Tuzo kwa mwana JF! Awe hajawahi kutukana.

na hii tena nayo imeundwa nini..
Yan hawa jamaa wananiundia fitina za hatari....
Ila bado mi kinara wa kinyang'anyiro na naamini ntaibuka kidedea bila kujali yaliyonisibu wakati wa mchuano
 
Mie na weye tunazuriana kwani? Uje uchague manake zingine zinakuja na kontena zinakata maji huko! Aisee, wazungu wanalipa kishenzi, ndo maana muke ya muzungu pua inaangalia juu kama kalala kwenye jeneza!
Hahahahaha! Yaani wewe una kesi ya kujibu, sijui kama ntakusamehe mwaka huu! Nataka zawadi za vekesheni lol.
 
Yan hawa jamaa wananiundia fitina za hatari....
Ila bado mi kinara wa kinyang'anyiro na naamini ntaibuka kidedea bila kujali yaliyonisibu wakati wa mchuano
Usinisahau kwenye ufalme wako!
 
Mie na weye tunazuriana kwani? Uje uchague manake zingine zinakuja na kontena zinakata maji huko! Aisee, wazungu wanalipa kishenzi, ndo maana muke ya muzungu pua inaangalia juu kama kalala kwenye jeneza!
Hahahaha!

Mke mwenza una mkwara eti znakata maji lol...hebu ntafutie ka small house ka kidhungu nijinafasi labda pua yangu nayo itabadili mwelekeo tehe!
 
Hureeeeeeeeeeee
Dah hata siamini aiseeee
Thanks sanaaaaaa kamanda kwa kutambua haki za wanajamii....
Napenda kutoa shukrani zangu kwa wana jamii wote mlionipigia ndogo ndogo hadi kuibuka kinara wa hili....
Naandaa hafla maalumu ya kusherehekea tuzo hii ya heshma....
 
shem kwan leo imekuaje?tunapishana kama magari?hata magari yanapigiana honi....
Mie pia nashangaa shem langu, nikiingia nawe watoka kulikoni? Mie mzima niko huku Arumeru nalinda kura!

Hujambo?
 
Mie pia nashangaa shem langu, nikiingia nawe watoka kulikoni? Mie mzima niko huku Arumeru nalinda kura!

Hujambo?

ebana mm hayo mambo ni aleji nayo...nikiona tu sanduku la kupigia kura navimba mwili mzima!...
 
Ehehehe bila shaka wee utakuwa magamba wewe. Dah imebidi nikukubali bila kupenda
Hahaaaa sawa mkuu hata hivyo naona mwenyekiti wa tume ya uchaguzi kashanitangaza mimi kuwa mshindi....
Asanteni sana kwa kura zenu wooooooooote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…