Tuzo za Baraza la Michezo la Taifa (BMT) ukumbi wa the Dom Masaki Leo

Yanga na treble wapi na wapii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa umepuyangaaaa
Mkuu sijapuyanga tuzo zimezingatia performance ya msimu wa 2022/2023 kumbuka Niko kamati ndogo ya utoaji tuzo hizi kutoka chama Cha mchezo wangu (netball na basketball)
 
Nimekuuliza treble ya Yanga ilikua mwaka upi? Na unitajie makombe aliyochukua huo mwaka.

Sasa netbal na basketball inahusika vipi hapa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
2022/2023
Ngao ya hisani
NBC
Azam federation
 
Nimekuuliza treble ya Yanga ilikua mwaka upi? Na unitajie makombe aliyochukua huo mwaka.

Sasa netbal na basketball inahusika vipi hapa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si ndio ujue Niko deep na hili zoezi💪ni kama bit
 
Tuzo ya pili ya heshima katika mchango wa michezo imeenda kwa msomi wa kwanza mwenye degree
Leodigar Chila Tenga
Ndumbaro kataja sifa zake kedekede inawezekana kabisa Majaliwa na Tenga wakawa ni agent of change kwenye soka kwa kipindi Cha miaka 20
Leodgar Tenga ndye aliyenifanya nikawa mpenzi wa Yanga na nikaamua kusoma engineering
 
Mkuu sijapuyanga tuzo zimezingatia performance ya msimu wa 2022/2023 kumbuka Niko kamati ndogo ya utoaji tuzo hizi kutoka chama Cha mchezo wangu (netball na basketball)
Kwani afcon tumefuzu mwaka gani?
 
Ocean road ndio wapi huko au unamaanisha barack obama road?
Itakuwa Barack Obama road kule baharini nyuma ya aghakan madon watakuwa wanakata wese na magari yatazuiwa ila huku Pugu na goms wale jamaa wa kitambaa chekundu wataendelea kutusaidia
 
Mkuu sijapuyanga tuzo zimezingatia performance ya msimu wa 2022/2023 kumbuka Niko kamati ndogo ya utoaji tuzo hizi kutoka chama Cha mchezo wangu (netball na basketball)
Hizi tuzo huwa mnaambatanisha mpunga kiasi gani kwa mshindi?
 
Back
Top Bottom