Tuzo za Baraza la Michezo la Taifa (BMT) ukumbi wa the Dom Masaki Leo

Tuzo za Baraza la Michezo la Taifa (BMT) ukumbi wa the Dom Masaki Leo

Waziri mkuu KM anahutubia mipango ya serikali
Kama kuhamasisha michezo shuleni
Kuondoa Kodi katika nyasi bandia
Anahamasisha viwanda vya ndani vianze kutengeneza vifaa vya michezo kama jerseys n.k
Budget ya michezo itapanda hadi bil 288.3 ili kuboresha michezo
Serikali ya Samia inafanya kazi kubwa
 
Yanga imetajwa kama bingwa ila PM kachemka kidogo baada ya kusema Azam itashiriki shirikisho
Shirikisho atashiriki Bodi Fc
 
Serikali itajenga uwanja wa Kirumba na Maji maji songea ili team ziweze kuweka kambi popote
Nadhani ndio maana Samia anapambana huko duniani apate pesa hizi project ni kubwa sana
25-30 Samia for life
 
Kigauni flani chenyewe kabisa kutoka kwa Ruby thigh gapes imekaa poa Msigwa kapanda jukwaani na hela (mabaharia mnajua kabisa Ile noti lazima iwe na number)😂🔥
 
Cheti kinatolewa kwa wafadhili wa tukio kama Azam media ,the super dome ,Radian na NiC
 
Back
Top Bottom