Tuzogoe: Uliza swali la kizushi, tukujibu!

Kwenye msiba wa baba nilikabwa na koo, kitu kizito kilikwama kooni, sikuweza hata kuongea. Ila sio kumwaga chozi mkuuπŸ˜…
Dduuh...mbaya hio
Ungepiga hata makelelee πŸ˜”
Mie kwa kulia ndio mwenyewe 🀣. Ila sio sana kulia mbele za watu hata nikipata msiba hutaniona nalia. Lkn nikikaa mwenyewe nalia sana. Tena kimyakimya. Kuna some relief fulani unapata ukiwa una jambo halafu ukalia
 
Binti wa zamani sijakuuliza swali la kizushi,
Hivi unaweza kumkubali me wa jf kwa ajili ya kufurahia uumbaji?πŸ˜… if no, why? If yes, type gani?
Swali limeshiba πŸ˜….

So far nilikua nafikiri siwezi kabisa kwa sababu ya kutotaka kupoteza usiri na uhuru wa kuandika ninachotaka.
Ila lately naona kama naweza kubadili mawazo maana nimeona kuna watu wa kueleweka wasio na utoto humu.

Type: Sina specific type muhimu tuendane tu, kwangu nikikutana na "me", tukaconnect, tukawa na chemistry, na tukaelewana naamini mambo mengine yote yanafuata baada ya hapo.

Status: sitafuti/sihitaji me kwa sasa (nafasi imejaa)
 
Kwa hiyo hapa unaweza toa hata kimasihara...
 
Na je ni kweli process ya kutolewa bikra inauma sana kupita maelezo?
Ni kweli inauma ila siyo kupita maelezo (kupitisha kichwa cha mtoto huko kwenye nyapu ndiyo kunauma kupita maelezo πŸ˜‚)
Na ni kweli mwanamke daima hawezi kumsahau aliembikiri hata akiolewa
Hapana si kweli kabisa, mimi aliyenitoa nilishamsahau na sijawahi kumfikiria toka tulivyoachana.
 
Umetoa maelezo ukamalizia na kujitetea..!!! πŸ˜€ πŸ˜€
 
Lini uligundua wazazi wako ni CCM na huna ajira na umeambiwa ujiajiri na Diamond lakini wewe na mkeo na wazazi wako wote ni followers wa Diamond?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…