Tuzioneni tozo kwa facts na namba, zinaumiza hapa wenye namba tu

Aseme sasa kwamba amekuta hamna fedha..mbona magufuli alisema kwamba wenzie hasa wale wawili kabla yake kwamba waliifilisi nchi...SASA YEYE ANAOGOPA KUSEMA NINI?

Ndio maana watu bado wanamuamini Nzilankende miyago mpaka leo
 
Na hizo trilioni 10 unazozisema amefanyia nini? Kwa maana hakuna nilipoona amekopa kwa ajili ya mradi wowote ule, sasa hizo trilioni 10 ndani ya mwaka 1 ziko wapi? Unaweza kuniambia zimefanya xyz?
Hizo pesa zipo kwenye miradi ile ile iliyoanzishwa tangu awamu ya tano katika kuiendeleza. Tunaposema Samia amekopa maana yake ni serikali katika mipango yake.
 
Hizo pesa zipo kwenye miradi ile ile iliyoanzishwa tangu awamu ya tano katika kuiendeleza. Tunaposema Samia amekopa maana yake ni serikali katika mipango yake.

Pesa alizokopa Samia tumezisoma kwenye media zote za ndani na nje hakuna hata mahali ilipoonyesha au atleast nilipoona mimi pesa imeenda mradi xyz ulioanzishwa na Magufuli, amekopa kujenga madarasa, Airport Unguja, kujenga Ikulu Unguja na mambo mengine ya Unguja na kufadhili biashara za watu binafsi hakuna mahali niliona Samia amekopa kujenga SGR kama ipo unaweza nisahihisha, …
 
Tozo zimeshindwa kuokoa hapaπŸ‘‡πŸ˜πŸ˜πŸ˜
Your browser is not able to display this video.
 
Rais wa Sasa amekuta Nchi haina fedha, magufuli aliharibu uchumi wa Nchi kwa miradi mfululizo na mikopo ghali ya riba kubwa na ya muda mfupi
Huyu alikuemo ndani na genge la minsters almost 80percent,wakati huo walikua wakila kuku kwa mrija, hivyo wote waliharibu kwa ujumla wao,na walichoharibu Wanaangushia mzigo kwa wananchi. These people are totally failed.
 
Nitajie mradi wowote wa magufuli uliokamilika.. ukiacha aliyoikuta kama brt, flyover mbili etc.. mingine yote ni endelevu.. unadhani fedha za kuendeleza zinatoka wapi? Unafikiri zipo sehemu cash aliziacha magufuli?

Ndio kama hizi hapa chini alihakikisha zimesainiwa lakini zimekuja kuingia kipindi cha Samia na inaonesha yeye ndio kakopa lakini ni muendelezo tu wa ukopaji wa magufuli.

Sasa na wewe unaniuliza swali tena wakati mimi nimekuuliza unitajie fedha zinakopwa na Samia zinafanyia nini? Hilo Gazeti ni kipindi cha Magufuli na siyo Samia, Mpango alikuwa Waziri wa Magufuli na fedha alizokopa Magufuli ndiko zilikoenda inajulikana na tunaona na siyo SGR tu hata Bwawa la Nyerere pia, sasa za Samia pesa anazokopa zinaenda wapi ? Zinafanyia nini ?
 
Rais wa Sasa amekuta Nchi haina fedha, magufuli aliharibu uchumi wa Nchi kwa miradi mfululizo na mikopo ghali ya riba kubwa na ya muda mfupi
Sasa mbona tozo imekuja wakati miradi ilikuwa tayari umeanza. Au hiyo tozo ni mpya kwanini itumike kwa miradi ya zamani. Kwani kabla ya tozo hiyo miradi ilikuwa inalipwaje
 
Tozo ni wizi wa dola kwetu sisi wananchi, tunalalamika sababu pesa zetu kwanini mtu mwengine ambaye aongezi thamani kwanini anakata. Serikali ilishakata hii pesa kwanini wanaipigia hesabu kuidokoa tena. Kuwa ghali kwa wizi ndio mana tunazuia wizi wa dola. ila nimekuwekea namba pesa pesa ile ile miaka minne nyuma nilikatwa 2360 sasa leo kimeongezeka nini wakate tena.
Pesa si peleki kwa mitandao napelekea watoto na mke aliyemkoani anunue chakula. Kama nimejitakiwa poa ndio tunachukua hatua sasa.
 
Kumbe we kichaa, magufuli ndio Rais aliyekopa fedha nyingi,Tena za riba kubwa na zakurejesha muda mfupi,

Sasaivi serikali inapambana kulipa hiyo mikopo ya kibiashara yenye riba kubwa aliyokopa Ngosha,

Ndio sababu ya Tozo za kila namna
Kumbe asali tamu hivyo
 
Jibu hoja makato ya tozo na watoa huduma yapi makubwa?
 
Chanzo cha takwimu zako ni kipi
 
Hii sio hoja yetu mahali hapa, hatutaki tozo na makato ya mtoa huduma yapunguzwe. Unaniuliza nguruwe kachinja nani? Sasa hata kama kachinja shekh Juma bado kwa waislamu ni haramu bhana.
Asilimia 67 wanataka kama hutaki utalipa kwa lazima,wengi ndio huamua.
 
Rais wa Sasa amekuta Nchi haina fedha, magufuli aliharibu uchumi wa Nchi kwa miradi mfululizo na mikopo ghali ya riba kubwa na ya muda mfupi
Acha uongo, alisema mwenyewe alikuta nchi inaakiba ya kula miezi Sita bila kufanya kazi. Kiawango ambacho kilikuwa hakijafikiwa tangu kuumbwa kwa nchi hii.

Wachumi wake wamemdanganya akapunguza Kodi kwenye madini Toka asilimia 6 had 3. Na baada ya hapo akahamia kwa wanyonge kuwanyonga. Huku walamba asali wakilamba kisawasawa.

Acha kutumia akili vibaya.
 
Rais wa Sasa amekuta Nchi haina fedha, magufuli aliharibu uchumi wa Nchi kwa miradi mfululizo na mikopo ghali ya riba kubwa na ya muda mfupi

Rais wa sasa alikuwa makamu wa rais na makamu wa rais wa sasa alikuwa waziri wa fedha, Gavana yupo Yule Yule

Natoa Tu Taarifa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…