Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio Mwakinyo?Tuzo ya mwanamichezo Bora wa kiume imekwenda kwa Yusuphu Lucas changarawe nae pia kutoka chama Cha ngumi
We bwana acha mbwembwe magari ya siku hizi yana taa.Zoezi limefika mwisho dah nje kiza ni kimejaa hapa nitapata shida sana kuendesha gari
wana shindanisha timu za taifa kwa michezo mbali mbali.. kwa hiyo taifa stars wamewashinda timu ya taifa ya Volleyball, basketball, ngumi, riadha etcSasa hii ndio tuzo gani? Sa kwani tulidhani watawapa Brazil?
Ahaaaaa ahaaaaa ahaaaaaWe bwana acha mbwembwe magari ya siku hizi yana taa.
Njia ya wapi, Masaki Haile selassie road yote ina mataa.. tumia Google Map ufike.Hata ya zamani yalikuwa na taa ila hii njia huwa sipiti ni mpya na mda nimekuja ilikuwa mapema sana
Au Kipaimara.Tuzo bila Simba Sc ni kama birthday party tu
Mwasibuuu la mchongoTuzo bila Simba Sc ni kama birthday party tu
Arajiga anapewa tuzo ya mchongoo. Hastahili kabisaaTuzo inayofuata ni tuzo ya mwamuzi Bora wa kiume na tuzo imeenda kwa AHMED ARAJIGA ana beji Bora ya fifa
Yanga na treble wapi na wapii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuzo inayofuata ni tuzo ya team Bora ya vilabu kwa upande wa wanaume
YANGAAAAAA AFRICANS
treble na kufika final ya Cafcc
Tuzo inachukuliwa na the President himself Hersi Said