Tuzo za Baraza la Michezo la Taifa (BMT) ukumbi wa the Dom Masaki Leo

Tuzo za Baraza la Michezo la Taifa (BMT) ukumbi wa the Dom Masaki Leo

Tuzo inayofuata ni tuzo ya mwanamichezo Bora wa kiume mwenye ulemavu imekwenda kwa VOSTA ISAYA bingwa wa kenye open anacheza tennis
 
Tuzo inayofuata ni tuzo ya mwanamichezo Bora kijana wa kike WINFRIDA GERALD FOOTBALL alisaidia Singida fountain Gate kushinda kombe la African school competition
 
Serikali itajenga uwanja wa Kirumba na Maji maji songea ili team ziweze kuweka kambi popote
Nadhani ndio maana Samia anapambana huko duniani apate pesa hizi project ni kubwa sana
25-30 Samia for life
Sasa umiliki utahama kutoka ccm kwenda serikali kama walivyofanya bukoba kwenye shule ya sekondari au?
 
Tuzo inayofuata ni tuzo ya mwanamichezo Bora kijana wa kiume imekwenda kwa Romeo Mihali kutoka chama Cha kuogelea
 
Tuzo inayofuata ni tuzo ya mwanahabari Bora wa kike ambayo imekwenda kwa
FATMA ABDALAH CHIKAWE kutoka kwenye makala ya Stumai Muki
 
Tuzo inayofuata ni tuzo ya mwanahabari Bora wa kiume wa mwaka tuzo hii imekwenda kwa
HUSSEIN SHAFII KUTOKA TBC ana habari zinazozingatia weledi na miiko ya uandishi kampiku Mahmoud Zuber
 
Muda huu kapanda Banana akitumbuiza kapiga macheni cheni n.k huyu ni legend
Kwa vijana wa Leo hawawezi kumjua sana wakishua huyu kipindi anaibukia kwenye shindano flani la kusaka vipaji nadhani 2003 wakati huo habari unaipata clouds au ijumaa wikienda
 
Kapanda Baraka the prince kaanza kwa kujitambulisha kwa PM kafanya poa maana nilianza kuulizia jina lake.
Nyimbo ni za taratibu ni uchezeshe kichwa mdogo mdogo au ugonge kameza kwa kidole
 
Muda huu kapanda Banana akitumbuiza kapiga macheni cheni n.k huyu ni legend
Kwa vijana wa Leo hawawezi kumjua sana wakishua huyu kipindi anaibukia kwenye shindano flani la kusaka vipaji nadhani 2003 wakati huo habari unaipata clouds au ijumaa wikienda
Banana hakutokea huko, lile shindano lilimkuta wakati tayari tushamjua kupitia BloveM,
 
Tuzo inayofuata ni tuzo ya mwamuzi Bora wa kike wa michezo na mshindi ni
PENDO NJAU NGUMI ZA KULIPWA
 
Nguo ya PENDO NJAU ni yenyewe kabisa
 
Back
Top Bottom