Tuzuieje shule za wasichana watoto kusagana?

Mbona hata vijana wa kiume wanafirana.?!
 
Ukiachana na magonjwa, kusagana huwa ina madhara gani kwani??

Naonaga ni kitu ambacho wala hata hakinaga ishu yoyote yani, tofauti na ikitokea upande wa pili
Nikuibie siri hii niliambiwa na Dada mmoja ambaye ni mzoefu wa hiyo michezo
Unaambiwa mwanamke akizoea kusiginwa na mwanamke mwenzie huwa anakosa kabisa hamu na mwanaume hata ukimwoa sahau kabisa kwamba atakupenda kuzidi yule anayemsaga
 
Daaaa kazi sana....enzi hizo tech social mefia haikuwa sana.....mbona kama tulikuwa tunawasaidia sana kuja orchard usiku ?? Gate la yule mama Mbema lilikuwa kali......safiiii wewe ni Nyosooo
Hahahah, enzi za mama Mnema geti kali lakini kuna wasichana walikuwa wanatoroka usiku kwenda kule nje ya geti kufuata wanaume. Wengi tu walifukuzwa shule na kupewa suspension
 
Ukiachana na magonjwa, kusagana huwa ina madhara gani kwani??

Naonaga ni kitu ambacho wala hata hakinaga ishu yoyote yani, tofauti na ikitokea upande wa pili
Haina narudia, hainaaaa
 
Dah haya mambo ni hatari sana.
 
Daah aiseee vitoto vidogo vinakuwa vishabanduliwa Hadi nyuma daah,

So painful wakuuu
 
Nini kifanyike;
1. Wenye shule na wasaidizi wa shule, waweke msimamo mkali, kuwa atakaye gundulika kujihusisha na tabia hiyo atafukuzwa shule.

2. Kila mwezi kuwe na utaratibu wa kuzungumza na mwanafunzi mmoja mmoja....kwa njia ya maandishi au maneno.

3. Lazima uongozi wa shule uwe strict kusimamia nidhamu ya wanafunzi, kusiwe na mzaha wala simile.

4. Shule lazima iajiri ma matrons wenye maadili na wenye uzoefu wa hali ya juu.

5. Lazima kuwepo na walimu wa dini, mchungaji au shek wa kufundisha imani zao, hilo ni jambo muhimu sana la kiroho.
 
Mfano hii shule ya bagamoyo tangu kipindi nakaa huko bagamoyo ilikua inavuma sifa za kusagana tuu, mpaka hii leo yameibuka mapyaa na ya kuchukiza vitoto vidogo kama vile empty kabisa vimefumuliwa kote kote , vinasagana

Shule ukiiangalia nzuri kweli kweli ila yaliyomo sasa,

Nafikiri pia kuna shida ya kiuongozi katika ile shule si wa upuuzi ule
 
mkuu unaongelea baobab? hivi kuna video zimevuja ua? maana naona mitandaoni kama vile kuna kitu.
 
mkuu unaongelea baobab? hivi kuna video zimevuja ua? maana naona mitandaoni kama vile kuna kitu.
Ndio mkuu kuna video watoto wamefanya uchafu, ni watoto wadogo kwa mtu mwenye maadili ya uzazi ila dah , acha tu inasikitisha sanaaa tunakoenda Bao Bab wajitafakari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…