kuna kakikundi kameibuka siku za hivi karibuni kanaleta sera za "Ooh, hata ufanyaje jua mkeo wanamla tu".

Bablai, we kula tu wake za watu, ila omba usishikwe! Ukiingia kwenye 18, utajua haujui!
Hivi hao wake za watu huwa hawana usemi wowote ule katika kuliwa kwao?

Utamkulaje mke wa mtu bila na yeye kutaka kushiriki?
 
Kwani haogi??
mkuu kwani akioga inaondoa ukweli kuwa usiku kucha anageuzwa kama chapati na mmewe? hapo bado kuishi kwa machale yani unakuwa huna uhulu naye,usiku unajua ipo kuliwa sasa., upande wangu napenda niwe free na pisi yangu,siwezi mdharau kidume mwenzangu kiasi hicho.
 
Kuna wanaume wengine huo wasiwasi na adrenaline rush ndio wanapenda sasa.
 
Ulivyoandika tuu unaonekana wewe na wenzako wawili jumla watatu ndio mmemla kiboga jamaa wa jf baada ya kukutombea mke wako, MTAJEEE
 
3. Ndoa ivunjike, wanaopendana wakaishi pamoja.
 
Ndio kwanza nachukua namba hapa hata kutuma sms bado nakutana na huu uzi

Bila shaka hii ni chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…