nyanda madirisha
JF-Expert Member
- Apr 1, 2019
- 411
- 727
Mjomba angu alifanya ujinga huo akiwa amelewa usiseme hakuna sema wapo lkn kwa namba ndogo kulinganisha na wanaojinyonga wakiwa hawajalewaKwanza pombe inasaidia watu wasijinyonge, hakuna anayejinyonga akiwa amelewa
Wenzako waislamu huwa wanachagua dhambi,pombe na sigara wamezikomalia wakati dhambi nyingine kama uzinzi na wizi na kusema uongo wamevikumbatia,hii dini ni vituko vitupuPombe sio kosa jamani. Dhambi zipo nyingi Sana. HV uzinzi na pombe ipi no shida japo vyote binatest nzuri
Msafara wa mamba na kenge nao wamoMjomba angu alifanya ujinga huo akiwa amelewa usiseme hakuna sema wapo lkn kwa namba ndogo kulinganisha na wanaojinyonga wakiwa hawajalewa
Katika uislam vyote ulivyotaja ni haram na vinakomaliwa haswa katika Quran uzinzi,wizi,kusema uongo,pombe kamari haya yote ni madhambi yanayokatazwa na kukemewa katika uislamWenzako waislamu huwa wanachagua dhambi,pombe na sigara wamezikomalia wakati dhambi nyingine kama uzinzi na wizi na kusema uongo wamevikumbatia,hii dini ni vituko vitupu
Mwandishi unafikiri M BET na SPORT PESA siyo michezo ya bahati nasibu! mbona AZAM wanatangaza hizo?KWA mujibu wa taarifa ya CEO wa Club ya Simba SC Imani Kajula Leo 02/11/2023 kwa vyombo vya habari, Club hiyo imeingia mkataba wa kibiashara na kampuni ya SBL watengenezaji wa pombe aina ya Serengeti! Ni mkataba wa sh 1.5 Bilioni Kwa miaka 3 ambapo itatoa fedha Kwa Simba kiasi cha shilingi 500 milioni kila mwaka.
Katika mkataba huo Kituo Cha Televisheni ya Azam inayomilikiwa na Bhakresa (muislamu) inayotangaza NBC Premium Legue italazimika kutangaza pombe ya Serengeti katika kila mchezo ndani ya ligi yetu.
Ikumbukwe kwa Imani ya Bakhresa makampuni yake ya media yamejitenga kisera kutangaza bidhaa kama pombe, sigara, michezo ya bahati nasibu na makatazo yote ya dini ya Kiislamu.
Swali je, Said Salim Bakhresa ameamua kukomunika yaishe alimradi "maokoto" yanaingia?
Sidhani kama ngumi imekatazwa na Quran japo Kuna kipindi kilipigwa stop Zanzibar kwenye uislamu 95%. Kwani wanaweza kunitangazia bucha yangu ya kitimoto?
Mkuu hilo kundi ni katika marginalised groups, hata nyinyi mara nyingi mwawasimanga hapa kwamba walibase kwenye madrasa we huoni mlijaa sekta rasmi na mavyuoni huko punguza roho mbaya na choyo waache nao wale walau mishahara ya 1mBakhresa namkubali sana
Ila tunaposhwindana yule mwamba hata katika ajira Waislam anawapa kipaumbele kuliko watu wa imani nyingine
Kwa kuwa mali ni zake ana haki ya kufanya atakavyo, ila kwa SSB ukiwa Mkristo unakuwa kama yatimaMkuu hilo kundi ni katika marginalised groups, hata nyinyi mara nyingi mwawasimanga hapa kwamba walibase kwenye madrasa we huoni mlijaa sekta rasmi na mavyuoni huko punguza roho mbaya na choyo waache nao wale walau mishahara ya 1m
Wewe utakuwa umelewa pombe, hata hao sportpesa na M bet ni kamari na uislamu unakataa, haya tuambie huko Azam TV hao Yanga na Simba wakicheza wana geuza jezi?KWA mujibu wa taarifa ya CEO wa Club ya Simba SC Imani Kajula Leo 02/11/2023 kwa vyombo vya habari, Club hiyo imeingia mkataba wa kibiashara na kampuni ya SBL watengenezaji wa pombe aina ya Serengeti! Ni mkataba wa sh 1.5 Bilioni Kwa miaka 3 ambapo itatoa fedha Kwa Simba kiasi cha shilingi 500 milioni kila mwaka.
Katika mkataba huo Kituo Cha Televisheni ya Azam inayomilikiwa na Bhakresa (muislamu) inayotangaza NBC Premium Legue italazimika kutangaza pombe ya Serengeti katika kila mchezo ndani ya ligi yetu.
Ikumbukwe kwa Imani ya Bakhresa makampuni yake ya media yamejitenga kisera kutangaza bidhaa kama pombe, sigara, michezo ya bahati nasibu na makatazo yote ya dini ya Kiislamu.
Swali je, Said Salim Bakhresa ameamua kukomunika yaishe alimradi "maokoto" yanaingia?
Hii ya moto sana[emoji119]Hawajawahi kunywa Guinness 0.0 hao.
View attachment 2801632
Dhambi imetolewa. GUINNESS imeachwa.[emoji16]
Kamari sio sera yao?Waulize Waislamu waajiriwa kwenye Azam Media. Ni sera ya Newark
Mbona miundombinu mingi tu inagharamiwa na pesa za kodi toka makampuni ya bia k.m. matengenezo ya barbara lakini hakuna anayesusa kuitumia?!Pombe sio kosa jamani. Dhambi zipo nyingi Sana. HV uzinzi na pombe ipi no shida japo vyote binatest nzuri
Anzisha media yako acha kumpangia cha kufanya masikini siku zote wana roho mbayaKWA mujibu wa taarifa ya CEO wa Club ya Simba SC Imani Kajula Leo 02/11/2023 kwa vyombo vya habari, Club hiyo imeingia mkataba wa kibiashara na kampuni ya SBL watengenezaji wa pombe aina ya Serengeti! Ni mkataba wa sh 1.5 Bilioni Kwa miaka 3 ambapo itatoa fedha Kwa Simba kiasi cha shilingi 500 milioni kila mwaka.