Tuzioneni tozo kwa facts na namba, zinaumiza hapa wenye namba tu

Jamaa hebu kuwa mkweli na muungwana. Deni la taifa lilikuwa trilioni 32 mwaka 2015 na lilikuwa trilioni 58 wakati magufuli anafariki. Yaani alizidisha karibu mara mbili deni la serikali kwa miaka mitano.

Moja ya sababu iliyonifanya nimchukie sana magufuli ni tabia yake ya kusema uongo. Amekopa sana afdb, world bank, imf na mbaya zaidi mpaka mikopo kwenye mabenki ya biashara lakini majukwaani anasema hela za ndani. Watanzania kwa ujinga wao wanamuamini. Hata michango ya pssf alikuwa hapeleki hivyo deni la ndani pia liliongezeka sana.
Unataka kusema Tozo zimekuja kama mbadala wa kukopa (ili kulituliza deni) [emoji23]? SHH kakopa hela ngapi ndani ya huu mwaka mmoja aliyopo madarakani?

Mikopo bado ipo kasi ileile (tena sasa nadhani rate imeongezeka), tozo zimekuja kufanya nini ikiwa hazitambuliki hata mamalaka za kukusanya mapato?
 
Nyinyi mafukara ni laana kwenye nchi yoyote ile, watu wanaotafuta pesa kikwelikweli hawawezi kuwa mazuzu kwenye huu mjadala unaohusu makato ya kishenzi kwenye hela zao wanazotafuta. Ila wewe ulichokiona ni dini tu?

Huyo unaetaka kumsifia kwa misingi ya kidini mbona nae failure tu, weka hapa CV yake tuone kama ni ya kueleweka.
acha makasiriko bibie
 
Jiwe alikopa mikopo yenye riba kubwa, na ya muda mfupi Sana,

Samia anapambana kuilipa, Ni vile tu Samia Hana tabia yakukosoa viongozi wenzie waliopita Kama alivyokuwa anafanya bwana yule, anamstili marehemu
Huyo samia hamkosoi JPM? Basi utakuwa either mgonjwa wa akili au hujui usemalo
 
Sibishani na fukara.
Ungenijua Wala usingeongea upuuzi wako, nna uwezo wakukulisha wewe na familia yako miaka mitano mfululizo bibie,

we subiria Rais akuletee sahani ya ugali hapo kwa mumeo, wenzio wanakamatia fursa zilizopo awamu hii, we unademka ukibinua makalio kuilaumu serikali mitandaoni binti yangu.
 
Jiwe alikopa mikopo yenye riba kubwa, na ya muda mfupi Sana,

Samia anapambana kuilipa, Ni vile tu Samia Hana tabia yakukosoa viongozi wenzie waliopita Kama alivyokuwa anafanya bwana yule, anamstili marehemu
Hiyo mikopo alikukopa wewe?
 
Hiyo mikopo alikukopa wewe?
KWA TAKWIMU HIZI ZA DENI LA TAIFA HAKIKA TUNAANGAMIA.

01. Awamu ya kwanza chini ya Mwl. Nyerere alieongoza kwa miaka zaidi ya miaka 20.
-Deni la Taifa lilipotoka mwaka 1979 mara tu baada ya vita ya Kagera lilikuwa Trilioni 3.

02. Awamu ya pili chini ya Mzee Ali Hassan Mwinyi aliyeongoza kwa miaka 10.
-Deni la Taifa lilipanda kutoka Trilioni 3 hadi kufikia Trilioni 18. Hii inamaana kuwa, Mzee Mwinyi alikopa fedha kiasi cha Trilioni 15 pekee ndani ya awamu zote mbili.

03. Awamu ya tatu ya Mhe. Benjamin Mkapa aliyeongoza kwa miaka 10.
-Mzee Mkapa alipoingia alikuta deni ni Trilioni 18. Mzee Mkapa akafanya jitihada za kupunguza deni hilo na kufanikiwa kulipunguza hadi kufikia Trilioni 10.
Mpaka anaondoka madarakani uchumi ulikuwa unakuwa kwa 6.7%
Kwa neno moja tu tunaweza kusema, Mzee Mkapa alikuwa ni "Mpiganaji wa uchumi".

04. Awamu ya nne chini Mhe. Jakaya Kikwete alieongoza miaka 10.
-Ameingi amekuta deni la Taifa ni Trillion 10. Lakini katika kukopa kwake mpaka anamaliza muda wake wa uongozi (awamu zote mbili) ameacha deni la Trilioni 35. Maana yake kwa miaka yote 10 amekopa kiasi cha Trilioni 25.

05. Awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli ambae mpaka sasa ana miaka minne (4) ya uongozi wake ikiwa hajakamilisha hata awamu moja ya miaka mitano.
-Ameingia madarakani amekuta deni la Taifa lililoachwa ni Mzee Kikwete ni Trilioni 35.
-Mpaka kufikia mwezi huu wa January mwaka 2019, deni la Taifa limefika Trilioni 61.8
Kwa lugha rahisi ni kwamba Rais Magufuli amekopa Trilioni 26 ndani ya miaka minne (4) tu.
Hivyo basi, ni dhahiri kusema kuwa, Rais Magufuli ndiye Rais pekee kati ya marais wote waliopita, aliyekopa pesa nyingi sana kwa muda mfupi sana.

Tuna wakati mgumu sana kama Taifa. Na hapa tulipofika ni hatari zaidi katika nchi hii ambayo watu wake wengi ni Wakulima na Wafanyakazi.
Ninajiuliza ikiwa kiasi hicho ni cha miaka minne tu, je, Rais huyu akipewa awamu ya pili tutaangukia wapi?
 
Ungenijua Wala usingeongea upuuzi wako, nna uwezo wakukulisha wewe na familia yako miaka mitano mfululizo bibie,

we subiria Rais akuletee sahani ya ugali hapo kwa mumeo, wenzio wanakamatia fursa zilizopo awamu hii, we unademka ukibinua makalio kuilaumu serikali mitandaoni binti yangu.
Hahaha kauli za kifukara huwa hazijifichi, wewe ni kijana mdogo sana uliyejificha kwenye Anonymity ya Jf.

Watu tunajadili hoja wewe ukaleta udini, kama sio ufukara ni nini kinakusumbua? Huyo dada mnaemuita mama ni incompetent "kilaza", majukumu ya kuongoza nchi mi makubwa kwake.
 
KWA TAKWIMU HIZI ZA DENI LA TAIFA HAKIKA TUNAANGAMIA.

01. Awamu ya kwanza chini ya Mwl. Nyerere alieongoza kwa miaka zaidi ya miaka 20.
-Deni la Taifa lilipotoka mwaka 1979 mara tu baada ya vita ya Kagera lilikuwa Trilioni 3.

02. Awamu ya pili chini ya Mzee Ali Hassan Mwinyi aliyeongoza kwa miaka 10.
-Deni la Taifa lilipanda kutoka Trilioni 3 hadi kufikia Trilioni 18. Hii inamaana kuwa, Mzee Mwinyi alikopa fedha kiasi cha Trilioni 15 pekee ndani ya awamu zote mbili.

03. Awamu ya tatu ya Mhe. Benjamin Mkapa aliyeongoza kwa miaka 10.
-Mzee Mkapa alipoingia alikuta deni ni Trilioni 18. Mzee Mkapa akafanya jitihada za kupunguza deni hilo na kufanikiwa kulipunguza hadi kufikia Trilioni 10.
Mpaka anaondoka madarakani uchumi ulikuwa unakuwa kwa 6.7%
Kwa neno moja tu tunaweza kusema, Mzee Mkapa alikuwa ni "Mpiganaji wa uchumi".

04. Awamu ya nne chini Mhe. Jakaya Kikwete alieongoza miaka 10.
-Ameingi amekuta deni la Taifa ni Trillion 10. Lakini katika kukopa kwake mpaka anamaliza muda wake wa uongozi (awamu zote mbili) ameacha deni la Trilioni 35. Maana yake kwa miaka yote 10 amekopa kiasi cha Trilioni 25.

05. Awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli ambae mpaka sasa ana miaka minne (4) ya uongozi wake ikiwa hajakamilisha hata awamu moja ya miaka mitano.
-Ameingia madarakani amekuta deni la Taifa lililoachwa ni Mzee Kikwete ni Trilioni 35.
-Mpaka kufikia mwezi huu wa January mwaka 2019, deni la Taifa limefika Trilioni 61.8
Kwa lugha rahisi ni kwamba Rais Magufuli amekopa Trilioni 26 ndani ya miaka minne (4) tu.
Hivyo basi, ni dhahiri kusema kuwa, Rais Magufuli ndiye Rais pekee kati ya marais wote waliopita, aliyekopa pesa nyingi sana kwa muda mfupi sana.

Tuna wakati mgumu sana kama Taifa. Na hapa tulipofika ni hatari zaidi katika nchi hii ambayo watu wake wengi ni Wakulima na Wafanyakazi.
Ninajiuliza ikiwa kiasi hicho ni cha miaka minne tu, je, Rais huyu akipewa awamu ya pili tutaangukia wapi?
Huu mjadala unauweza? Maana inahitaji kidogo uwe unajua mambo mengi.

Kinachofanya deni kuwa kubwa ni nn? Inapaswa tuanzie hapa kwanza.

Kosa kubwa ambalo tumewahi kufanya ni kuporomoka kea shillingi dhidi ya dola na kushindwa kudhibiti inflation na miaka kadri inavyokwenda maraisi wote wataokuja watakuwa wanakopa sana kuliko waliopita ndio maana unaona hata kwa kikwete alikopa sana kuliko mkapa, Magufuli amekopa kuliko kikwete, na mama Samia atakopa kuliko Magufuli, na atayefuata atakopa sana kuliko Samia.

Kuna mtu niliwahi kumuambia kikwete akitukanwa kea kukopa sana kuliko mkapa, lakini watu walishindwa kujua atayefuata baada ya kikwete atakopa sana pia.

Sasa hivi tunasema Magufuli kakopa sana kuliko waliotangulia, lakini nikuhakikishie mama Samia atakopa Sana kuliko hao waliotangulia pia. Na atayefuata baada ya mama Samia itakua hivyohivyo.

Haya unayosema ya mahufuli kukopa sana, baada ya miaka minne atasemwa sana Samia.

Kutoka hapa ni ngumu japo njia zipo. Mimi ni mwanaccm na mfuasi wa mama Samia, nikipata muda wa kuzungumza nae nitampa njia japo hizo njia ni ngumu. Vinginevyo nae atapitia lawama na maneno yaleyale.
 
Kumbe we kichaa, magufuli ndio Rais aliyekopa fedha nyingi,Tena za riba kubwa na zakurejesha muda mfupi,

Sasaivi serikali inapambana kulipa hiyo mikopo ya kibiashara yenye riba kubwa aliyokopa Ngosha,

Ndio sababu ya Tozo za kila namna
So hio mikopo tunatokopa kila siku ili tulipe madeni?
 
Nyinyi mafukara ni laana kwenye nchi yoyote ile, watu wanaotafuta pesa kikwelikweli hawawezi kuwa mazuzu kwenye huu mjadala unaohusu makato ya kishenzi kwenye hela zao wanazotafuta. Ila wewe ulichokiona ni dini tu?

Huyo unaetaka kumsifia kwa misingi ya kidini mbona nae failure tu, weka hapa CV yake tuone kama ni ya kueleweka.
Basi nchi tutampa mumeo mwenye CV nzuri ya kukujaza mimba wewe!
Hahaha kauli za kifukara huwa hazijifichi, wewe ni kijana mdogo sana uliyejificha kwenye Anonymity ya Jf.

Watu tunajadili hoja wewe ukaleta udini, kama sio ufukara ni nini kinakusumbua? Huyo dada mnaemuita mama ni incompetent "kilaza", majukumu ya kuongoza nchi mi makubwa kwake.
Basi Nchi tutampa mumeo mwenye CV nzuri aongoze yeye,maana mpaka amekujaza mimba wewe kiruka njia, Basi CV zake nzuri huyo
 
Nimetuma 100,000 kwenda tigo pesa kwa simbanking, VAT sh. 974.70, govt levy sh. 1,009.00, TMS CHARGE TIGO 5,415.00, wenye akili timamu nimekatwa sh 7,398.7 kwa transaction hii moja tu. Pesa ilitoka kwa mshahara ambao wajuba walishakata PAYE. ni 7.4%. Mwaka 2017 kwa muamala kama huu nilikuwa naktwa sh. 2,360 maana yake sh. 5,038 imeongezwa kwa kipindi cha miaka mitano. Hali ya uchumi na inflation ni kubwa sasa kuliko ilivyokuwa 2017.

Jinsi mambo yanavyokuwa magumu tigo nimetoa sh 5,000 makato ni sh. 1,010 ambayo ni 20.2% hii ni zaidi ya 18% VAT. Tujuzane hapa mambo haya ya kukatana pesa tulizotolea jasho yataisha lini? Kwanini mnatukata kwa kiasi hiki kwa value ipi mnayotuongezea? Wale ambao mnalipwa kwa kushadadia na kujibu humu hata hili na nyie linawagusa pia, twendeni kwa namba kwanza.

Maisha sasa ni ghali mno na watunga sera lazima wawe flexible, kama mashirika ya kimataifa yanaona hali ngumu na kutoa nafuu kwa nini hawa viongozi wetu wanaweka pamba masikioni na kulazimisha kuendelea na mipango yao tu?! Maana hata midege tumelazimishwa kuyanunua bila kuona hali halisi na midude inaleta hasara. Reli toka waanze kujenga hawamalizi tu(Dar, Moro tu) politiks kila kukicha na wanatutwisha gharama bila sababu matokeo yake hata makampuni ya simu na yao yanatupiga pia.
Kwanza hizo tozo za simu zimepunguza me jana nimetoa lak8 nimekatwa elf 10 zimepungua sana Rais Samia Suluhu amesikia kilio cha watanzania
 
Utafikiri wako serious na maisha ya Tanzania!!🤣🤣🤣
 
Attachments

  • image_2916954835799780948.jpg
    image_2916954835799780948.jpg
    85.9 KB · Views: 2
Nimetuma 100,000 kwenda tigo pesa kwa simbanking, VAT sh. 974.70, govt levy sh. 1,009.00, TMS CHARGE TIGO 5,415.00, wenye akili timamu nimekatwa sh 7,398.7 kwa transaction hii moja tu. Pesa ilitoka kwa mshahara ambao wajuba walishakata PAYE. ni 7.4%. Mwaka 2017 kwa muamala kama huu nilikuwa naktwa sh. 2,360 maana yake sh. 5,038 imeongezwa kwa kipindi cha miaka mitano. Hali ya uchumi na inflation ni kubwa sasa kuliko ilivyokuwa 2017.

Jinsi mambo yanavyokuwa magumu tigo nimetoa sh 5,000 makato ni sh. 1,010 ambayo ni 20.2% hii ni zaidi ya 18% VAT. Tujuzane hapa mambo haya ya kukatana pesa tulizotolea jasho yataisha lini? Kwanini mnatukata kwa kiasi hiki kwa value ipi mnayotuongezea? Wale ambao mnalipwa kwa kushadadia na kujibu humu hata hili na nyie linawagusa pia, twendeni kwa namba kwanza.

Maisha sasa ni ghali mno na watunga sera lazima wawe flexible, kama mashirika ya kimataifa yanaona hali ngumu na kutoa nafuu kwa nini hawa viongozi wetu wanaweka pamba masikioni na kulazimisha kuendelea na mipango yao tu?! Maana hata midege tumelazimishwa kuyanunua bila kuona hali halisi na midude inaleta hasara. Reli toka waanze kujenga hawamalizi tu(Dar, Moro tu) politiks kila kukicha na wanatutwisha gharama bila sababu matokeo yake hata makampuni ya simu na yao yanatupiga pia.
Nchi inajengwa na wananchi kupitia Kodi na tozo, unashangilia kuona lami, lami haioti kama uyoga
 
Basi nchi tutampa mumeo mwenye CV nzuri ya kukujaza mimba wewe!

Basi Nchi tutampa mumeo mwenye CV nzuri aongoze yeye,maana mpaka amekujaza mimba wewe kiruka njia, Basi CV zake nzuri huyo
Pole ziwafikie wazazi wenzangu wanaodhani walipata mtoto, hivi kwa hizi hakili unataka niakini kwamba unajitegemea?😄

Ni halali yako ushabikie tozo, huna hela zitakuuma nini kukatwa?
 
Back
Top Bottom