Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Aisee hizi tuzo hawakuzifanyia promo ya kutosha ndio naamka nakuta kumbe kulikuwa na tuzo😆
Wanaogopa kutengwa na WCB, wanajua ndiyo inayoongoza kwa fan base kubwa na wasanii wao wote ni A-list hivyo wakiwepo wataziheshimisha zaidi tu na excitement itakuwa ni kubwa zaidi.
Raha za tuzo ni majina kusababisha suspense, imagine hizo nominations zingekuwa na majina ya wasanii wa WCB yaani the whole shit would have been a completely different game.
Kujaribu kufanikisha hilo ndiyo wanamvuta karibu kisanii kwa ajili next year.
Naona wanatoa Tuzo ya video vixen lakini kwenye kutaja nominees hakuna hata picha zinazooneshwa
Ni channel gani niangalie?.Tuzo zimekaa kizee sana dah [emoji1][emoji1][emoji1]
Pole sana kwa kukutana na huo upuuzi, leo kuna Grammy awards kama ni mfatiliaji basi itakusahaulisha huo upuuzi wa jana.Kiukweli nilikuwa hata sijui kama ni leo ila
Katika pitapita za kubadilisha TV channels ndio nakutana nazo
Ukiachilia promo ambayo imeonekana kuwa na udhaifu, bado kuna mambo mengi ya kuboresha
1. Utoaji wa Tuzo
Nimeona kuna tuzo 3 za heshima ikiwemo ya Ruge Mutahaba na Diamond platnums bado na Mama Samia Suluhu. Si kama hawastahili ila sioni umuhimu wa watu watatu kugawana spotlight
2. Too much politics
Sijaelewa ni Mimi Tu au vipi, yaani Tuzo zimekuwa kama platform ya kupromote siasa kuliko muziki wenyewe, nimeona hadi mabango ya kudai haki na background sound za kusifu uongozi.. Sio mbaya lakini haikuwa necessary
3. Management
Hapa waandaaji waangalie hata kili music awards zilivyokuwa zinaendeshwa maana nimeshangaa watu almost wanne wamepewa Tuzo ila kuna watu wamekaa stejini muda wote kama wanakamati, sijui ni public figures ama ushers
3. TBC Coverage
Mixing ya picha na presentation kiasi haijanivutia, hopeful next time watafanya vizuri zaidi
Nimeangalia high table au sijui ni VIP kumejaa political figures, sio mbaya ila wangemix na musical figures maana ni usiku wao
Nimependa stage settings wamejitajidi lakini pia wasanii naona wamejitahidi
Japo ndio imeanza, ngoja niangalie itaendeleaje
Tuzo ni heshima, ukiangalia hata profile ya msanii ili ujue alikuwa mkubwa kiasi gani wanaangalia mauzo ya album na Tuzo. Pia Kuna pesa huwa inatolewa kwa kila categoryHivi hizo tuzo wanapewa na pesa au ????
Faida yake nin hizo tuzo
SawaTuzo ni heshima, ukiangalia hata profile ya maanie ili ujue alikuwa mubaarak kiasi gani wanaangalia mauzo ya album na Tuzo. Pia Kuna pesa huwa inatolewa kwa kila category
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kumbe tuzo mmepeana jana, si mngesema tu hata tufatilie!
Naona wanatoa Tuzo ya video vixen lakini kwenye kutaja nominees hakuna hata picha zinazooneshwa
Mara chache Sana naona unatoaga comment lakini ukihakutoa zinakuwa heavy kweli kweli hongera kwenye Hili tunatamani tuone ukitoa comment nyingiwasanii wengi wana uchumi mdogo sana hii imewafanya kuishi maisha ya kinafiki na kujipendekeza, kwa akili ya kawaida tu kuna vitu vingi tu walitakiwa kuvikataa/gomea kuhusu hizo tuzo.
Nawapongeza wasanii waliozigoea hizi tuzo, waliozikataa na wale waliojaribu walau kutoa constructive criticisms waziwazi, ujue kuna muda mtu unafigt battle lako gumu halafu mtu mwingine anataka kukuhusisha kwenye ujinga ujinga wake.