Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Usiku wa jana kulifanyika hafla ya utoaji Tuzo za Wanamichezo bora mwaka 2023 katika ukumbi
wa The Super Dome
Ifuatayo ni orodha ya waliobeba tuzo za wanamichezo Bora mwaka 2024
1.Timu bora ya mwaka upande wa vilabu (wanaume) ni Yanga SC
2.Mwamuzi bora wa mwaka 2023 (wanaume) ni Ahmed Arajiga
3.Tuzo ya heshima kwa nahodha wa zamani wa Taifa Stars ambaye ndiye Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT)
4.Vosta Isaya Lengonela wakati akipokea tuzo ya mwanamichezo bora wa mwaka kwa wenye ulemavu.
5.Mwamuzi bora wa kike wa ngumi mwaka 2023 ni Pendo Njau
6.Taifa stars timu bora ya mwaka 2023 upande wa timu za taifa (wanaume).
7.Mwanamichezo bora wa kike mwaka 2023 ni bondia bondia Grace Mwakamele
8.Mwanamichezo bora wa kiume mwaka 2023 ni bondia Yusuph Changalawe
9.Tuzo ya Timu Bora ya klabu kwa upande wa wanawake, imekwenda kwa JKT Queens.
10.Tuzo ya Mwanamichezo Bora wa kiume mwenye ulemavu imekwenda kwa Vosta Isaya Lengonela.
11.Tuzo ya mwanamichezo bora wa kike na wa kiume kutoka shuleni zimekwenda kwa Happyness Kongoka na Agape Mwenda
12.Tuzo ya Mwanahabari Bora za Michezo wa kike imekwenda kwa mtangazaji wa #AzamTV Fatma Abdallah Chikawe